Search results

  1. 007/Mrs.bond

    Nimechanganyikwa jamani msaada!

    Nikweli dadangu/kakangu asante kwa hoja yako
  2. 007/Mrs.bond

    Mahusiano ndani ya ndoa

    Imetulia ndugu, i think i will contact you for further question regarding marriage issues it you don´t mind. Big thumb
  3. 007/Mrs.bond

    Nimechanganyikwa jamani msaada!

    Asanteni kwa michango yenu nilimpa dada ushauri mizuri mlionipa...ila katika mazungumzo alianza kuhisiwa eti anatembea na mwanafunzi mwenzake kisa tuu kamtambulisha kwa mr. wakiwa kwenye party alafu huyo dada akaondoka zake kurudi nyumbani na kumuacha mr. huko maana alishindwa kuvumili uchungu...
  4. 007/Mrs.bond

    Nimechanganyikwa jamani msaada!

    Moods mmeniudhi sana...nilipoweka hii article kule mambo ya wakubwa nilikuwa namaana yangu. Maana mzee naye ni mpenzi mzuri huku ndani. ID yake naijua hajaomba kuingia kwenye chumba cha ma love maana ni mpenda siasa zaidi. So if possible can you muvuzisha this to mambo ya kikubwa please. Au...
  5. 007/Mrs.bond

    Nimechanganyikwa jamani msaada!

    Jamani asanteni sana kwa mawazo murua, kwa kweli dada ni mtu wa uganda kaolewa na mganda mwenzie. Ameshakaa huku mwaka na mwezi sasa. Ni kweli huyo bwana anaijua lugha vilivyo ila hapendi hata kuongea naye wakiwa pamoja maana yuko busy (for nothing)na misele yake...mmewe ni rafiki mkubwa wa...
  6. 007/Mrs.bond

    Nimechanganyikwa jamani msaada!

    Za leo wandugu wapendwa, Napenda kuuliza swali tafadhali, hivi mwanamme anaishi Norway,ameamua kuoa mwanamke toka mfano kwetu Tanzania na kumpeleka huko wakaanze maisha pamoja. Then huyo bibie akaanza kusoma hiyo lugha ili aweze kupata kazi...lugha imegoma akamueleza mumewe hali halisi ili...
  7. 007/Mrs.bond

    Kunaubaya kumuonyesha mpenzi...

    Naona hiyo article haijafunguka, ningependa sana kukisoma hicho kitabu. Asante
  8. 007/Mrs.bond

    Kunaubaya kumuonyesha mpenzi...

    1. utakuwa muwazi Kwa kweli nipo muwazi sana 2. utampa muda kamili wa kukaa na wanaumme wenzake bila kupiga simu au kununa atakaporudi kwa kweli he has his free time in this...na huwa sipigi simu...pengine awe kachelewa mida isiyo mizuri kama kuanzia saa sita usiku. 3. Useme unachotaka bila ya...
  9. 007/Mrs.bond

    Kunaubaya kumuonyesha mpenzi...

    Asante ndugu kwa kunifungua macho, kwa kweli nilikuwa naumia sana nikisikia haya mambo kutoka kwa marafiki zake...kumbe dawa na mimi nipunguze speed from 180 to 90! Je, sasa hapa natakiwa nifanye nini hasa!
  10. 007/Mrs.bond

    Kunaubaya kumuonyesha mpenzi...

    Kwa mimi kuwa mwanamme ananipenda 1. awe muwazi 2. awe na mda nami 3. anionyeshe upende mbele za watu, yani awe karibu nami nitokapo nae out 4. aniachie mambo ya jikoni niyasimamie mimi kama mwanamke 5. asiwe mbahili wa pesa 6. aniheshimu n.k Hayo ni baadhi tuu katika kipimo changu.
  11. 007/Mrs.bond

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Mmmh makubwa, na hapo hapo unasifiwa kuwa machine ni bomba, au huwa ni fix. Haya ndugu nionyeshe hayo mazoezi yakhe ya fanywaje?
  12. 007/Mrs.bond

    Kunaubaya kumuonyesha mpenzi...

    wako kua unampenda? Je ni kitu gani watu kama hawa hupoteza au hupata faida wanapolificha penzi kwa mweza wake? Maana nimejaribu kulichambua hili swala sipati jibu...nasikia tuu kwa watu na marafiki wa karibu na Mr. kuwa Duh, mmeo anakupenda sana. Sasa inakuwaje kwangu hanionyeshi! naombeni...
  13. 007/Mrs.bond

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Asante sana kwa mleta swali maana sio siri nilikuwa mbioni pia kuuliza swali kama hili hili! kwa maana hiyo mashine za wanawake siku hizi ni mbovu! maana ukipita kila kona wimbo ni huu huu, jamaa akipiga goli moja ndo mpaka kesho yake au baada ya siku hata tano hivi! yani mpaka unaanza kumuhisi...
  14. 007/Mrs.bond

    Hodi hodi humu!

    Thanks Belly.
  15. 007/Mrs.bond

    Hodi hodi humu!

    Hopefully i will...thanks for the welcoming.
  16. 007/Mrs.bond

    Women don't make sense!

    Sidhani kama ni hivyo, kwa uelewa wangu ni kwamba...kama huyo mwanamke kweli alikuwa na guy anayemsumbua na kufikia kuachana...kinachompelekea yeye ku behave hivyo ni kwa sababu bado ana fear na yaliyomtokea na pengine hayupo tayari ku handle another new relationship. Kinachotakiwa hapa...
  17. 007/Mrs.bond

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Hello mum mia, jaribu kwenda kwa wachina au masaai wanazo dawa nzuri za kumfanya mtu aharishe na tupokupungua. Binafsi nimetumia dawa za wachina nikafanikiwa. kila la kheri.
  18. 007/Mrs.bond

    Hodi hodi humu!

    Asante sana kwa ukaribisho, nilikuwa tuu nauliza ili nipate kujua...mbona umkuwa mkali ndugu.
  19. 007/Mrs.bond

    Hodi hodi humu!

    Za leo wandugu, nimefurahi sana kupata hii site baada yakudokezwa mamboz yake na lafiki yangu kipenzi. Natumaini tutashirikiana kwa kila jambo. Pengine kwa kuanza ningependa kufahamu what are vampires, ni kweli hivi vitu vina exist hapa kwetu bongo au vipo nchi za wenzetu zaidi. Je kwa lugha...
Back
Top Bottom