Search results

  1. T

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    Inasemekana Michael jakson ameuwawa na freemason kwa kumtumia yule daktari wake, chanzo cha habari kinasema kabla ya kuuwawa michael jakson walimpiga sana na kumchoma sindano ya sumu kwenye moyo wake na pia wakampiga sana ndio maana akakutwa na michubuko mikubwa sana na pia mbavu kadhaa...
  2. T

    Atoboe au aendelee kuficha siri?!

    Lucy aseme kweli tu maana ataficha mpaka lini? Na huyo pacha wa mume wake ataendelea kumsumbua pia makosa yako kwa mwanamume kwa sababu ya ubishi wake wa kutokwenda kupima akasababisha lucy afanye dhambi.
  3. T

    Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

    Ukiona Bidhaa feki zinachomwa moto na kutangazwa kwenye Tv huku wahusika hasa wakurugenzi wazito kabisa wakitangaza kwa mikwara ujue wahusika hawajapewa chao. Wale jama wa TBS na matakataka mengine yanayohusiana na hayo ni wauaji kwa kurusu bidhaa feki ziende kumuua mtanzania ila hawajui tu...
  4. T

    Kuna Future

    Pamoja na mambo yote hayo tunayoyaongelea kuhusu siasa na maisha kwa ujumla hapa tanzania je kuna uwezekano wa kuja kuwa na maendeleo kama nchi za ulaya au ndio basi tena mpk mwisho wa dunia? je nani nimpe kura yangu 2010 maana kwa kweli sioni wa kumpa! Kingine naona hapa kweli kuna magreat...
Back
Top Bottom