Search results

  1. Baba Joseph17

    Kunani Kagera? Kuna mvutano kati ya Mkuu wa Mkoa Chalamila na wanasiasa wa Kagera? Msikilize Mwijage!

    Tatizo la mkoa wa Kagera ujuaji ni mwingi sana watani zangu wahaya wanajifanya wanajua kuliko, na walalamishi sana Kagera huwezi ukafanya kazi Kwa Raha lazima wanasiasa na watu wambao wanaushawishi wakusumbue, Stendi imejaa matope ebo hiyo Airport miaka kibao haipanuliwi kisa ujuaji
  2. Baba Joseph17

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Mechi ya Champions league mwaka 2000 Realmadrid vs Valencia ilikuwa binge la mechi
  3. Baba Joseph17

    Bashe wacha hadaa, nchi nyingi huzuia kuuza nje mazao ya chakula ili kulinda bei

    Nenda kalime uone gharama na ugumu wa kilimo hafu uvune mtu akuoangie pa kuuza, biashara huria kama huliki utakula Kwa kununua! Mbona bidhaa zingine bei juu na hamlalamiki?
  4. Baba Joseph17

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hao walipanga walikuwa wanakuona upo mwenyewe Binti akaona ajiweke😂😂
  5. Baba Joseph17

    Gavana wa BoT dhidi ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, cheo kipi ni kikubwa?

    Gavoo anaongeea na President Kila siku wewe Katibu Mkuu Hadi uitwe, Gavoo ndiye Yuko kwenye chungu Cha pesa, na ndiye mshauri Mkuu wa serikali kuhusu Masuala ya uchumi, mikopo, riba nahata baadhi ya sera za kifedha na Kodi kadha wa kadha nk
  6. Baba Joseph17

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    Alipunguza utegemezi Gani? Rais alidanganya kuwa hakopi tunajenga miradi Kwa pesa yetu kumbe uongo? Huyo Ruto asikudanganye kuwa hatokopa hizo ni propaganda ambazo zilishapitwa na wakati achana na maeneo ya siasa Kwa ground Hali haiko hivyo
  7. Baba Joseph17

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    Wewe ni kilaza JPM alikopa mikopo ya Siri kaondoka amekopa karibia Tirioni 18 tukuulize alizipeleka wapi?
  8. Baba Joseph17

    Ni mwiko mzungu kuwa kiongozi Asia hasa Uarabuni?

    Kwasababu hawana akili ya kuwa wabunifu wengi wao wanaenda nchi za Asia, Afrika na Amerika kusini kuiba rasilimali
  9. Baba Joseph17

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Kijana huna mke, hapo alienda Dom Kwa Jamaa yake na usikute wako ofisi Moja, kuwa makini tu ila nakushauri kama una roho ndogo acha kumfuatilia usije ukaumia
  10. Baba Joseph17

    Musa Zungu ndiye kirusi cha tozo

    Ndiyo aliyeleta mswaada wa tozo Bungeni? Utawala (Executive) ndio wakulaumiwa hafu ujue tu Muswaada wowote lazima ujadiliwe na Baraza la mawaziri ambapo Chair ni President unataka kuniambia Zungu kaiweka serikali yote mfukoni?
  11. Baba Joseph17

    Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

    Ni jukumu la serikali kutoa huduma Kwa wananchi walipa Kodi, we dogo Kodi anayolioa Mbowe pengine hata 1/9 huifikii, majukumu ya serikali lawama ziwe Kwa Mbowe kijana wa hovyo kabisa wewe, inawezekana unatatizo la akili
  12. Baba Joseph17

    Hali ya Hewa: TMA yatoa angalizo la upungufu wa mvua za vuli nchini

    Utabiri umekaa kama mganga wa Hadi anapiga ramli chonganishi hauweki mambo wazi
  13. Baba Joseph17

    Najuta kwa madhambi niliyoyafanya nikiwa Chuo Kikuu, naomba Mungu watoto wangu wasipite njia ile

    Hicho chuo ulichosoma ukawa free kufanya hayo yote bila kuwa discontinued nazani nicha binafsi , ila pole mabinti acheni tamaa sichokiamini ni usagaji huku una mabwana wengi labda kama ulikuwa na pepo la ngono
  14. Baba Joseph17

    Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

    Wakati awamu ya 4 watanzania wameichoka nazani ulikuwa bado unanyonya, na tunarudi kulekule subirini mtaona viongozi watakavyorudi kutukanwa na kuitwa mizigo kisa mambo ya kujuana na Dili za hovyo za kuiuza nchi
  15. Baba Joseph17

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Nakushauri ufanye maamuzi ya msingi Ili uwe na amani kama alikuwa anakuja kwako unampa mgegedo au wewe unasafari kwenda iweje afanye hivyo na kama alibaini kapata Mimba alishindwa kutumia njia ya kuitoa?
  16. Baba Joseph17

    Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

    Kitu ambacho watu wengi hatujui ni kuwa USA kawekeza sana Taiwan na hata makampuni mengi ya Wazungu wayliyoko China yalianzia Taiwan, kwahiyo hicho kisiwa ni strategic area ya USA. Na China hawezi kuanzisha vita atajikuta anavipigania nyumbani kwake mjue kuwa Korea, Japan, military base za...
  17. Baba Joseph17

    Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

    Ninamiaka 40+ lakini huwa ninaangalia maramojamoja nikitoka nicheke
Back
Top Bottom