Search results

  1. Rungu

    Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

    Dikteta anayefuata katiba? Duh, hii mpya.
  2. Rungu

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Kijana tulia. Wakati upo Tambaza wengine tayari tulishakuwa baba watoto.
  3. Rungu

    Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Unapoteza muda wako bure na huyo "mjuaji".
  4. Rungu

    Kujirudi kwa CHADEMA kwashangaza! Wengi wahoji huenda ni mbinu za Mbowe kuzima makombora ya Sumaye?

    Nadhani wamejishtukia baada ya kuona siasa za kususa susa zimefeli vibaya. Hawana namna.
  5. Rungu

    Mwalimu Nyerere vs Thabita Siwale

    Umepatia; kwa sisi tuliokuwa vijana na mashuhuda enzi hizo. Makongoro (Mako) ndiye aliyekuwa anasoma Tabora Boys wakati huo na hahusiani kabisa na tukio (la John pale Mazengo). Ingawa Makongoro naye alikuwa mtukutu fulani hivi pale Tabora Boys (ndie aliyekuwa drummer wa bendi ya muziki pale...
  6. Rungu

    Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Endelea. Kiingereza anachoongea Magufuli kinamtosha.
  7. Rungu

    Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Endelea kuona Kiingereza ndio tiketi ya kuingia mbinguni. Siwezi kukusaidia kwa hilo.
  8. Rungu

    Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Inasikitisha. Huyo unayesema "hawezi" kuongea Kiingereza ni rais wa nchi na amekuwa waziri kwa takriban miongo miwili. Wewe "unayeweza" kuongea hicho Kiingereza umefanya nini cha kumshinda? Hebu tuache kuwa na akili za kitumwa kidogo. Chuki zako binafsi kwa Magufuli hazitakusaidia sana.
  9. Rungu

    Rais wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 2 Tanzania

    Hivi mpaka leo kuna waafrika wenye akili kama hizi?
  10. Rungu

    Kwa sasa ni halali kushirikiana hata na shetani kupambana na kikundi kinachoitwa CCM

    Tatizo hawa wapiga propaganda wa mtandaoni ndio wanaoharibu zaidi taswira ya upinzani. Sijui kwa nini wazee wao kama Baregu n.k. wanaacha hali hii ya lugha ya matusi iendelee; bila kujaribu kuingilia kati, na kuwafundisha hawa vijana namna nzuri ya kupiga propaganda enzi hizi za utandawazi.
  11. Rungu

    Kwa sasa ni halali kushirikiana hata na shetani kupambana na kikundi kinachoitwa CCM

    Upinzani umerudi nyuma miongo kadhaa kwa kukumbatia siasa zisizojenga. Ni vigumu sana kutoa ushauri kwa mawazo kama haya yaliyojitokeza hapa. Ya Lowasa yangekuwa ni fundisho lakini inaonekana imekuwa ni kinyume chake. Tusubiri tuone huyo shetani anayekumbatiwa atawafikisha wapi safari hii.
  12. Rungu

    Tetesi: Yanayosemwa kuhusu rais wa nigeria mohamed buhari je ni kweli?

    Hakuna ukweli wowote. Jubril Al Sudani hajawahi kuwa Buhari. Hizo ni propaganda za waibo zikiongozwa na kupikwa na Nnamdi Kanu wa IPOB (Indigenous People of Biafra).
  13. Rungu

    Leo imetimia miaka 100 baada ya kumalizika kwa vita vya kwanza vya dunia.

    Tumekaririshwa kuwa hiyo ni vita vya dunia lakini kiukweli ni vita vya mataifa ya Ulaya. Sisi tuliingizwa tu kupigania ushindi wa wakoloni waliotutawala, aidha upande wa wajerumani au waingereza.
Back
Top Bottom