Search results

  1. N

    Wapalestina watafute njia nyingine kudai amani Israel itawasafisha

    Ethnic cleansing.hawata simama mpa Hamas wote wameondolewa
  2. N

    Serikali imetoa ajira na siyo Rais

    Nashindwa na kuchoka kuelewa lengo la mleta taarifa.Lengo ni nini?
  3. N

    Tumesahau usalama wa barabarani

    Heshima mbele wakuu. Nadhani Serikali imesahau kuhusu usalama wa barabarani. Hatuna cameras za kumoniter vyombo vya usafiri. Its a good angle kupata mapato wakati huohuo ukiwandindisha wananchi kufuata sheria.
  4. N

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Kwahiyo kwenye hicho kimiminika kuna nini? Watanzania tuna shida kweli.Dunia inapambana kuutokomeza huu ugonjwa wa corona sisi wabongo tuko busy kudanganyana.eti hatuamini mpaka tuwe na uhakika nayo.haha.chanjo zingine mlizowahi kupigwa mlikuwa na uhakika nazo?mbona bado mnazaliana tu tena kwa...
  5. N

    Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

    Hahahaha.Tanzania bwana,usanii mtupu
  6. N

    Hali ya usalama kwa wanafunzi/ Watanzania waishio Wuhan nchini Uchina ipo matatani, waiomba Serikali iwarudishe nchini

    Njia sahihi na salama zaidi kwa vijana wa wuhan za kuepuka maambukizi ni kukaa ndani.Huu ugonjwa wa corona sio airborne( hauambukizwi kwa njia ya hewa). Unaambukizwa kwa njia ya matemate yanayotoka mdomoni kwa mwathirika.Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wakapata maambukizi hata wakiwa njiani kwenda...
  7. N

    Hali ya usalama kwa wanafunzi/ Watanzania waishio Wuhan nchini Uchina ipo matatani, waiomba Serikali iwarudishe nchini

    Propaganda tu hizo mkuu.Watu wanakuza sana hili jambo na kilamtu kwa taarifa za uongo
  8. N

    Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

    Ni suala la muda tu.Magufuli anawalia timing tu kwasababu bado anawahitaji kwenye uchaguzi unaokuja.baada ya uchaguzi atawafumua wote.ile wizara inahitaji mtu mwenye akili za kuiongoza ili ilete matokea yanayotakiwa.lakini the system is corrupt na wanaopaswa kuteuliwa ni walewale ambao wamekuwa...
  9. N

    Hatimae Juma Jux ashusha ndinga nyeupe

    Jux anafanya shootings kwa ajili ya ku advertise vivutio vya utalii Tanzania.Ni project hiyo na wanalipwa wote hao.Demu ni mthailand na amemaliza chuo cha medical guangzhou.Wamependezesha mbuga zetu kwa kweli
  10. N

    Tetesi: Smile Communications Tanzania ipo Taabani.....

    Biashara za kimagumashi zitakufa nyingi sana awamu hii。Magufuli kiboko aisee
  11. N

    Yaliyo Mbele na Nyuma ya Simba SC -Last Part

    Wame invest kwenye social media zaidi.bado tuna safari ndefu sana kwakweli
  12. N

    Nguo nyeusi kwenye msiba

    Kuna mambo mengi wabongo hatuyajui ila kwa kujitia wajuaji hatujambo.mbona anachosema warumi ni mambo yanayojulikana tu
  13. N

    Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Wabongo kwa kujifanya wajuaji ndio hulka yetu.
  14. N

    Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Mambo ya green card ya mtoto si mchezo
  15. N

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Kiranja Mkuu akawa wa kwanza kuujulisha umma wa watanzania kuhusu msiba,na kujihusisha full..Mwenzake akapewa special recognition(lol).haya bana..Walijua ndio wakati muafaka wa kuuza sura Nchi nzima kwa wakati mmoja.Attention na sifa wamezipata.Hongera zao.Ama kweli kufa kufaana.. Stay blessed
  16. N

    Wakati nchi moja barani Afrika ikizundua Mtambo wake wa Mawasiliano kusoma Meseji za Watu Rwanda wao waja Kivingine!

    Kila nchi ina plans zake.cha muhimu ni kuangalia tulipotoka,tulipo na tunakoelekea.So far tuko kwenye njia nzuri.Tutaelewana tu mbeleni
  17. N

    Trump Kupeleka Wanajeshi Congo Kuwasaidia Wamarekani

    Hawaendi kukwapua madini kwani walishakwapua zamani sana tu.Wanaenda kulinda Investments zao na kuhakikisha kibaraka wao anachukua Uraisi.Makampuni yao yanamiliki migodi mingi sana ya Cobalt na madini mengine
  18. N

    CCM na Giza la Kisiasa Jimbo la Iringa Mjini

    Mkuu,siku hizi wingi wa kura sio ushindi tena kama zamani.angalia kwenye chaguzi za marudio
Back
Top Bottom