Search results

  1. sweetito

    P.e.n.d.o...!

    :confused::confused::confused::confused:
  2. sweetito

    Girls never loose such guy with these qualities!

    Zote sifa anazo ndio maana nampenda:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
  3. sweetito

    MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

    SOMA HAPA Mimi napenda kuwahusia pale wapenzi wawili wa dini tofauti kuoana mara nyingu ni furaha kwao na si watoto pale inapotokea kuachana au mmoja kufa lazima udini utoke .Mimi ni muhanga wa hili tatizo mapenzi ya baba na mama(Rip) sisi watoto hatujielewi ukienda huku unaotwa mariam ukija...
  4. sweetito

    Dating mpopo!

    Hata sikushauri hawa watu kwanza wamesha owa kwao pia vicheche ila wamebarikiwa maneno matanuu
  5. sweetito

    Je ni haki?

    Hivi kweli ni haki mama mwenye nyumba kumlipisha house girl au house boy pindi avujapo vyombo vya ndani huku akimsindikiza na matusi??????
  6. sweetito

    Wadada Wenye Majina, Avatar, na Lugha/Mawasiliano Sexy MMU

    Hahahahahahhahahahahshahahahha mbavu zangu mieee ukome kuwa mmelo wa imagination
  7. sweetito

    Viuno! Viuno! Aaah!

    Tena sanaaaaaaa
  8. sweetito

    Viuno! Viuno! Aaah!

    Hapo ni kama style ya mgongo mgongo
  9. sweetito

    Viuno! Viuno! Aaah!

    Kina raha sana hasa ukute pote wawili mnajua maana inatuo kama izagushwa zungushwa ndani ya.......raha sanaaaa hasa mbuzi kagoma kwenda umkute mdada anaicheza mwenyewe sebene mwanaume anaugulia tu:D:D:D:D
  10. sweetito

    WARAKA: MMU members, kwa wanaotaka kuoa au kuolewa

    Pole sana , ila sioni ukatili wowote ni kwamba tu yamekukuta nahisi ni tabia ya mtu kwani na wewe ungekua na tabia hiyo ungefanya the same.Mwanamke si umri unaomfanya atulie bali ni malezi na akili yake ya kujitambua yeye ni nani.
  11. sweetito

    mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

    Mapenzi ni mapenzi haya formula wala mbinu uishi vipi si kwa huduma wala kuaminiana .Mapenzi hayana mwenyewe siri ya moyo aijuane nani.maana hata binafsi unawesa jikana na mwenzio je??? Pendaaaa ukichoka acha labla huduma na utambulisho ndio mtu kilimvutia si mpenzi tuu yakiisha jikateee
  12. sweetito

    Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

    Raha sana tena napendaaa maana inaonesha kama..........
  13. sweetito

    Nina mkosi

    Unamaaanisha nini??
  14. sweetito

    Nina mkosi

    Mimi ni msichana wa miaka 23, katika maisha yangu ya mapenzi nimejikuta natongozwa sana na waume za watu au mwanaume ambe yupo kwenye mahusiano , jambo hili limedumu sasa kwa miaka 3 yani hadi ma baba wa rafiki zangu au kaka zao wananisumbua nina boyfriend ila pia ni mchuba wa mtu...
Back
Top Bottom