Search results

  1. Chief Wingia

    Mlevi hawezi kukusaidia zaidi ya kukununulia pombe

    MLEVi Mmoja njoo huku 😂🤣
  2. Chief Wingia

    Mafundi wa PC Bongo

    Nenda pale machinga complex kuna jamaa wapo pale ghorofani hakika hauta jutia
  3. Chief Wingia

    Mafundi wa PC Bongo

    Wazee wa connection
  4. Chief Wingia

    Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Hivi haka kamsemo huwa kana maana gani...?
  5. Chief Wingia

    Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Bila shaka hii itakuwa uchagani😂🤣
  6. Chief Wingia

    Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Motiveshenu spika manazingua sana🤣
  7. Chief Wingia

    Kahama the upcoming city

    Hilo neno maana yake ni nini mkuu
  8. Chief Wingia

    Mapenzi basi

    Bado hujasema😂🤣
  9. Chief Wingia

    Nashukuru Mungu kwa kunipa uzuri

    Njoo PM tuyajenge
  10. Chief Wingia

    Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

    Pole sana mkuu. Biashara ya bajaji na bodaboda iwe ni day au mkataba kama mmiliki wa chombo hauko makini utakuwa mtu wa kulialia na kupata hasara daily. Hapo kama mliandikishiana mkataba watie ndani wadhamini wake.
  11. Chief Wingia

    Rais Samia anachukua sifa ya kuwa Rais bora wa mudawote katika uwekezaji wa Afya

    Mpeni hongera kwa kufutilia mbali Totoafya card
  12. Chief Wingia

    Askofu Dr Gamanywa: Kwa ramani ya kale 1/3 ya Saudi Arabia, 1/2 ya Iraq, Syria yote, Jordan yote na 1/2 ya Uturuki ni Eneo la Israel!

    😂🤣Kaka hao wapuuzi vita yao si yakuisha leo wala kesho wataendelea kupigana hadi mwisho wa dunia.
  13. Chief Wingia

    Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    People hazielewi wao wanachoona ni kufukia tu kwa muda mfupi kuhusu decomposition hiyo hawajali
  14. Chief Wingia

    Nimepigwa na askari bila kosa lolote, nifanye nini?

    Fuata huu ushauri maana hata ukifungua kesi polisi wenzake watambeba hutopata haki yoyote. Fanya uchunguzi wako wa kimkakati ni viwanja gani anapendelea kwenda kulewa unatafta malaya unamset jamaa akijichanganya mnamfira.
  15. Chief Wingia

    Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    Habari zenu wakuu. Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile. Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
Back
Top Bottom