Search results

  1. M

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    Whatever you say, Hujajibu swali langu la msingi. Wamerekebisha nini kwenye hiyo costing model??!!!unachotaka kutuaminisha hapa ni kwamba costing model iliyotumika kupata 2004 ni tofauti na ya sasa iliyotumika kupata 2114.
  2. M

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    Sioni jipya kwenye hoja yako! You are just trying to market your poor firm in this issue. Kwenye tangazo la EWURA uliloweka hapa wameainisha wazi vigezo vya bei kubadilika kwamba ni bei kwenye soko la dunia na kushuka kwa thamani ya shilingi. Wameonesha pia unafuu uliopatikana kwa kulinganisha...
  3. M

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    <br /> <br /> bei inaweza kupanda yes . i have no prob with that! kitakachopandisha ni either prices kwenye world market or kuporomoka kwa sh yetu period! sio kwamba ewura wameriview template ya bei na kurekebisha swala demurage. kubadilisha template ya bei sio issue ya siku 2-it is a process...
  4. M

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    <br /> <br /> yaani mkuu nimemsoma nikapata kichefuchefu. tatizo letu watz tu wavivu kusikiliza na kusoma na kwa sababu hiyo tunaweza kudanganyika na people like huyo anayejiita mtaalamu wa cost accounting. i tell u if i was ewura ningewabana zaidi hao jamaa wa mafuta on demurage...
  5. M

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    mtoa mada una uhakika kwamba wameridhia? bei hizo mpya za wk ijayo umeziona wapi? kama ungesikiliza kipima joto itv jana ungeelewa usanii wa wauza mafuta kwenye demurrage charges. ungeelewa kuwa hata sasa kwa kanuni hii mpya ewura ingetakiwa kubana tena kwenye hizo charges. with the current...
  6. M

    Majina na uhalisia (Without Prejudice)

    To some extent nakubaliana na ww kuwa jina laweza kubeba tabia ya mtu lakini mazingira yanachangia pia
  7. M

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    He is somewhere in Iringa - working with Unilever I guess
Back
Top Bottom