Search results

  1. R

    Tunachimba visima TZS 650,00 kwa mita, gharama zetu nafuu sana

    sema gharama zako, mfano futi 40 sh laki moja, tank ninakununulia, au futi 30 sh milioni 8 na tank unanunua watu waelewe
  2. R

    UTAFITI: Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo duniani

    mkuu mbona mbio wanatushinda?sisi tunaishia kuwa wa tano na tunapongezana?
  3. R

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu Abdul wahid na wauazaji wote wa TV, natoa mapendekezo, either muanzishe uzi mwingine ambao mtakuwa mnaweka picha za tv ,ikionyesha aina, ukubwa wake na ubora wake na bei zake kwa wakati huo mnavyoziuza, ili sisi wanunuaji/wahitaji tupitie tuone kwa maelezo hayo mliyotuwekea je tunaweza...
  4. R

    Muonekano wa watoto mapacha 6 kwa sasa

    Asante Mkuu, kuna mtu alituma link, nimeifuatilia tayari..
  5. R

    Ushuhuda: Nilimlisha mume wa mtu limbwata la nyama ya bundi

    ni kweli story yako inavutia kiasi kwamba mtu unataka ujiridhishe kuwa ni kweli, kwetu wengine itasaidia kufundisha na kuwaelekeza watu na watoto nini wafanye na nini wasifanye..nasubiri
  6. R

    Ushuhuda: Nilimlisha mume wa mtu limbwata la nyama ya bundi

    hajatuambia hali za akina K na mke wake, mdogo wake na mke wake na feisal na wote aliowavunjia ndoa zako je sasa wamerudiana? halafu hizi code za 0744- bado zipo ama hii aliifanya zamani? pia, anatuhakikishiaje kuwa alichoandika si hadithi ya kutunga ni kweli tupu? tena, isije ikawa yeye ndo...
  7. R

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Naona dalili ya vyuo vikuu vingi kufungwa kwa kukosa wanafunzi, kushindwa kujiendesha kwa ukosefu wa fedha. pili watoto wengi kukaa nyumbani bila sehemu ya kufanya jambo ambalo litaleta, pengine, political instability, umaskini kuongezeka, ujambazi n.k. waziri wa elimu afikirie upya jambo...
  8. R

    Nataka kununua gari

    Naomba na mimi nitupie swali juu ya swali, ndg yangu ameagiza gari dogo kwa ajili ya kumtembelea, Ila katika negotiation pengine kutokujua ama kupunguza gharama - sijui gari limetumwa bila kuwa n a inspection certificates( JAAI). Alipomuuliza muuzaji anamwambia angalia invoice yako...
  9. R

    Muonekano wa watoto mapacha 6 kwa sasa

    hata sasa inaweza kuwa photoshop... labda sasa tungepata kujua ki-ukweli wanaishi wapi ili kujiridhisha kabisa kuwa ni KWELI
  10. R

    Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Aah Mkuu Tuta, kama ndivyo sawa, yaani kiwango kinabaki kilekile ila serikali inachukua asilimia 10 ya kile walichokukata tayari.Hawa jamaa si watapandisha tena viwango vya ukataji ili waendelee kupata faida ileile, mlaji wa mwisho kwako tena.asante-
  11. R

    Nimeamua kuoa, gharama za girlfrend ni kubwa kuliko za kutunza mke

    inaonekana muda tu ulikuwa haujafika. Mbona unaonekana kuyajua hayo?Au kuna mtu alikusaidia kufanya reserach mkuu, hujaoa umejuaje kuwa ni gharama nafuu kuwa na mke? Pia watu wote hupitia hayo maisha, ya kuwa na mchumba kwanza na mnapokubaliana mnaoana, hivyo manweza kuwa mnatoka kwenda kula KFC...
  12. R

    Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Wakuu! nimechoka kabisa na nimekata tamaa kabisa. Pengine ni kutokuelewa ama vipi kwani watu wengi naona hawajafurahishwa na bajeti hii. Pengine niulize 1/ Upandishwaji wa gharama za e-pesa, zikoje?hii 10% inakatwaje?ukituma 100,000/= unalipia 10000? Au itatulazimisha turudi kwenye benki hata...
  13. R

    TAHADHARI: Vibaka wamezidi usiku maeneo ya barabara ya Mlimani City

    Nakuunga mkono kwa kweli kwa asilimia zote.Mamlaka husika zichukue hatua haraka kuhakikisha kuwa vibaka, majambazi na wezi jijini Dar es Salaam wanakomeshwa kabisa na hali irudi kama zamani. Wananchi tunaishi kwa hofu sana siku hizi.Uporaji wa magari, pikpiki na bajaji na uporaji na ukabaji wa...
  14. R

    Mume wangu hajishughulishi na familia, namfanyia kila kitu, nimechoka

    hapo umekosea kufanya mambo kisiri---ndoa ndio inavunjika hivyo na itakuvunjikia mikononi mwako. nafikiri iongea nae kwanza. maombi ya kutaka utajiri sio maombi ya kweli, hizo ni tamaa, na ataliwa sana hela na hatakaa apate chochote.Nakuhakikishia
  15. R

    Mume wangu hajishughulishi na familia, namfanyia kila kitu, nimechoka

    hapo kutokujuana vizuri hulerta shida mbeleni. si lazima mtembee naye kabla ya ndoa, bali kumfahamu mtu tabia yake anapenda nini, mtu wa dini ama sio ni vitu vinavyohitsaji utafiti/uchunguzi. hata hivyo mtafute mshenga muongee naye
  16. R

    Msaada tafadhali: Mbu wananisumbua!

    nilikuwa sijaiona hii----ngoja nikajaribu kutafuta
  17. R

    Msaada tafadhali: Mbu wananisumbua!

    Ingawaje ni uzi wa kitambo kidogo, bado mnaweza kunisaidia, jana nimeuliza kwenye mojawapo ya duka la mifugo hawakuelewa wanipe dawa gani, mnaweza kunishauri wakuu dawa gani hasa nikaulizie dukani.hili tatizo sana hapa Dar.Tafadhali ushauri wenu muhimu sana kwangu
  18. R

    Suluhisho la Kiingereza Shule za Sekondari

    changamoto hizo unazozisema ndo maananikawa nimeshauri tutumie kiingereza toka awali. Kenya wanaongea kiswahili, lakini ufundishaji ni kiingereza, uganda vivyo hivyo---wataalamu mtanisaidia. Ikija kwenye ushindani wa ajira pia, hata watu wenu wenyewe mliowaweka kama wasiamamizi, na watawala-MDs...
Back
Top Bottom