Search results

  1. scholarsway

    Scholarships 2014, List of Africans Scholarships

    nimekubali, wengi huwa wanachukulia simple kujaza "online forms" lazima uwe serious mzee scholarship moja inaweza ikahitaji watu 100 tu na wana apply wanafunzi kutoka afrika nzima....
  2. scholarsway

    Scholarship opportunities

    HII WEBSITE PIA INA MISCHOLASHIPS MING SANA WAWEZA KUAGALIA, LINK HAPO CHINI Masters scholarships 2014 | Scholarships for African students>>
  3. scholarsway

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kwa niaba ya Raisi Ombeni sefuwe atangaa mawaziri kama ifuatavyo Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Taitus D Kaman.. Waziri wa...
  4. scholarsway

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kawambwa Bado waziri Mlugo Nje....Elimu Juu
  5. scholarsway

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Imetangazwa Kuwa Nchemba Amechukua naibu Waziri Fedha Hongera baba
  6. scholarsway

    Inauma sana! Tembo 2 wanauawa kila siku selous peke yake!! Tembo 96 wanauawa kila siku duniani...

    Hiyo picha ya nne!!! Ina maana wanawakata wakiwa bado hai? Very Sad..
  7. scholarsway

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    "Zipo taarifa kwamba wapo baadhi ya wabunge wataingia kwa mara ya kwanza kwenye baraza hilo, huku wengine wakirudishwa kwa mara ya pili. Taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa karibu wa baadhi ya wabunge, zimebainisha kwamba jana(1 jan 2014) Rais Kikwete aliwaita Ikulu baadhi ya wabunge...
  8. scholarsway

    Baada ya kuwajibishwa, dk. Nchimbi na Kagasheki kurudi tena barazani!!

    RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kuipanga upya safu ya Baraza lake la Mawaziri wakati wowote, huku baadhi ya wabunge na mawaziri wakitakiwa kusitisha mapumziko yao ya mwisho wa mwaka na kurejea jijini Dar es Salaam haraka. Miongoni mwa wabunge waliositisha mapumziko yao na kurejea nchini ni...
  9. scholarsway

    Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

    Kuna habari kwamba bingwa wa rhymes Afande sele amejipanga kuchukua jimbo la morogoro Mjini 2015 kwa tiketi ya Chadema Jimbo hilo kwa sasa linakamatwa na Aziz Abood kwa tiketi ya CCM ambaye anatarajiwa kulitetea kwa mara ya pili katika uchaguzi ujao. Habari za ndani zinadai kuwa CCM...
  10. scholarsway

    Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

    Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya, WALIONG'OKA Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha...
  11. scholarsway

    Resume Website kwa wahitimu wote...

    Mkuu unaonaje kama utawezesha na waajiri kutuma kazi zao na member ku-apply kutumia resume zao online. Mi nitakua member no1....
  12. scholarsway

    Resume Website kwa wahitimu wote...

    Nafikiri ukiwa na resume nzuri itakusaidia kupata interviews, kupata kazi kunategemea na how you impress your interviewers..
  13. scholarsway

    **new scholarships** masters na phd's ujerumani deadlines next two months

    SCHOLARSHIPS ZA AUSTRALIA KWA MASTERS NA PHD (IPRS) The IPRS program enables international students to undertake a postgraduate research qualification in Australia and gain experience with leading Australian researchers. The scholarships are available for a period of two years for a Masters...
  14. scholarsway

    Commonwealth Scholarships for international students.

    SCHOLARSHIPS IN AUSTRALIA The International Postgraduate Research Scholarships (IPRS) program is funded by the Australian Government, Department of Innovation, Industry, Science and Research (DIISR). The IPRS program was established to maintain and develop international research linkages and...
  15. scholarsway

    Commonwealth Scholarships for international students.

    The Commonwealth Scholarships are for students from developing Commonwealth countries for Master’s (one-year), PhD, and split-site PhD study in the UK. These scholarships are funded by the UK Department for International Development (DFID). Read more Commonwealth Scholarships for...
  16. scholarsway

    Bill gates scholarships watu 90>>>>

    HIYO LINK NI KWA AJILI YA WAMREKANI WEUSI, KWA WAAFRIKA LINK HII HAPA Gates Cambridge scholarships 2013, 2014 for international students
Back
Top Bottom