Search results

  1. Kada

    Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Yaani hovyo kuliko hovyo yenyewe. Wameweka utaratibu wa kuwasiliana nao (Get intouch) request kwenye website zinafeli, namba za simu zilizopo kwenye website yao hazipatikani, emails hawajibu, kwenye social media hawako active!!! Yaani mteja nahangaika kuwatafuta wao ili niwalipe, ni Watu wa...
  2. Kada

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Thanks kwa ushauri. Naomba kujua bei (simu mpya), location Dsm. 1. Redmi Note 3 Pro 2. Redmi Max
  3. Kada

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Habarini wakuu. Natafuta Xiaomi Redmi Note 4 au Xiaomi Redmi Max. Nijulishe bei zake & itakuwa vzr zaidi kama muuzaji yuko Dsm.
  4. Kada

    Viwango vya mshahara Maxmalipo co ltd

    Ni kweli mkuu, unatakiwa upange bei kulingana na thamani yako na ndo maana mwaweza kuwa kampuni moja & postions zinazofanana bt different salaries. Ila kwa Bongo its very rare applicable, na hivi ajira ni shida!
  5. Kada

    Sauti ya Mke wa Waziri Mahiga na Traffic Police aliyetakiwa kupandishwa cheo

    Askari siyo mpenda makuu, kama ametukanwa ni kosa na ni lazima aliyetukana aonywe/aadhibiwe. Hiyo faini aliyokubali kulipa inahusu makosa ya barabarani, tuache kuteteana kwa vitu kama hivi kisa yeye ni mke wa kiongozi. Isitoshe yeye ni mke wa kiongozi, anapaswa kuwa mfano. Siyo kuleta dharau na...
  6. Kada

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Shukrani sana kwa Chief Mkwawa na Njunwa Wamavoko kwa darasa huru, mbarikiwe sana.
  7. Kada

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Inatumia line (sim card)?? Bei yake je??
  8. Kada

    Kulikoni sasa hivi wakuu wa mikoa na wilaya wameamka na wamekuwa wakali kupita maelezo?

    Naona kamaa ni wanafki tu & wanalinda vibarua vyao. Siku zote walikuwa wapi kuyatenda haya wanayoyafanya sasa???!!!...
  9. Kada

    Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

    Huenda... Dodoma (Kongwa) umekatwa tangu saa 10 alfajir, haujarudishwa mpk sasa. Sijui tatizo ni nini, TANESCO nao kimyaaaa hawasemi chochote!!!
  10. Kada

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Kama unaweza deposit pesa kwa kutumia card namba, mi nahisi hiyo ndo acc number yako. Nadhani hizo ni mbinu za kibiashara kuvutia wateja(kuwa wanakuuzia card tu), huenda wanashughulikia wenyewe kukufungulia acc. Endapo unaweka pesa kwao ili ufanye manunuzi online, basi hata bank statement...
  11. Kada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sorry mkuu, wakati wa kufanya registration ile box ya PROMO CODE unajaza kitu gani? Nimekutana nayo hiyo wakati najisajili. Nikaamua kusitisha zoezi & nikawauliza via e-mail, naona kimya sikujibiwa mpaka leo.
  12. Kada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukrani kwa kunijibu mkuu, wacha nisubiri August(epl). Hii WC naona haina dhamana, nisije nkalia na kamtaji kangu!!!
  13. Kada

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera ndg. Ume bet kwa company gani(eg: meridian or M-Bet)?
  14. Kada

    Umuhimu wa tovuti(website) kwa biashara yako

    Wazo zuri, shukrani SMART CODES
  15. Kada

    DSTV inafungwa kwa sh ngapi?

    Ni kweli local channels ni hizo tatu ulizozitaja, lakini kama hujafanya malipo ya mwezi hakuna local channel hata moja ambayo utaiona. Labda kama hayo mabadiliko ya local channels kuwa free hata usipofanya malipo ya mwezi yameanza jana, otherwise huwezi ziona.
  16. Kada

    Programme ya kuandaa timetable ya chuo au shule

    Hayana tofauti, just mazoea tu hususani kwenye mambo ya teknolojia naona watu wengi wamezoea PROGRAM. Programme(United Kingdom) ni alternative form of Program. Kama kuna lingine zaidi ya hayo waweza ongezea ili tuelimishane. Otherwise, msaada wa nilichoomba hapo juu.
  17. Kada

    Programme ya kuandaa timetable ya chuo au shule

    Hiyo title namaanisha Program na sio Programme, samahani kwa usumbufu.
  18. Kada

    Programme ya kuandaa timetable ya chuo au shule

    Habari zenu wana JF. Naomba yeyote anayeijua program/software inayotumika kuandaa ratiba ya vipindi vya masomo na mitihani katika vyuo au shule kubwa, anitajie tafadhali. Pia upatikanaji wake. Natanguliza SHUKRANI.
Back
Top Bottom