Search results

  1. F

    Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

    hongera sana
  2. F

    Dk Shein apangua baraza la mawaziri Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko ya kuwabadilisha wizara baadhi ya Mawaziri. Katika mabadiliko hayo, Dk. Shein amemteua Ramadhan Abdalla Shaaban kuwa Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, kuchukua nafasi Ali Juma...
  3. F

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Anasema WALIOFUTIWA wengi wao wametumia miandiko tafauti
  4. F

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Hivi sasa yupo bwawani Hotel anatoa maelezo kwa wazanzibar
  5. F

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    Natamani Kipindi hiki kiwe cha Wazanzibar, Kwani hii Office si ya Muungano ama Vipi? , Nahisi Rais analifikiria hilo pia. Kwanini kila siku ni hao hao tu akina Dau, Blandina kwani wengine hakuna , Hata Wazenj wenye sifa wapo na wanaweza kukamata hii nafasi vile vile.
  6. F

    Scholarship za kusoma nje

    Google knows everything!!!!
  7. F

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Daaaaaa Hiii safi sana kuna wazee wengi sana wazamani waliozani kuwa Uwaziri ni mali yao wamekwenda na maji. sijui wako hali gani sasa Yuwapi yule Seif Khatib wa Zanzibar
  8. F

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    kwa hapo chini NO COMMENTS Mpeni sifa Yesu View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact...
  9. F

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Kwa wale waliosoma TANZANIA hasa hii mitaala ya hapo juu naomba munifahamishe hii division one ya point 4 inapatikanaje? Mimi mwenzenu niko mbali sana na hali hiyo.
  10. F

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Turudini kwenye MADA. Muulizaji kauliza kama kuna MBUNGE ama MUWAKILISHI MKIRISTO ZANZIBAR. JIBU NDIO wapo tena wengi . Kwa mfano ni Mh. Sylvester Mabumba yeye ni MBUNGE wa DOLE, yule ambae hata kirefu cha SADC kilimshinda kule bungeni: Soma hapa kwa uhakika. Bunge picks 3 for SADC...
  11. F

    Shein ateua mawaziri wa mseto wa ccm na cuf

    Salma Said, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein ameteua Baraza la Mawaziri la serikali ya umoja wa kitaifa lenye mawaziri 25 kutoka vyama viwili vikuu visiwani humo. Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Zanzibar jana ilieleza kuwa uteuzi wa mawaziri...
  12. F

    Siyo lazima kiongozi wa upinzani bungeni awe mbunge

    Sidhani kama umepitia KATIBA ama KANUNI za BUNGE kwa umakini na kwa uelewa , nahisi ulikuwa na utashi ama mawazo fulani yaliokuwa yanakusukuma wakati unapitia kama ulivyosema. HILO HALIHITAJI MWENGE maana lipo wazi sanaaaaa.
  13. F

    Elections 2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

    Kuna DADA mmoja kule ZNZ anaitwa ASHA ABDALLAH JUMA vipi yeye amepata ubunge?
  14. F

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Kwanini Musiweke na wa CCM kama wapo nao tukawajua ama waliochaguliwa ni wa CHADEMA tu?
  15. F

    Ubunge au Uwakilishi?

    Tutegemea kufanyika kwa uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo la KITOPE muda sio mrefu, NAHISI ni lazima Mhe. itampasa ajiuzulu ili kumpa mtu mwengine nafasi ya kuwa MBUNGE. si tegemei kama anaweza kula kiapo huko bungeni. Logically yeye hawezi kuwa MBUNGE tena kwa nafasi aliyonayo na kazi alizonazo...
  16. F

    Elections 2010 Maalim Seif Makamu wa Rais Zanzibar

    Hata wewe hili hulijui ama unatania watu hapa JF?
  17. F

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Vipi Shamsi kuwa Waziri wa Mambo ya nje hafai?
  18. F

    Je RAIS huwa anaitembelea JAMII FORUMS?

    Dr, SLAA kwa usomi wake huwa anatembelea humu kwa sana tu na NONDO nyingi anazipatia humu.
  19. F

    Elections 2010 Lipumba aachwa kwenye mataa CUF

    patamu hapo!!! Hivi ukiwa na elimu kubwa ya DINI ya KIKIRISTO ndio unaambiwa una PHD, ina maana Dr Slaa ni sawa na Sheikh KUNDECHA, maana wote wanaeleimu sawa za dini , ila labda kwa vile ukiwa na elimu ya dini ya kikirsto unaitwa DR na ukiwa na elimu kubwa ya dini ya kiislamu utaitwa sheigh...
Back
Top Bottom