Search results

  1. ndusyepo

    TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

    [emoji16][emoji16] ntakomaa na bbc news tu
  2. ndusyepo

    Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    leo ntanusa shahawa zangu twone zinavonuka aiseeeeeee:eek::eek::eek::eek::rolleyes:
  3. ndusyepo

    Timu 50 bora za Afrika, Yanga SC ndani

    yanga sio ya mchezo mchezo wala ya kufananishwa na wanaojiita Simba kumbe ni simbilisi......hahahahahahaha
  4. ndusyepo

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Ordinary Diploma in Logistics and Transport Management.
  5. ndusyepo

    Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

    :eek::eek::eek::eek::eek:mungu anawamulika aiseeeee
  6. ndusyepo

    Msaada; Nifanyeje kuondoa dawa kwenye nywele?

    my sister tembelea maduka ya madawa yahusiyo urembo utapata msaada zaidi na kuhusu bia sidhani kama huondoa maana wengi wangetumia basi kama n dawa.
  7. ndusyepo

    Msaada: Natafuta kazi yoyote

    www.zoomtanzania.com/jobs
  8. ndusyepo

    TCRA yataka makampuni ya simu kusitisha matangazo yanayowekwa kabla ya miito ya simu

    mi nalia na hawa vodacom maana wanatuma sana confirmation sms iwe umuweka vocha na umejiunga unakuta unatumiwa sms ata 5 kwa muda m.moja zinakera aiseeeee
  9. ndusyepo

    Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    na kwanini kila kunapotokea shambulio la askari lazima waje na report inayosema "wanaohisiwa" neno "isiwa" linakujaje inamaana wanakuwa hawana uhakika na wanaowashambulia au ndo kujihami katika utoaji wa maelezo?
  10. ndusyepo

    TCRA yataka makampuni ya simu kusitisha matangazo yanayowekwa kabla ya miito ya simu

    watakuwa wametusaidia sana kama watatekeleza kweli maana ilishakuwa ni kero sana ....unasikiliza tangazo dakika 15 ndo simu inaanza kuita au unaambiwa haipatikani na muda mwingine unahamua kukata tu ata kabla haijaita.
  11. ndusyepo

    Simba iliyoibiwa inatafuta mawakili wa kuwatetea Aveva!?

    simba bhana............hahahahaha nacheka kwa dharauuuuuu
  12. ndusyepo

    Nisaidieni kupata kazi ndugu yenu nafwa!

    Weka qualification basi mama japo unauzoefu wa customer care
  13. ndusyepo

    Mochwari: Chimbo muhimu la wachawi na waganga

    hile ni kazi kama zilivyo kazi nyingine tu ....kazi yeyote lazima iwe na changamoto ata ya yule muuza majeneza au ya mtengeneza majeneza ata ya muuza sanda, au askari maana nao n wabebaji mizoga muda mwingine ata dereva wa ambulance zote n kazi zenye changamoto sana mara ya kwanza utaiyona n...
  14. ndusyepo

    Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    hili mwiahoni aje kunitafuna boss wake nani anataka
  15. ndusyepo

    Waziri Mkuu apiga marufuku kusafirisha chakula nje, ukipewa kibali basi safirisha unga sio mahindi

    hapa ndipo linapokuja suala la kwamba "shamba lako lakini mazao ni ya serikali" we komaaa wee lakini mwishowe utayauza jinsi watakavyo wao na si wewe mkulima.
  16. ndusyepo

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    na kama imeshindikana basi tuombe msaada wa majeshi ya umoja wa mataifa yaje yatusaidie kupambana na hao majangiri.
  17. ndusyepo

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    tuiache serikali ifanye kazi yake na ikishindwa ndipo itatupa majibu sahihi kwamaana sioni kinachoshindikana hapo kibiti ni sehemu ndogo sana sioni ugumu wa kukidhibiti na kuwakamata hao waarifu .
Back
Top Bottom