Search results

  1. K

    Msaada message za kutisha za majambazi - dar

    Mkuu inaelekea ulipita siku nyingi sana hapo Upanga. Walisha hama hapo muda mrefu sasa. Ofisi zao mpya ziko Mawasiliano House along Sam Nujoma.
  2. K

    Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Pole sana Max. Wote tunakuombea, Mwenyezi Mungu atafanya miujiza upone haraka. Get Well Soon !!!!!
  3. K

    Kumbe hata USA kuna mawaziri wabadhirifu

    Katika pita pita nimeona hii habari naona tushee. Maybe the Pentagon's legendary $600 toilet seat was a bargain. The personal bathroom used by the secretary of the Interior is so swanky that its renovation cost $222,000. No detail was overlooked: It has a $3,500 sub-zero refrigerator...
  4. K

    Je, hii mawaziri wetu wataweza kuiga?

    Minister gives Biz Class seat to special-needs girl By Staff Published Monday, December 03, 2012 Saudi Arabia’s minister of social affairs gave his first class seat to a crippled Bahraini girl travelling aboard the same flight to Bahrain after he saw her struggling to get into her seat, a...
  5. K

    There is no way out: Just do it... wakamateni tu yaishe

    Wee Mama Mdogo, mbona maswali mengi hivyo?
  6. K

    Wito: Tumpe Pole Dr. Ulimboka!. "Hata JK, Atakwenda Kumpa Pole!.

    Mkuu asante kwa huu uzi. Nimekuelewa vizuri sana and I hope watu/vijana wa 'sehemu' wameusoma huu ujumbe mzito na waufanyie kazi. Nina uhakika kuna sacrifices zitatokea. Watch the space.
  7. K

    Jinsi ya kum block mtu asikupate kwenye mitandao ya simu

    Mkuu Mtambuzi bado hujakoma tu? Au tuwatafute wazee wa Ununio wafufue kesi?
  8. K

    Hii ni watoa lifti wote

    Nimekupata. Chonde kama ndo time hizo, usithubutu kuwa na huruma ya kutoa lift. sijui kama unakumbuka kulock milango ya gari.
  9. K

    Hii ni watoa lifti wote

    Na wewe 999 ulitoka wapi alfajiri yote hiyo?
  10. K

    Bar code

    asante mkuu.
  11. K

    Bar code

    Mkuu naomba contacts zako.
  12. K

    Serikali imenunua tena mashangingi 26 mapya kimya kimya!

    Pasco Mh. Lukuvi alivyokuwa anatoa taarifa kuhusu kuachana na magari ya kifahari bila shaka alijua kuwa ni stahiki yao. Cha msingi kama serikali iko serious na statement zinazotolowa hadharani basi ni vema hayo magari ya kifahari yauzwe na atekeleze aliyoyasema.
  13. K

    Dealer wa dell - dsm

    Simply Computers
  14. K

    Rais Sharobaro

    Bujibuji acha uchizi umenichekesha sana.
  15. K

    Matumizi haya ya magari serikali ni sahihi?

    Inaonyesha safari bado ndefu.
Back
Top Bottom