Search results

  1. JMF

    Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    Tunaelekea kutengeneza wasomi wenye misimamo mikali ya kidini. Tutarajie machafuko mbeleni huko
  2. JMF

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Ubungo ipi?
  3. JMF

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Tatizo hamnizingatiagi, ningewapa location ya chimbo lake anapouzia
  4. JMF

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Kwa jinsi uvyoeleza na nikitathmini nguvu, mali, moyo na akili ulivyotumia kumpambania huyo mwanafunzi kuanzia uhamisho hadi kutokurudia darasa ni dhahiri kuwa ulikuwa una mfaidi mama yake (mke wa rafiki yako). Na kwakuwa mkuu wa shule nae alikuwa anataka amfaidi huyo mama ila wewe ukaweka...
  5. JMF

    Kibu na Mzamiru watozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa Ulozi

    Na kwanini mchezaji aingie uwanjani na taulo? Kwani ni bafuni?
  6. JMF

    Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

    Home: Simba 2-1 Al Ahly Away: Simba 0-1 Al Ahly NB: Endapo akidaka Youb au Ally Salim *************************** Home: Yanga 0-2 Mamelod Away:. Yanga 1-3 Mamelod NB: Bila Aucho *************************** Naweka mkeka wa 50k kila mechi mapema sana
  7. JMF

    Muhimbili kuanzisha benki ya mbegu za uzazi, kuzinduliwa na Rais Samia

    Nataka zangu zihifadhiwe kwa miaka 100.
  8. JMF

    Ni jinsi gani earthing (Grounding) kwenye nyumba ya umeme ina complete circuit?

    Generator nyingi na hata hizi invetor za solar zina sehemu ya kufunga earth rod ila huwa hatuzingatii hilo
  9. JMF

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Cha kufanya ni ku un install hiyo app yao haraka kwenye simu. Laasivyo watachukua hadi sms zako unazomtumiaga mchepuko wako wazi forward kwa mkeo
  10. JMF

    Gari kwa mkopo

    Kama tayari una salary slip 3 zama NMB, NBC au CRDB ukakope mkopo ambao makato yake hayaendi zaidi ya miaka mitatu. NB: Pata gharama halisi za kununua hiyo gari toka Japan na ushuru wake na bima na takataka ndogondogo ili ujue unahitaji mkopo wa shilingi ngapi. Usinunue gari iliyotumika bongo...
  11. JMF

    Kati ya Gesi na Umeme kutumia jikoni kipi ghali?

    Umeme ni cheap kuliko nishati zote. Cha muhimu utumie kufaa kilichoboreshwa mfano presha kuka (pressure cooker), rice cooker na jagi za chuma. Maharage ukichemsha kwenye jagi au pressure cooker unatumia dakika chache sana ambapo hata unit moja haiwezi kuisha na Unit=TSh357/=. Katika vitu vigumu...
  12. JMF

    Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

    West life Madonna..Goodbye Dolly Paton Judy Boutcha.. Can't be with you Ashanty J. Lo Left Eye Enrique Iglesias...Roamer 50 Cent.. In da club Buster rhymes Lil Kim Aaliyah Snop Doggy Fat Joe Eve...mpaka leo kwangu huyu ndio best female rapper Lil Bow wow Mariah Carey Kelly Rowland.* Huyu atakuwa...
  13. JMF

    Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    [emoji23]Nitatumia slogan hii kuombea "K"
  14. JMF

    Magari yanauzwa Bei Kitonga

    Bei za kufungia na kufungulia mwaka
  15. JMF

    Scholarship zote hizi hapa ushindwe wewe tu

    Safi sana mleta mada. Ngoja tujaribu. Ila IELTS, TOEFL na GRE ni kikwazo kikubwa sana kwenye kuomba scholarship za nje maana ad ya kuganya hizo test siyo pesa ndogo.
  16. JMF

    Machungu ya kukosa ajira

    1.Nilikuwa sijui kuwa mtu anaweza kula sukari kwa kuilamba hadi asubuhi, hadi siku nilipojikuta kitu pekee kilichopo geto ni sukari tuu. Hakuna gesi wala majani, hiyo ni saa tano usiku. 2.Nilikuwa sijui kama jagi la umeme linawezakupikia wali na mtu ukala fresh tuu. Nina mchele tuu ndani, sina...
  17. JMF

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Mtu anayetaka kwenda kusoma lugha mfano English language pia anatakiwa afanye kwanza mitihani ya lugha kabla ya kwenda kusoma hiyo lugha!!!
  18. JMF

    Taarifa kwa umma kuhusu madai ya TRA kupandisha ushuru wa magari toka nje ya nchi

    Pamoja na hiyo sera lakini bado 99.9% ya magari yanayoagizwa yanalipiwa hiyo kodi ya uchakavu. Halafu ebu nitajie lilipo jalala la mikweche kwa hapa Tanzania nikakusanye nipeleke kwenye kiwanda cha chuma chakavu. Kwasababu usichoelewa ni kwamba hiyo kodi ni ya kijima(enzi ambazo hapakuwepo na...
  19. JMF

    Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Bora angedaka Ally Salim. Manula katokea majeruhi na gundu
Back
Top Bottom