Search results

  1. murutongore

    Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

    Mke wake anajua....kampuni ni yake na mke wake. Watu siku hizi ni wapigaji.
  2. murutongore

    Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

    Mimi nilisema muda mrefu...kushiriki ni kuhalalisha uchaguzi huu. Lakini hawakusikia. Sasa vyama vya upinzani vimerudi kwenye political wilderness.
  3. murutongore

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Hiyo buku 7 yako bado haija expire? Hujui unachoongea wewe.
  4. murutongore

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Sheria unaijua? Sheria iko kwenye kitabu cha NEC...umekisoma wewe? Kama hujakisoma kaa kimya
  5. murutongore

    Trump tested positive for Coronavirus

    Si adondoke tu.....anachosha
  6. murutongore

    Je, ni kweli Binti wa Kagame ameanza kuandaliwa?

    Watu wengine bwana....unapiga tungi siku nzima, unaingia nyumbani usiku wa manane unaoata ndoto asubuhi unaamka unaiweka kwenye JF halafu na wewe unajiita JF Expert Memba....mmmmsssswwww
  7. murutongore

    Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

    Walishaonyeshwa trailer ya movie kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa sasa sijui walikuwa wanatarajia nini....watulie dawa iwaingie vizuri.
  8. murutongore

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Nipo mkuu...niko najifukiza
  9. murutongore

    A Straightforward Case of Fake Statistics

    Lol. Hivi bado uko hai? Thought you had ceased to be. Well, we endelea kujaribu kuwa relevant. When i find time i'll come back with a list of achievements that the country has seen and maybe you'll come with your fake news and tutawaachia wasomi hapa wachambue mbivu na mbichi. Adios
  10. murutongore

    Rwanda, 23years after Genocide: This is how a country is rebuilding itself

    Hiyo hoja ya kiberenge tuniita hoja mufilisi
  11. murutongore

    Rwanda, 23years after Genocide: This is how a country is rebuilding itself

    Hilo la ukabila halipo kabisa, tunachoangalia ni maendeleo. Tunajua kuwa mwananchi akiona maendeleo mambo hayo mengine hayapi muda.
  12. murutongore

    Rwanda, 23years after Genocide: This is how a country is rebuilding itself

    Hapa uongozi unafanya tathmini ya ahadi zao kwa wananchi. Ni wazo zuri ambalo hata JPM anaweza kulianzisha na likaleta mafanikio.
Back
Top Bottom