Search results

  1. M

    Binti kamwaga ugali, wakuu na mimi nimwage mboga?

    My take, extend probation kwa miezi mitatu ijayo then itakapo isha ndo maamuzi yafanyike. Ila anauwezo wa kukugeuzia kibao kuwa umemkomoa kwa kuwa alikumwaga. kuwa mwangalifu usije kudestroy reputation yako.
  2. M

    Edward Lowassa akutana na Maaskofu wa Tabora na Kagera na kufanya nao mazungumzo ya Faragha

    Lowassa is our candidate, semeni chochote lakini ana nguvu kubwa ya mtaji wa wananchi nyuma yake.
  3. M

    BIN ZUBERY sasa anavuka vipaka. Anapata kiburi wapi kusema haya.

    Mpira wa miguu umeaibishwa. TFF wanalipalilia hili na tutegemee kuona madudu ya ajabu kwenye ligi. Kama wamesogeza mbele tarehe ya usajili ili kufurahisha timu waipendao si ajabu wakapangiwa marefa wa kuchezesha ligi. Aibuu!
  4. M

    Hatimaye kitendawili cha lowasa kuhamia chadema chatenguliwa leo.

    Labda niwakumbushe. Ni nani aliyechukua uamuzi mgumu wa kutoa maji ziwa victoria pamoja na wamisri kugoma? ni nani aliyevunja mkataba wa city water? ni nani aliyeshauri mkataba wa richmond uvunjwe? ni nani aliyesimamia ujenzi wa shule za kata na alipoondoka kila kitu kikasimama?,. Naomba tuwe...
  5. M

    Ndege za 540 Zinaboa

    Tarehe 22/5/2012 nikiwa Mwanza airport nilishuhudia abiria waliokaa airport zaidi ya four hours wakiambia 540 flight is cancelled. Nilikuwa na wenzangu wanakuja Dsm for a meeting next day morning thanks precision walikuwa na nafasi wakalazimika kukata tiketi kuondoka ndege ya saa tatu usiku. 540...
  6. M

    Kigoda aingia kwa mkwara: Charles Ekerege wa TBS out!

    Mlitaka afanye nini wakati ndilo llilimcost Chami!
  7. M

    Tume ya Warioba kutafuna bil. 40/-

    What is the big deal, they deserve the payment. Mbona hamhoji malipo ya vikao bungeni?.
  8. M

    Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

    Yanga tawi la tabata shule kuweni wapole acheni ngumi na ubondi
  9. M

    Updates: Simba SC vs Yanga SC Uwanja wa Taifa

    Watani zetu Yanga hii ndiyo Simba. Msivunje tu timu yenu. Kipigo mmepata na viongozi watafaidi hela ya mgao wa Mechi. Simba rahaaa
  10. M

    Mzee Warioba kuongoza tume ya katiba!

    Hongera sana Mhe Rais JK. May God bless you. Tume ni nzuro sana
Back
Top Bottom