Search results

  1. Chacha wa marwa

    Fahamu kiwango cha fedha ambacho ukisafiri nacho lazima utoe taarifa TRA

    Tutoe taarifa kisha tutekwe mbele ya safari hii si sawa, yaani watu watambue flani anakuja na anapesa kadhaa du! Nitasafiri na dola 9995, kwani hizo zitakuwa ziko chini ya kiwango chao.
  2. Chacha wa marwa

    Ninaweza kuitumia kwa mambo gani mengine ipad ambayo haisapoti kupiga simu wala kupigiwa?

    Naombeni msaada kwa anayejua matumizi mengine ya Ipad ambayo haisapoti kupiga simu wala kupigiwa, ninayo hapa natumia kwenye Fb,Instagram,Jamiiforum,twitter, hivyo tu je nawezaitumia kwa matumizigani mengine?
  3. Chacha wa marwa

    Msaada juu ya kutambua ipad nzuri yenye quality ya juu na duka linalouza kwa bei rahisi hapa dar

    Mambo vipi mdau naomba nikuulize, huvi Ipad ambayo haisapoti kupigiwa simu wala kupiga, kazi zake ni zipi maana ninayo hapa nashindwa matumizi yake naona kama sina faida nayo naingia fb, instagm, jmiiforums twitter, sasa kazi nyingine ya Ipad ni ipi tofauti na hizo?
  4. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Over 1.5 ndo inakuwa goal ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomba mnisaide uchambuzi hapa ander - over hizi zinamaanisha nini mi nilikuwa najua over 2.5 ni goal 3+ sasa hizi zinanichanganya sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkumbuke hapa jana huyo bets kaninyima kupata zaidi ya 1000,000 leo nimemuua kwa milan Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Natupia huu mwingine Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji106] mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo ndo yote nimechukua timu nane (8) tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupia hapa hiyo predictions unayotumia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona unakuwa kimya tusaidiane hiyo app unayotumia kubet. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaitwaje hii app? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Au hili file natumia sio zuri maana natumia jamii forums mobile app. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejaribu inanasema infortunaty my pcher has stop Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nami nahitaji niwatumie mikeka humu lkn nashindwa kutuma ebu nielekeze maana nikichukua picha scleen shot nikitaka ipost hapa inagoma nijurishe naenda wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Chacha wa marwa

    Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Ingia google chirome andika Mobdro download utaipata kisha chagua mechi ya kuangalia, ukishidwa nione whatsapp no. 0713424382 nikutumia hilo file ulione linafananaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Chacha wa marwa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaribu m-bet kabla muda hujafika bado ka dakika 20 ngoma zianze. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom