Search results

  1. Chimunguru

    Karibuni Songea

    Umepasahau kimolo, ila mara ya mwisho kuja huko ilikuwa 2007. Ila childhood memory inanipa Raha Sana
  2. Chimunguru

    Karibuni Songea

    Hahaha like matogoro juuu
  3. Chimunguru

    Karibuni Songea

    Hakuuna hata mtu wa matogoro humu? Mitaaa yangu ya mabatini
  4. Chimunguru

    Babbie Kabae akumbuka alivyorogwa nusu kufa, kisa?

    Sister Dread huyu huyu? Duh pole zake sana. Mungu amtunze Dada yangu in the name of JAH
  5. Chimunguru

    Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

    Kulikuwa na msn messenger na Yahoo messenger kijana! Msn messenger yangu nilisahau password sijaweza kuitumia ila Yahoo messenger mpaka leo ipo hewani Toka 2002. Mitandao hiyo haikwepo Wala simu za internet hazikuweza fanya kazi maana mitandao haikutoa huduma hiyo. Mambo yalikuwa sms tu na...
  6. Chimunguru

    Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

    Mwanamke bana utampa alfu 50 ya kusuka nywele, anashinda siku nzima anasuka anarudi kichwa kinauma na Panadol atakunywa. Basi hiyo siku ht ufanyaje game hupewi utasikia utaharibu nywele zangu.
  7. Chimunguru

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Sisi wazoefu tulijua tu mtaja Lia siku ya payday, always maneno yanakuwa mengi utendaji kidogo. Mimi nilishawaho ongezewa mshahara shs alfu 5. Mnapewa percentage mnapiga hesabu kuubwaa mwisho wa siku tukapewa formula ya kukokotoa ongezeko inafika mpaka kibaha. Duh msitegemee mshahara kutoboa...
  8. Chimunguru

    Iringa ni pazuri kuliko Dodoma

    Iringa bomba saaana, nimeishi pale 7 good years, kwa kweli nili enjoy sana! Kale kaubaridi, shughuli za kiuchumi, ifugaji. Hasa mitaa yangu ya kujidai kibwabwa, nyamhanga, ipogoro na indiuka hahaha mnoge yuvee! Use ludodo tulonge! Nyela Iringa raha kwa watani wangu
  9. Chimunguru

    Kesho naelekea Songea

    Hakuna Hakuna kitu km hicho
  10. Chimunguru

    Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

    Ht mbwa Dume huwa hachuchumai, huwa ananyanyua mguu mmoja Juu nanku pee. Hicho choo Cha sink nacho Kuna tobo lake pale lengesha mkojo wako pale usiruke ruke pembeni. Otherwise hizi ni miendelezo wa zile mada zinazopromote ushoga zaidi na kuondoa UANAUME halisi
  11. Chimunguru

    Jenister Mhagama wa Awamu ya Tano akikutana na huyu wa Awamu ya Sita watapigana sana

    Hawana jinsi zaidi ya kuwa bendera kufuata upepo.hawana uhuru bali kufuata maagizo ya Rais. Kariba mpya ndio suluhisho
  12. Chimunguru

    Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Mwambie aende shule kiongozi mapenzi yatamlostisha
  13. Chimunguru

    Prof. Lipumba aikataa Kamati ya Prof. Mukandala. Asema hakuna mjumbe aliyesema mchakato wa Katiba usubiri hadi mwaka 2025

    Ukishaona huyo Lipumbafu yupo Basi jua Kuna mchongo wa kusaliti kitu hapo. Hafai hata kwa chai ya rangi
  14. Chimunguru

    Wanaume ni Viumbe wagumu zaidi kuishi nao

    Kabisa ndio maana inabidi muwe mnatuelewa tunataka nini
  15. Chimunguru

    Wanaume ni Viumbe wagumu zaidi kuishi nao

    Mwanaume anataka mbususu bila kupimiwa na heshima baasi hayo mengine mtajua wenyewe. Hapa mbususu tuuu
  16. Chimunguru

    “Haitajirudia tena” kauli ya kipuuzi sana wakati wa kufunga ndoa

    Jamaa sio muoaji, anaingia kwenye ndoa na hasira na mwenzi wake! Hakuna love hapo ni ubabe tu na hasira. Huyu jamaa ni mkoloni Sana
  17. Chimunguru

    Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

    Hakuna upambanaji hapo, huyo ni sawa na paka( simtukani ni kwa ajili ya uelewa)Paka anastawi kwenye msosi. Ukihama nyumba ukimuacha Paka ndani atakayekuja km msosi upo paka hana issue ataishi tu pale. Yaani huyo yeye anapewa capital anafungua biiashara na ku run. Haijalishi kama anapata hasara...
  18. Chimunguru

    Niezeke bati la kiwanda gani kati ya Alaf na Sunshare?

    Yes kamanda upo sahihi nilienda kiwandani kwao nikanunua bati zao. Ziko na rangi Ile Ile mpaka leo. Ukiziangalia kama plastic flani hivi lkn ni bati na zikiwekwa Mia hapo chini unaweza dhani zipo ishirini. Sunshare wako Safi Sana toka 2017 mpaka leo nearly 6 yrs hazijapauka ziko vile vile
  19. Chimunguru

    Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Huyo hayupo nchi hii ashasepa zake kitambo. Hapo anawacheki kwa mbali Sana, yaweza kuta yupo Visiwani Cyprus akila maisha na don Balali
  20. Chimunguru

    Starehe yako kubwa ni ipi?

    Kumwimbia Bwana Yesu nyimbo mpya na kumpigia kinubi, pamoja na kulisifu jina lake Kuu
Back
Top Bottom