Search results

  1. RedDevil

    Ajali basi na Lori babarabara ya Igunga Shelui

    Duh poleni sana. Mungu awape wepesi majeruhi pamoja na wafiwa.
  2. RedDevil

    The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

    Kama kuna kaukweli fulani...wacha tusubiri hukumu ya corona aka COVID-19
  3. RedDevil

    Mashine mpya za kuice ya miwa

    Safi sana!! Nitakuja
  4. RedDevil

    Kisa cha Kweli: Hawara alivyonifilisi

    Duh ulipigwa sana poti. Ishu kama hizo unatakiwa uwe na rafiki yako unasema sema naye...inakuwaga kinga fulani akiona umekolea sana anakushtua unajirudi.
  5. RedDevil

    TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    RIP Mzee Mengi, utakumbukwa kwa kazi zako za biashara!! na lile saga lako na Manji au Muhongo
  6. RedDevil

    Hukumu ya Kijana Abdul Nondo

    Mzee Mzushi kama hukumu unayo mkuu tumwagie hapa!! JF wa kwanza kujua!
  7. RedDevil

    Inauma sana, nimemlipia mahari na ana mimba yangu lakini bado amenisaliti

    Wewe tulia mkuu, achana na mihemko ya kutaka kufanya tukio baya wala kuwaza sana! Piga kazi, mke utampata tu. Huyo weka katika listi ya vimeo uliojikwaa hivyo sahau na endelea na maisha mengine.
  8. RedDevil

    Korea Kaskazini yasisitiza ipo tayari kwa mazungumzo na Marekani

    NK alitegwa kategeka!! US siyo wa kumwamini kabisa. Navyojua mkutano haupo, walishamjua nje na ndani. Itamchukua muda kurudi kwenye mstari
  9. RedDevil

    Kila familia wilayani Maswa kuchanga 50,000 za maendeleo

    Hope wataweka wazi matumizi pia, wataruhusu uwajibikaji na uwazi utawale katika wilaya hiyo!!
  10. RedDevil

    Adha karibu na geti la Ikulu Dar!

    Kwakua umesema, nami niseme pale jirani na kwa kakobe kona ya kuelekea Mori kuna bonge la shimo yaani aibu. Shimo hilo limekuwa likifukiwa linaibuka tena ndani ya wiki. Wahusika nadhani kipindi cha mvua ndo muda mzuri wa kufanya utafiti lakini hawaonekani. Jamani wekeni kero zote hapa za...
  11. RedDevil

    Wazee wa Etihad, nini kifanyike kesho tutoboe UEFA?

    Waache kupaki basi....cha msingi ni kuuchambua mpira...pass za kutosha...na bila kusahau waongeze efficiency ya kufunga magoli. All the best!! Ingawa chance ya kupenya ni ndogo, chance bado mnayo ukichukulia Captain wa majogoo ataikosa hiyo mechi mhimu!
  12. RedDevil

    Kaniacha ila kila mara ananitumia texts na kunipigia simu

    Achana naye, usijibu kabisa hizo message. Ikiwezekana delete number na badili namba ya simu!! Harafu tafuta toto zuriiii
  13. RedDevil

    Tofauti ya wazi ya waraka wa TEC na KKKT

    Mimi naona kuna mawasiliano kati ya nyaraka mbili. Wa kwanza, uligusia kwa lugha ya juu (high level language ili wahusika wasikie) waliposhindwa kusikia, ikalazimika kutumia lugha nyepesi ujumbe uwafikie na wajirekebishe. Kwa maantiki hiyo, huu wa pili umeandikwa kwa lugha nyepesi na ndiyo maana...
  14. RedDevil

    Nimezama kwenye penzi la beki tatu.(update)

    Atakuwa kakuwekea limbwata si bure...jaribu kupeleleza kwao kama kuna hizo teknolojia uanze kufunga mitambo ya kujihami!!
  15. RedDevil

    Msaada wa haraka nimeshakata tamaa

    Fanya factory setting...mchezo kwisha!!
  16. RedDevil

    Mdogo wangu amekuwa kikwazo kwenye familia hataki kujishughulisha

    Huyo ni wa kuachana naye, mwambie ishu zako haziko sawa ndo kimoja! Ataanza kujiongeza. Baadae joto likitulia, unaweza kuanza kumuuliza tena anachotaka kufanya na kajipangaje. Kama ataweza kufanya anachotaka kufanya kwa nguvu zake mwenyewe huku ukimsupport vinauli tena vya mara moja moja!!
  17. RedDevil

    Kwa mara ya kwanza Tanzania kuwekwa katika M-bet Nimemwekea na dau Tanzania ashinde Nasubiri Mpunga tu

    HT, Algeria 2 - 1 Tanzania. Kapombe kajitundika OG.
Back
Top Bottom