Search results

  1. M

    Prof. Kabudi: Maneno yanayoenezwa JamiiForums juu ya sheria mpya ya madini ni ya uongo na uzushi

    Ukisoma sheria zote mbili kwa pamoja, ile ya Permanent Sovereignity, na ile ya Renegotiation of Unconscionable terms jibu utalipata. Imeelezwa vizuri sana ... Mfano Bunge kwa Azimio [Resolution] kuitaka Serikali ianze kujadiliana upya na na Kampuni kwa sababu Mkataba uliopo haukidhi matakwa ya...
  2. M

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Katika taarifa ya uhakiki wa vyeti aliyokabidhiwa Rais leo zaidi ya watumishi 11,000 wamewasilisha vyeti vya taaluma na sio vya form 4 na form 6. Na katika kueleza Waziri Kairuki alionyesha mashaka juu ya watumishi walio kwenye kundi hilo. Bahati nzuri Rais alibaini utata wa maelezo ya jumla...
  3. M

    Sakata la MCC: Wamarekani waonesha dalili ya kulegeza KAMBA

    Kwa maneno ya kwamba 'Tanzania itajua nini cha kurekebisha' ni wazi inaashiria kuwa kuna jambo limefichika. Na kwa hivyo uchaguzi wa Zanzibar na Cyber Crime Law ni viini macho. Na suala lenyewe pengine ni pale Rais aliposema kuwa Tanesco itaendelea kujenga uwezo wake wa kuzalisha umeme ili...
  4. M

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Jambo kubwa la kusikitisha humu JF ni kuwa tunaendekeza sana ushabiki badala ya kuzichunguza na kuzitafakari hoja kwa makini. Na hata taarifa ya Zito ilipokuwa ikiwasilishwa hapana shaka WENGI tulikuwa hatufuatilii kwa makini, kwa sababu TULISUBIRI conclusion. Na kwa kuwa inashabihiana na...
  5. M

    John Ulanga:The Fading Face of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    I think the speech is just too descriptive. I'm simply saying it is not analytical.
  6. M

    Rais Kikwete kuahirisha Bunge Maalum la Katiba

    Hii ndio inaitwa wishful thinking, na kiswahili kinachokaribiana na hicho ni Duala Kuku! Baahati mbaya sana na ni hasara kubwa kwa nchi yetu na watu wake kuwa fursa hii adhimu imekwenda namna ilivyokweda, kwamba jambo muhimu la kutafakari mustakabali wa nchi - fursa pekee ya kujadili masuala...
  7. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Dr. Slaa na waandishi wa Habari - Makao Makuu CHADEMA

    Nilikuwa naelekea kumwamini anachosema dk. Slaa. Lakini kaingia kwenye habari za uzushi/uongo. Nisingeuita uzishi kama angethibitisha hicho anachokidai - hasa pale anaposema "Nimenasa barua ya Prof. Shivji akiwaandikia idara ya siasa ya CCM akiwaahidi nakwenda Dodoma kuwashughulikia." Kama kweli...
  8. M

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Uwazi wa kura unaozungumzwa hapa ni wa kila mtu kuitwa jina lake na kusema yuko upande gani wa hoja inayopigiwa kura. Kila mjumbe (delegdmente) ataitwa jina na kusema ndio au hapana kwa hoja inayopigiwa kura. Mantiki ya utaratibu huu ni kuwa kwa sababu hawa ni delegates (wajumbe wanaowakilisha...
  9. M

    Prof. Shivji na Uchambuzi wa Uwezo na Mamlaka ya Bunge la Katiba

    Kwa zaidi ya wiki sasa kumekuwa na mjadala juu ya nini Bunge la Katiba linaweza au haliwezi kufanya kwenye Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na Tume. Mjadala huo ulianzishwa na Jaji Warioba mwenyekiti wa tume. Someni uchambuzi wa Prof. Shivji juu ya jambo hilo: Analyses | Cheche Za Afrika Mpya
  10. M

    Kupinga Serikali Tatu; Natofautiana Na Profesa Issa Shivji...

