Search results

  1. ehee kumbe

    Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    Unanakili story za Instagram unazileta hapa
  2. ehee kumbe

    CHADEMA, propaganda dhidi ya Makonda hazimsafishi Mbowe kadhia ya mihadarati

    Umeongea vitu vya point sana ila hujui umesaidia umma wa watanzania kufahamu kilichokuwa kinafanyika kumbe sio kupambana na madawa ya kulevya ila lengo lilikuwa kuchafua majina ya watu. Yani umeonyesha wazi kuwa ni mpango ulipangwa kabisa kuwa mbowe atajwe ili mmchafua.na mkiamini kabisa...
  3. ehee kumbe

    China yajiandaa na vita dhidi ya Marekani

    Hujui lolote nyamaza
  4. ehee kumbe

    Rushwa ya ngono

    Tumia huu ushauri.ila takukuru nao ni shida wanaweza kuvujisha siri kwa Afande
  5. ehee kumbe

    Imetosha imetosha! Saa ya ukombozi inakaribia

    Aliyeweka threads zako za Nyumba ,kakuumbua kweli.kumbe wewe ni mnafiki.pole sana
  6. ehee kumbe

    Sakata la Dangote: Kama ni kuondoka na aondoke tuu

    Ama kweli humu kuna watu wana akili mgando. Yule ni mwekezaji ,kabla hajawekeza Tanzania kuna mikataba au makubaliano aliyosainiana na serkali ndo akaamua kuwekeza. Sasa kama serkali haizingatia makubaliano waliyokubaliana toka mwanzo kwa nini Dangote asilalamike. Kosa tusimtwishe...
  7. ehee kumbe

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Kweli ACT mmefilisika mawazo mnatafuta kiki.chama kimewashinda mpaka akina machali wanawakimbia .badala ya kujenga chama mnaleta unafiki. Ukiangalia mkutano wa makonda toka mwanzo wananchi wanatoa kero kila kero imesababishwa na watumishi wa serkali tena kwa makusudi.watumishi hao...
  8. ehee kumbe

    Mh. Rais, kutaifisha mifugo ndio suluhisho la migogoro ya wakulima na wafugaji

    Wafugaji hawana adabu kabisa .wanaingiza Mifugo kwenye mazao ya wakulima kimakusudi. Mfugaji hakuna kitu anachokithamini kama Mifugo.yuko radhi mtoto wake afe kwa kukosa matibabu lakini Ng'ombe akiugua atamgharamia matibabu. Hivyo basi tiba ya tatizo hili ni kutaifisha au kuiuza...
  9. ehee kumbe

    Nikimsamehe Mungu atanidharau!

    Usimpe Mashine ataharibu makusudi
  10. ehee kumbe

    Pata Asali kwa punguzo

    Zipo dumu kumi.usafi utatumiwa kwa basi bahati nzuri kutoka hapa Dodoma mabasi ya kwenda mikoa yote Tanzania yapo yanapatikana.
  11. ehee kumbe

    Pata Asali kwa punguzo

    Mimi sijaharibu ila wewe ndo hujui .kama unajua je Asali ina expire au hai expire. Kwa kukusaidia Asali huwa hai expire .ukiona Asali imechacha au kutoa harufu mbaya hiyo imechakachuliwa au imechemshwa. Wachimbuzi wa kihistoria kule misri walikuta Asali ndani ya mapiramidi walimokuwa wakizikwa...
  12. ehee kumbe

    Pata Asali kwa punguzo

    Waungwana Mimi ni mfuga Nyuki nipo Dodoma. Nimepata dharula ,sina namna nimeamua kuuza Asali ya nyuki wakubwa kwa bei ya hasara ili nikidhi hitaji lililonisibu. Asali huwa nauza ndoo ya Lita 20 kwa sh laki mbili.kwa vile Nina shida nimepunguza bei mpaka sh laki moja na nusu kwa ndoo moja...
Back
Top Bottom