Search results

  1. B

    Kiongozi gani wa kumlinganisha na hayati Mwl Nyerere katika kuishi maisha simple?

    Kuna mtu aliyekuwa karibu na JKN aliniambia kwamba huyu Mzee tangu aingie madarakani mwaka 1961 alikuwa hashiki pesa yoyote ile. Fedha zote za mshahara wake kama Rais na marupurupu mengine km per diem wakati akisafiri ndani na nje zilikuwa zikishikwa na kushughulikiwa na wasaidizi wake. Kwa...
  2. B

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Mimi sina chama chochote lakini ni mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za nchi yetu. Nataka kujibu uliyoorodhesha kama ifuatavyo: Imefika mahali CCM huwa wanakuja na mbinu mbalimbali na zingine za kitoto na zingine za hatari ili tu wafanikiwe wanachokitaka. Kukwagiwa tindikali hakuna uthibitisho...
  3. B

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    Nakubaliana na Mtatiro kwa asili mia moja! CCM sasa hivi bila kuhonga hawajafanya kampeni! Inasikitisha sana kwa chama ambacho huko nyuma kilikuwa kinaheshimika sana ndani na nje ya nchi sasa hivi kime-stoop so low hadi kufikia kuweka mikakati ya kuwahonga wapigakura ili kishinde!
  4. B

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    CCM sasa wajue kwamba hakuna ushindi wa mteremko! Serikali nzima ya CCM ilihamia Igunga na bado Chadema wamewakaribia kwa kura. Hivi sasa ni wakati wa Chadema kuelewa na kulifanyika kazi suala la 'ujinga' wa watu wa vijijini ambao ni rahisi sana kurubuniwa. Natoa wito kwa 'makada/makamanda' wa...
  5. B

    Edward Ngoyai LOWASA: An administrative gape well felt!.........Comming soon!

    Kila kiongozi anayo staili yake ya kuongoza. Ni kweli Mzee wa Monduli alikuwa hodari kwa maamuzi ya papo kwa papo ambayo mengine yalikuwa yanafaa na mengine ya kuwekewa alama ya kuuliza. Naamini pia kwamba kila kiongozi huangalia mazingira yalivyo kabla hajaamua kufanya maamuzi. Kwa maana hiyo...
  6. B

    Kwa Mtaji huu wenye kipato cha chini watamiliki viwanja?

    Twaomba serikali itoe bure viwanja kwa wananchi wasio na uwezo! Ardhi hii ni ya mwenyezi mungu ambayo aliwapa viumbe wake waimiliki iweje sasa ifanywe kuwa biashara? Isitoshe hizo fedha zinazodaiwa wananchi wa kawaida wanazitoa wapi? Kwa maana nyingine serikali haitaki wananchi wa kawaida...
  7. B

    Warioba aogopa serikali 3 asema ni changamoto.Hoja dhaifu.

    Watanzania watu wa ajabu sana! Hivi sasa hata hizo serikali mbili tuna matatizo kibao yanayotaka fedha za kuwaletea Watanzania maendeleo wanayoyahitaji mno halafu watu wanadai kuwepo na Serikali tatu ambazo zitaongeza mzigo kwa Watanzania hao hao maskini wa kutupa. Tutakuwa na viongozi 3 wenye...
  8. B

    Visasi vya JK kwa watu wa Arusha? Ahamishia mkutano wa wakuu wa EAC Dar

    Congratulations! You've said it all in one small paragraph!
  9. B

    Mwandosya naye kaanza kuwachokoza CHADEMA?

    Sokile bwana kwa kuteteana!! Ofukozi, tutayasikia na kuyaona mengi kutoka 'wagombea watarajiwa' katika mbio za wanaotaka kuwania urais. Tuwe macho, katika Sekretariat mpya ya CCM yawezekana baadhi yao ama kila mmoja wao atakuwa na jina la mtu anayemtaka kuwa Rais 2015 kupitia tiketi ya CCM. Bila...
  10. B

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Mheshimiwa PPM, umeanzisha topic hii ili upate mawazo ya watu wengine kuhusu jambo hili. Kinachonishangaza ni kwamba kila mtu akitoa mawazo yake dhidi ya unavyotaka wewe haraka haraka unamjibu kupinga! Ulitakaje, kila mtu akubaliane nawe na wengi wanaoona EL anafaa ni wepi hao?
  11. B

