Search results

  1. Raby Kilua

    Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

    Tupo mkuu [emoji1] [emoji1]
  2. Raby Kilua

    Kanda maalum ya ushirikina

    Japo sizijui hizo aina za uchawi ila nimepata kitu kidogo. Sasa mkuu kutokana na uzoefu wako siku ikitokea wachawi wakianzisha bifu na mtifuano kati ya hawa wa pwani na wale wa bara unafikiri ushindi utaenda wapi?
  3. Raby Kilua

    Kanda maalum ya ushirikina

    Mkuu ina maana Pwani ina rasilimali za kutosha juu ya uchawi? Je wale wachawi wa kanda za mbali na pwani kama sumbawanga hufunga safari kuja pwani kufuata rasilimali?
  4. Raby Kilua

    Kanda maalum ya ushirikina

    Mkuu naona unajitafutia shari na wazee wa kwamsisi.
  5. Raby Kilua

    Kisarawe: Walimu walazwa uchi na kuchapwa viboko

    Kuogopa lazima mkuu.. Kumbuka unapambana na adui ambaye humuoni lakini madhara yake pamoja na aibu vinaonekana.. Mwalimu hawezi kua sawa kisaikoloji hapo. Maafisa elimu wafanye maamuzi magumu ama watafute walimu wazawa wa hicho kijiji warudi kufundisha kwao wataenda sawa.
  6. Raby Kilua

    Tumejiandaa vipi pale Lowasa jina lisipo rudi?

    Maamuzi magumu yatafuata..!
  7. Raby Kilua

    Sipendi - Special thread

    Sipendi kampeni bungeni..!!!!
  8. Raby Kilua

    Sipendi - Special thread

    Imenibamba ila siachii..!!!
  9. Raby Kilua

    Sipendi - Special thread

    :shocked:
  10. Raby Kilua

    Sipendi - Special thread

    Sipendi "sipendi zote" kwenye hii thread :rockon:
  11. Raby Kilua

    Je huu ni nini?

    Mama moto atakua mzima mana hata hicho kitenge inaonyesha kafungwa na mzoefu,, kama ni mapenzi yake sawaa ila kama kashurutishwa ndio ubwabwa huo.
  12. Raby Kilua

    Wanandoa: Wanawake mnafanyaje kumzoea mwanaume aliye serious?

    Ahahahaaaa!!!!! wee kweli fedhuli
  13. Raby Kilua

    Sipendi - Special thread

    Ahahahaaaa,,!!!!!
  14. Raby Kilua

    Sipendi - Special thread

    Sipendi ajira kwa watoto
  15. Raby Kilua

    Waliomba transfer tcu

    Asante sana kaka. Vipi mkopo unahama kias kilekile au wanafanya mabadiliko? Kwa mfano mwanzo tuition fee wamenilipia laki 9. Je wataihamisha hiihii??
  16. Raby Kilua

    Waliomba transfer tcu

    Mlifanikisha kuhamisha? Tujuzeni wengine tuna tatizo hili mpaka sasa hatuelewi
  17. Raby Kilua

    Ushoga Makongo Sekondari

    Adhabu ya chini unayostahili ni push up 1000 za mkono mmja kwa saa ndani ya masaa 12.
Back
Top Bottom