Search results

  1. BRAVO 2 ZERO

    Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

    Kuna siku utaamka utakuta gvt imezichukua ndo utapata akili
  2. BRAVO 2 ZERO

    Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

    Badala ya kuendeleza baba yao alipoishia wao wanauza wanaanza na moja, ndo maana umaskini africa hautaisha[emoji1][emoji1]
  3. BRAVO 2 ZERO

    Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

    Hivi kwa nini mnawazaga .wanaume kutangulia kufa kabla ya mwamke[emoji24]
  4. BRAVO 2 ZERO

    Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

    500mil= 50 trucks of cement, manaake sio hela nyingi kiivyo
  5. BRAVO 2 ZERO

    Dar Lux kapotezwa?

    Dar lax kahamia kwenye agriggate bussiness.
  6. BRAVO 2 ZERO

    Dar Lux kapotezwa?

    Ukitaka kujulikana fanya biashara ya mabus ila ni pasua kichwa,
  7. BRAVO 2 ZERO

    Alifanya kazi saiti kwa pesa yake, sasa simu haipokelewi na bosi haonekani

    Atumie akili ya kazi, amfate boss amawambie kwenye hizo pesa anazodai kama boss atazitoa yeye atampa kiasi flan amtangazie dau nono tu, then boss atauvagaa huo mtego akilipa, nae apige kimya
  8. BRAVO 2 ZERO

    Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

    Umewahi fungiwa acc yako na pesa zote kuchotwa kwa maelekezo toka juu, hakuna mtu atarudia ujinginga huo wa kuweka pesa bank, pesa saivi inageuzwa kuwa asset
  9. BRAVO 2 ZERO

    Eti kufanya Engine Overhaul kunaondoa engine katika ubora na ufanisi daima?

    Hizo engine ndogo ndogo achana na tabia ya kufanya overhaul nunua tu ingine japo unaweza ukanunua ingine nayo inaweza kuwa inakula oil, cha muhimu unanunua wapi. Kuna engine za kufanya overhaul mfano za fuso kupanda huko unakuta engine mpya 16mil na overhaul 5mil sasa engine ya 1.2m overhaul ya...
  10. BRAVO 2 ZERO

    Msaada tafadhali, gari yangu inajiongeza kasi wakati inatembea

    Cable ya mafuta haing'ang'anii? Weka parking kanyaga mafuta mpaka mwisho uangalie cable ya mafuta kama inajirudi vizuri fanya mara nyingi nyingi.
  11. BRAVO 2 ZERO

    Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Unakuta ni watu kadhaa kila mmoja amekamatwa na gram kadhaa kwenye utangazaji maredioni wanatangaza total iliyokamatwa, wanatangaza general catch akili za kuambiwa changanya na zako
  12. BRAVO 2 ZERO

    Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Dhahabu ni biashara kama biashara zingine tu, tatizo watu wanadhani ukiingia kwenye dhahabu sasa hivi unakuwa kama achimwene which is wrong. Pia fanya slow slow usiwe na hasira nayo ,kuna mtu alitegemea kupata gram 500 ellution akaishia kupata gram 31 na nyuma ana madeni kibao[emoji1][emoji1]...
  13. BRAVO 2 ZERO

    Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

    Kila mtu atimize wajibu wake na mmoja asiishi kwa kudhani mwenzie ana ziada. Msipende kuazimana vitu.
  14. BRAVO 2 ZERO

    Fursa kwa wafanyabiashara na wateja wote

    Je Mr kuku, mzee wa vanila ni ndugu zako?
  15. BRAVO 2 ZERO

    Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa 25M

    Kama una mda wa kutosha tafuta sehemu ya kuchimba weka crusher saga mawe ukuuze rudio, kuuza rudio hata kwa mwaka mzima usiwe na haraka ya kuchenjua
Back
Top Bottom