    Chikawe awakemea Mwakyembe na Sitta: Waache kuzungumzia DOWANS

    Ndugu yangu, kwa haya tunayoyaona na kuyasikia unadhani Serikali ya Tanzania ya leo ina utaratibu wowote unaofuatwa? Kwa maoni yangu heshima ya Sitta na Mwakyembe itazidi kukua na kulindwa na wananchi endapo wataendelea kuwa kwenye vyeo walivyonavyo na kusaidia kuikosoa Serikali ipasavyo kwa...
  12. B

    Why we Oppose Them: In Memory of Fallen Heroes of Democracy

    MMM kaandika article nzuri ndefu na typing errors ndogo ndogo tu mmemsakama. Wengine nyie kasentensi kadogo tu hata kueleweka hakaeleweki?! Hizi lugha za watu jamani!
  13. B

    Serikali yawadanganya wahisani kuhusu bajeti!

    Habari zilizozagaa mitaani ni kwamba Mbunge Zitto anamiliki gari kla bei mbaya sana aina ya HAMMER. Kama ni kweli anaweza kuwaeleza wapiga kura maskini wa Kigoma waliompa ubunge amepata wapi fedha za kuweza kununua gari la aina hiyo wakati wapigakura wake wanakula mlo mmoja kutwa wa dagaa...
  14. B

    Elections 2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

    Habari zisizothibitishwa zinadai kwamba Muungwana akisafiri huko nje na kukutana na Watanzania huwauliza baadhi yao kwa nini wameamua kwenda nje. Baada ya hapo huwataka warudi nyumbani na kuwaahidi kwamba atawasaidia kupata ubunge na hatimaye uwaziri. Kama habari hizi ni za kweli basi huenda...
  15. B

    Elections 2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

    Eti jamani nasikia mke wa Ridhwani Kikwete ni mtoto wa Zakia Meghji. Je ni kweli?
  16. B

    Mchungaji Rwakatare naye atoa tamko...

    Tumwacheje wakati anawakamua 'kondoo' wake bila huruma! Habari ni kwamba kila akipanda madhibahuni kuhubiri lazima avae nguo mpya tena ya bei mbaya mno na harudii kuvaa nguo hiyo. Badala ya kutumia sadaka za kondoo wake kwa maendeleo yao na ya kanisa yeye anazitumia kujirembesha! Shame on her...
  17. B

    Elections 2010 Pongezi za dhati MwanaHalisi, Raia Mwema na Mwananchi

    Mbona mnamsahau Mwanakijiji na Lula.... ambao nao articles zao zimekuwa za kusisimua ingawa mwishoni zilipoa poa wengine tukakajiuliza kulikoni na tukadhani kwamba tayari Mwanakijiji keshatembelewa na wale jamaa na kupewa 'ultimatum'!!
  18. B

    Elections 2010 Kikwete na Dr. Slaa ni marafiki

    Ukiichunguza sana picha hii utagundua mambo kadhaa wa kadhaa kutokana na body language. Binasfi naona Dk. Slaa amecheka akonyesha moyo mweupe kabisa usio na waa kwa JK kama Rais wa nchi wakati huo. Angalia JK, unaweza kusema anaonyesha nini? Dharau kwa mwenziwe aliyecheka kwa furaha kwa moyo mweupe?
  19. B

    Kulikoni ?????

    Ukitafakari kidogo juu ya matokeo ya kura hasa Tanzania Bara ambako kuna mchanganyiko wa karibu nusu kwa nusu wa dini mbili kubwa, utagundua matokeo hayo kwa wagombea urais kwa tiketi ya CCM na CUF hasa Tanzania Bara yana ka-element ka udini. Mgombea wa CUF amepata kura nyingi ukanda wa mwambao...
  20. B

    Kwa nini NEC wanatangaza wagombea urais kwa ujimbo?

    Wenye ueledi wa jambo hili tunaomba watufahamishe. Nimekuwa nikiwasikia NEC wakitaja matokeo ya urais na mwisho wanataja nafasi za wagombea watatu wa kwanza kwa misingi ya majimbo badala ya idadi ya kura na kwa hali hiyo Dk. Slaa anatangazwa kwamba ameshika nafasi ya tatu badala ya kuwa nafasi...
Back
Top Bottom