Search results

  1. S

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Mkuu vipi umewahi kusikia mazingira ya huko?alafu ni single au co-
  2. S

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    naweza kumuhamisha mwanangu kutoka nyandagu Rorya kuja msoma mjini au mwanza? ni taratibu gani zatakiwa??
  3. S

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    tujadili kuhusu mazingira ya shule, uwepo wa walimu wa kutisha/ hata kama hawatoshi, usalama wa watoto wetu wawapo huko! hali ya hewa nk.
  4. S

    Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    mkuu naomba uniangalizie GASPER C URASSA FROM ORKOLILI secondary
  5. S

    Anataka nimuoe na mtoto wake

    Samahani kwa swali hivi ni kwa nini aliachwa!?? Pole lakini.
  6. S

    Anataka nimuoe na mtoto wake

    Pole, ni rahisi sana! Baba wa mtoto Ana wajibu wa kumtunza mtoto hata km hayupo mikononi mwake, na ustawi hawawezi kukubaliana na baba kugoma kumtunza mtoto kisa hayupo kwake, unafahamu kuwa sheria ya mtoto inakubali mtoto akae na mama hadi miaka 7 alafu mtoto mwenyewe achague km anataka kwa...
  7. S

    PSRS: Majibu ya Maswali na Hoja za wadau, Desemba 2014/Januari 2015

    Vipi kuhusu vyuo vikuu vizembe, ambayo, kushindwa kutoka vyeti kwa baadhi ya wahitimu kwa muda husika?? Na je tutor taarifa au introduction letter inatosha!
  8. S

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    okey I will do it immediately.
  9. S

    Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    Mkuu naungana na wewe kumuombea jamaa msamaha
  10. S

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuu Naomba unipm kwa maelekezo, Mimi naanza kwa kupm mawasiliano
  11. S

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuu
  12. S

    Mzungu apiga risasi watu 9 Kanisani Marekani

    Urangi ndo hauwezi kuepukika lakini udini haupo, muuwaji hataki/anachukizwa kuwaona watu weusi maishani mwake
  13. S

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Sir litto nipe tu nilime then tutaongea habari ya faida
  14. S

    Kwanini sitaki kujua kipato cha mke wangu?

    Ninakuwa mwansjf wa kwanza kukuelewa
  15. S

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Jamani kwenye degree wapi baadhi waliofundwa vizuri, wakapata wenza Wema wakaelewana na familia inakuwaje paradiso ndogo. Kama Mimi na shemj yenu.
  16. S

    Muingereza mnene kuliko wote huko Uingereza afariki leo

    Sijui ni kwa nini mtu apate matatizo yatokanayo na kula saana na pia aanze kutumia DAWA za kupunguza unene na badala ya mazoezi, maji ya moto na pia kupunguza kula mivyakula mingi maana ni uroho tu huo...
Back
Top Bottom