Search results

  1. Nanren

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Leo siku ya pili, mvua haijanyesha eneo langu korofi. Asante Samia kwa jambo hili. Juhudi zako tunaziona.
  2. Nanren

    Ni aibu kwa Mhimili wa Mahakama kutumia kikoa cha Blogspot hadi leo

    Usije shangaa honourable Judge hajui hata kutumia word processer vizuri, achilia mbali mambo ya web.
  3. Nanren

    Shukrani kwa Serikali

    Oyeee
  4. Nanren

    Mamelodi ni Malumo Gallants waliochangamka

    Mamelod ni man load tu. Walete wapigwe.
  5. Nanren

    Shukrani kwa Serikali

    Oyeeee
  6. Nanren

    Shukrani kwa Serikali

    Habari ndio hiyo, Shukrani ziende moja kwa moja kwa serikali yetu
  7. Nanren

    Shukrani kwa Serikali

    Nimepokea mshahara siku nne zilizopita (kutoka serikalini) Kwa kweli ninawiwa kuishukuru serikali yetu shupavu inayoongozwa na chama kikongwe. Mpaka sasa mshahara bado haujaisha na inawezekana ukanifikisha Ijumaa kuu. Hongera sana viongozi wa chama na serikali. Kusifia ni muhimu.
  8. Nanren

    Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Acha kutumia bangi mbichi. Vuta ikiwa imekauka.
  9. Nanren

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Baloney. Eti ugali hauna nutrients zozote? Nini maana ya nutrients?
  10. Nanren

    Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Vipi data za Yanga na Simba toka wameanza kukutana?
  11. Nanren

    UNWTO: Nchi 10 Zilizofanya Vizuri kwenye Utalii Duniani.Tanzania Yashika Namba 9.

    Hizi data za performance zina mislead. Ni kama data za kukua kwa uchumi zioneshe kuwa uchumi wa Mozambique umekua kuliko wa Uingereza. Katika top tourist destinations duniani, hatupo. https://www.graveltravel.com/blogs/gravel-travels/most-visited-countries...
  12. Nanren

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Na kuna viumbe ambavyo kuzaliana kwao ni assexually. Hivyo navyo vilingia viwili viwili kwenye safina?
  13. Nanren

    Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

    Hii ilikuwa ya kwenye theatre, wanakofanyia maonesho yao nafikiri pamoja na mambo ya opera na music concerts. ...On 23 October 2002, 40 Chechen militants headed by warlord Movsar Barayev took 912 hostages at the Dubrovka Theatre in Moscow, where the popular musical Nord-Ost was showing. Three...
  14. Nanren

    Fursa: Waethiopia Milioni 10 Wanakabiliwa na Janga la Njaa.Kwa Nini Serikali Haichangamkii Fursa ya Kufungua Ofisi za Kuuza Mazao ya Chakula?

    Chakula chao kikubwa injera, nafikiri kinatokana na ngano. Pia wanapenda kula nyama mbichi. Hivyo usije ukajisifu kuwa una chakula cha kuwapa, kumbe wao hicho chakula chako hawakielewi. Ni kama mtu wa Ifakara awe anafikiria kuwapelekea mchele wahaya wa ndani ndani huko, ambao chakula kwao ni...
  15. Nanren

    Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

    Sio mara ya kwanza kutokea. Mwaka 2002 wachechen waliwahi teka theatre iliyojaa watu hapo hapo Moscow Watu wengi walikufa.
  16. Nanren

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Kimsingi, kwa mtu msafi, hamna tofauti kati ya mikono hii miwili na hakuna sababu ya kuuchukia au kuudharau mkono mmoja wapo.
  17. Nanren

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Hivi kuna tatizo gani kutumia mkono wa kushoto au wa kulia kwenye shughuli yoyote, iwapo mikono itakuwa misafi kabla na baada ya kutumika?
  18. Nanren

    Tanzania tuna walimu wa kufundisha Kifaransa, Kiarabu na Kichina? Walisomea wapi haya masomo?

    Walimu watapatikana tu wa kuunga unga kama walivyo wa kiingereza.
Back
Top Bottom