Search results

  1. D

    Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

    Haiingi akilini, nadhani hatuna majibu ya maswali yetu... ni vyema tusubiri coz every beggining must have an end! and what you give out will come back!!, but we are in very hard and bad situation especial in Arusha.. ni lazima tuwe na akili za utulivu na uwezo wa kukaa kimya kusubiri nini...
  2. D

    Polisi wamtaka Mbowe athibitishe Polisi walivyohusika katika mauwaji ya Arusha, la sivyo...

    Najiuliza endapo wanataka uthibitisho wa mbowe, wale police waliomlipua Daudi Mwangosya walifanywa nini kwani walikuwa wanaonekana kabisa???? lazima tuwe makini na matukio yanayoendelea kwani wanaoumizwa na kuuliwa ni watoto wa wananchi wa kipato cha chini wanaotarajia msaada toka kwa hao vjana...
  3. D

    Hali ya Kamanda Nassari

    Maombi yetu kwa Mungu amponye haraka, tunamhitaji ktk nchi yetu sana, tunalaani hivyo vitendo viovu na vya kikatili vinavyofanywa na watu wasio na nidhamu. Siasa imegeuka eneo na vurugu, majeruhi, ulemavu na mauaji pasipo kujali ubinadamu!! MUNGU INUSURU TANZANIA NA VIONGOZI VIJANA PAMOJA NA...
  4. D

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Ukweli haupingiki, japo utacheleweshwa, na usumbufu na udhalilishaji mwingi leo tunamshukuru Mungu amerejesha furaha ya wengi na haki imetendeka japo kwa usumbufu mwingi. tunawaomba hawa magamba watuache Arusha tumechoka kusumbuliwa, waache tupate raha na mbunge wetu jamani. CHadema Inaweza...
  5. D

    Huyu Jenerali Ulimwengu Vipi?

    Ni wakati wa vijana kuutambua umuhimu wa watu kama hawa JU and Dr Slaa ni watu wenye hekima na ufahamu wa juu sana, vijana wangepata nafasi na kujifunza kutoka kwao, uwezo wa JU ktk kutoa mada na kuielezea ni mkubwa sana, tatizo la nchi yetu haihitaji watu kama hawa inahitaji watu kama kina...
  6. D

    hebu check hii

    Nadhani habari imeeleweka, tunachohitaji ni haki sawa kwa wote, hakuna mageuzi pasipo ushawishi, na hakuna ushindi pasipo ushindani, aibu za ccm wanaweza geuzia ktk sheria kama nguvu ya uonevu, ccm tunayoijua hawataona haya kufanya hivyo wanavyohitaji kwani kwao uhai wa mtz hawauthamini ila...
  7. D

    Uongo wa Mwanamke wa Daraja la Sarenda.

    Habari ya mtoto inaendeleaje mzee, I hope umemfanyia cancelling kwanihilo sio tatizo la hospital. kama anaendelea na ndoto mpeleke ktk maombi na afanyiwe cancelling yatosha, kisha mueleze asipendelee kukaa ktk story za aina hiyo zitampatia matatizo at the end.
  8. D

    Hii si vita ya Dk. Slaa pekee, ni yetu sote

    I don't think why those people don't fill ashamed of themselves, due to this mess, using the money of hard working people who especial get a very low wage of sallary and been deducted 13% amount of their money, and them whom they called themselves leader taking without fear of God!! Now it's...
Back
Top Bottom