Search results

  1. P

    How to get Turkish visa when you have schengen visa

    Kama una passport ya Tanzania na Visa ya Schengen utagongewa entry Visa ya Turkey pale Instanbul kama ndio point of entry. Nilifanya hivyo miaka kadhaa ya nyuma. Kujiridhisha, nenda kwenye ubalozi wao hapa Tanzania utapata maelezo ya ziada.
  2. P

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Sio kweli, tafiti ikishafanyika huwa inafanyiwa evaluation, kama niya hovyo kama hii ya hawa wasanii inarudiwa. Huwezi kurudia tafiti ya kitu kilekile, ni matumizi mabaya ya rasilimali
  3. P

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Hizi ni akili zako ni za ki Eyakuze
  4. P

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Akili za ki Eyakuze hizi
  5. P

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Swali lilitakiwa liwe hivi: Kati ya CCM, CHADEMA, ACT ...utakipigia chama kipi? Hii ndio inaakisi options zilizopo kwny karatasi ya kura
  6. P

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Mkuu avumaye baharini papa kumbe wapo wengi. Huu utafiti ni uchafu na fedheha. Hii sample na sampling method yao ni dhaifu sana. Ukisample kaya (households), kunakuwa na tatizo la clustering tayari, lazima cluster effect iingine hapo. Sasa unafanyanye random sampling ya participant ktk...
  7. P

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Hapa wataalamu wanapima trustworthness na validity ya utafiti. Hata huyo Aidan anajua fika ile ni fedheha
  8. P

    Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Huwezi kwenda na utafiti wa hivi mbele ya vyombo vya habari, ni aibu kubwa hii. Eti je Ukawa ni chama cha siasa? Hivi kwa nini hakuuliza, Je unaifahamu ukawa? Nani mgombea wa Ukawa...Afterall Ukawa imeingiaje humu kwny utafiti huu
  9. P

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Mtafiti mahiri hawezi kuchomoka na matokeo yaliyo tatanishi kwny vyombo vya habari bila kijiridhisha kwa nini matokeo hayaakisi ukweli. Ukitazama uchaguzi wa mwaka huu, wazungu huwa wanasema it is too close to call, yani kuna ushindani sana na ni vigumu kujua mshindi ni nani. Sasa hawa Twaweza...
  10. P

    Mawasiliano ya Mwigulu, J. Makamba, Lusinde, Kairuki yavuja [PENDING VERIFICATION]

    Mweee!! NEC tena! Kazi ipo aisee watuachie nchi yetu salama hawakuzaliwa watutawale milele, saa imefika naam tena ni sasa.
  11. P

    Sababu kuu za CCM kuanguka vibaya na UKAWA kushinda uchaguzi Oktoba 25

    Mkuu tunazungumzia efficiency (ufanisi), kwa miaka yote waliyokaa madarakani tulitakiwa tuwe na maendeleo makubwa sana, hivyo acha kungangania vitu vidogo vidogo na kuona kazi imefanyika kumbe sivyo.
  12. P

    CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    Muulize waliposema nchi kwa mara ya kwanza itapata makamu wa raisi mwanamke je haikuwa kuomba kura kwa kubagua jinsia!
  13. P

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Hahahaha, dhehebu la kilutheri halikuwa kwenye headlines, mwanzoni mlikuja na hoja ya ukristo, sasa mmekuta na mgombea wenu ni mkristo mkakosa hoja mkaona muutazame ulutheri wake. Hii imebumaaaa..... Lowassa ni mlutheri, na nchi hii haijawahi kuwa na raisi mlutheri, fact! Samia ni mwanamke, na...
  14. P

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Sikujua kama dalili za kushindwa zingekuja mapema hivi! Mwaka huu si udini, ukabila, ukanda au ubaguzi wa namna yoyote utakaowasaidia.
  15. P

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Tafuteni hoja nyingine, ya udini imebuma. Ya ukanda pia imebuma na siku za kampeni ndio zinaelekea nusu ya pili. Jibuni yule aliyesema nchi hii haijawahi kuwa na makamu wa raisi mwanamke alimaanisha nini! Mkileta jibu ndio tutachangia huu mjadala
  16. P

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Hivi wanaposema nchi hii haijawahi kuwa na makamu wa Raisi mwanamke wanamaanisha nini vile!!!
  17. P

    Zitto Kabwe umemuelewa vibaya David Kafulila, alimaanisha hivi

    Werevu tunajua ufisadi wote wa nchi hii umefanyika chini ya utawala wa chama kipi,hatudanganyikiiiiiiii
  18. P

    Rushwa ni ajenda ya msingi iliyokimbiwa na CHADEMA

    Halafu ikawa ya msingi kwa ccm!! Kwikwikwi!!!. Pale waasisi wa rushwa wanaponyooshea wengine, maajabu hayataisha hii dunia. Ndio division 5 zenyewe nini hizi
Back
Top Bottom