    Ndugu Maggid na Wengine, Mawazo na Maoni ni jambo moja na uzito wa uchambuzi ni jambo jingine. Mapenzi na matamanio ya kutaka au kutotaka Muungano kwa upande mmoja, na matamanio ya serikali tatu, mbili, moja au sufuri nijambo jingine. Suala la msingi ni kuisoma kwa utulivu hoja ya Prof. shivji...
  11. M

    The battalions of idiocy are on the march in Tanzania, old haven of global intellectuals

    Nakubaliana na wanaosema hapana pa kuvunja MBAVU kwenye makala ya Jenerali. Anaonesha wapi tunatoka (enzi hizo) kwenye utukufu wa fikra, na chemchemi ya mawazo na tafakari za kina, kwenye utukufu, sifa na heshima ya Taifa lililosimamia na kupigania haki utu, usawa na haki. Tulikuwa Taifa...
  12. M

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Japo wengi mmekomalia suala la Zimbabwe na Pemba, lakini kuna tatizo kubwa zaidi ya hapo, speech yenyewe haikuwa ya kiwango cha Waziri wa Serikali (yoyote ile, hata ya Brunei). Na ukizingatia kuwa ilikuwa imeandaliwa (angesema kichwani ningemsema yeye binafsi) lakini udhaifu na wepesi wa speech...
  13. M

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Uamsho wanachukua sura ya Dini, lakini kiini chake ni siasa. PC aliyeuawa si Mwisilamu, na maskani zilizochomwa si za CCM Zanzibar - waislamu. Nadhani dini inatumika tu kubeba matakwa ya kisiasa. Hebu niambieni, iweje Muislamu akabomoe store ya bia kisha akimbie na chupa za bia au kreti zima la...
  14. M

    Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

    Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu juu ya Zanzibar uliosababishwa na marekebisho ya 10 ya Katiba ya Zanzibar. Mawazo mengi yameshatolewa, mengine yakirejea nyuma kwenye historia ya Zanzibar na mengine yakiangalia hali ya kisiasa ilivyo hapa nchini, na mgawanyiko wa kijamii ulivyo huko unguja na...
  15. M

    Jenerali: Msekwa umeajiri wahuni wa kutosha, usifanye uhuni

    Anachosema Jenerali kwenye makala yake yapasa kitufumbue macho ya aina ya watu waliokabidhiwa dhamana ya kuiongoza nchi na wale wajao siku za karibuni. Tutapata vichefuchefu sana na tusipoamua na mapema tunaweza kufa kabisa, kwa sababu kama harufu na uvundo utazidi kila sehemi na hata sehemu...
  16. M

    Prosecute all corruption suspects, says US envoy

    Na ndivyo tulivyo tegemezi, tumebaki kupokea amri tu. Kisha sema kamanda wa mabeberu, balozi wa marikani, kitakachofuata, ni manyapara wetu kufuata amri. Ndivyo tulipofikishwa, watawala wetu wametufanya tegemezi wa mali na hali. hatuna utu kwa sababu hata kufikiri tumekabidhi kwa tunaoomba omba...
  17. M

    Udhaifu wa Azimio la Arusha na Mapokeo Potofu kuhusu Utajiri na Vipato

    Azimio la Arusha Jana na Leo Ni mjadala mzuri kuhusu Azimio, lakini mjadala huu ni vyema ukazingatia kuwa katika kipindi cha utekelezaji wake Mwalimu alikuwa akitoa tasmini mara kwa mara. Alifanya hivyo Mwaka 1977 (baada ya miaka kumi), na alifanya hivyo tena mwaka 1987 (baada ya miaka ishirini)...
  18. M

    Karume akacha kikao cha Baraza la Mawaziri

    hamjambo waungwana na JF, nianze kwanza picha nimeipenda na yenyewe tu ni habari tosha. watizame mawaziri walivyokaa, wasome nyuso zao, utabaini wale wanaojiamini na waoga, tuliache hilo. la karume, huu ni mwendelezo Salmin hakuwahi kukalia kiti chake kwenye baraza la mawaziri, na huyu wa sasa...
Back
Top Bottom