Search results

  1. Sungi

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Usijumlishe watanzania wote kwenye uchambuzi wako dhaifu. Usidhani watanzania ni wajinga. Eti "afadhali kuongozwa na fisadi" kama ndivyo hivyo basi wewe tafuta nchi yako ukaongozwe na fisadi. Watanzania tuamke, tujikomboe kutoka fikra duni kama za huyu ndugu aliyeandika thread hii ....
  2. Sungi

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kama wapiga kura ndio hawa waliochangia kwenye hii thread basi Tanzania kama nchi tutaendelea kuwa maskini vizazi vingi vijavyo. Alichokifanya mzee Slaa nikujaribu kuuelimisha umma wa watanzania, ili waweze kufanya uchaguzi wenye tija kwao na vizazi vijavyo. Mwenye macho haambiwi ona.
  3. Sungi

    Je, Jakaya Kikwete na CCM itamtokea kama ilivyomtokea Daniel Arap Moi na KANU ya Kenya?

    Totally different situation. Moi handpicked Uhuru at that time, while CCM has a process of selecting their flag bearer. With CCM it is not a one-man show, with KANU it was a one BIG man's show ...
  4. Sungi

    Lowassa atinga mkutanoni Halmashauri Kuu, Waimba tuna imani na Lowassa

    Atafanya kazi nzuri .... kufuatana na track record yake.
  5. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Kwa sababu sisi waafrika tumelelewa kuamini kuwa serikali ndio jawabu la maendeleo yetu ... pengine jibu la swali lako ni ndio. Lakini hoja hapa ni kwamba kama wananchi wa pande zote wangekuwa wana maisha bora wakilinganisha na miaka ya nyuma, swala la muundo wa muungano lingekuwa sio la maana...
  6. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Wewe sio mstaarabu kwa kutumia lugha ambayo inaudhi na kukera wengine.
  7. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Soma hapa ndugu Kisampido :) http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/21880-wasomi-washikilia-serikali-moja
  8. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    hehehehe ... :)
  9. Sungi

    Warioba ashitakiwe

    Ndugu waziwazi ... nadhani wasiwasi wako unaonyeshwa wazi kwenye hoja yako unayoitoa. Sidhani kama Tume ya Mabadiliko ya Katiba imefanya kosa lolote linalotambuliwa kisheria. Wao waliteuliwa kukusanya maoni ya wananchi juu ya swala la katiba na jinsi gani watanzania wanafikiri katiba yao mpya...
  10. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Napendezwa na hoja zako zina mantiki. Nijibu ifuatavyo:Kujibu swali lako, ni akina nani wanaweza kuwavaa wanasiasa WACHACHE wa Tanzania-visiwani wenye nia ya kuvunja muungano ... kuhakikisha hawapati kura na kuchaguliwa kushika nyadhifa kubwa za serikali. Hapa nina maana ni wananchi wenyewe...
  11. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Naona ndugu Samweli Mwandelema hujaelewa theme ya hoja yangu. Tafadhali soma tena. Hoja yangu ni rahisi na haihitaji usomaji wenye jazba na uwakaji. Hayo sasa unayoyasema, ya kuwa mtu wa bara ni taabu kuajiriwa visiwani ni shida, ndio haswa yanatakiwa kuangaliwa na kusahihishwa kwa sababu ni...
  12. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Sijasema hivyo ... kuhusu muundo wa muungano, hata bunge maalumu kwa maoni yangu haliwezi kulitolea uamuzi. Hili jambo la muungano lipo under "articles of the union". The assumption was that the people of the then Tanganyika (kabla sijazaliwa) na Zanzibar waliridhia muundo huu. Basi swala hili...
  13. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    hehehe ... rejea kichwa cha hoja yangu. Wanasiasa ndio kina nani? Kila binadamu ni mwanasiasa by nature :) mimi nimetoa hoja yangu, yako je?
  14. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    9 Desemba tunasherekea kumbukumbu ya uhuru wa nchi iliyoitwa "Tanganyika". Kukumbuka siku hii muhimu sio sawa na hoja yangu hapa mkubwa, ambayo ni juu ya kuirudisha tena nchi hiyo iliyodumu kama dola kwa miaka 2 na nusu hivi. Nasema hivyo kwa sababu mimi sio raia wa nchi hiyo kwa sababu...
  15. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    :biggrin: sizungumzii bibi au babu yangu hapa ... soma title ya thread yangu "Mimi siijui Tanganyika ..."
  16. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Mimi ni mtanzania, ambaye nina uhuru wa kutoa mawazo yangu juu ya nchi yangu (haki ya kikatiba). Ni kweli kabisa, Tanganyika ni nchi iliyokuwa nchi kwa miaka 3 na ipo kwenye vitabu vya historia ambayo nimeisoma sana mpaka kutunukiwa udaktari wa shahada ya uzamivu :)
  17. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    That is mixing apples and oranges ... mfumo wa vyama vya siasa sio sawa sawa na muundo wa nchi. Nchini Marekani, Jimbo la Texas, mara kadhaa limepata magovenor ambao wamejaribu kusema eti Texas i secede kutoka United States of America, na hawa magovernor mmoja wao akiwa Rick Perry (aliyegombea...
  18. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Shallow response. Sijaelewa hata umezungumza nini, halafu eti wewe ni "Senior Member". Wengi wenu hapa mpo tu kama wale wachache wazomeaji kwenye Bunge Maalumu. Toa hoja ... :biggrin:
  19. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    You have good points. Nilichosema ni kwamba, watanzania walio wengi hawana tatizo na aina ya muungano baina ya Tanzania-bara na visiwani. Ni baadhi ya wanasiasa ambao nia yao ni kutawala, kujilimbikizia mali kama njia ya kujiondoa kwenye umaskini wao. Wanasiasa hawa wa Tanzania-visiwani...
  20. Sungi

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Mtu ambaye hawezi kujenga hoja mpaka amdhalilishe mwingine kwa kumtukana ni mtu hatari ambaye anatakiwa kukimbiwa kama ukoma!
Back
Top Bottom