Search results

  1. S

    Adhabu ya viboko mashuleni - should it be abolished?

    Hii inatisha, yaanin unamaanisha kuna sehemu ambazo wanafunzi bado wanachapwa? Jaribu hapa kwetu, na utalala korokoroni. Hata hivyo, mtoto akichapwa inazidisha mambo mabaya. Ukitaka kumrudi mtoto, basi tumia ushauri nasaha na italipa zaidi ya viboko.
  2. S

    Ni Mara Ngapi Unachukua Vacation?

    Mimi huchukua likizo ye miezi tano kwa mwaka. Kila nikiwa na likizo mimi hutembelea nchi za karibu hapa Afrika Mashariki au kwa nadra sana natoka nje kwenda kule Ulaya. Mimi nipo hapa Kenya haswa Nairobi na kila mwezi wa Juni kuanzia tarehe 24 hadi Septemba 7 mimi huwa likizoni. Cha msingi...
  3. S

    Mazingira, Mazingara?

    Washikadau kwanza pokeeni salamu na shukrani nyingi kwa kutujuza yale tusiyo fahamu. Kuna hili neno ambalo na shangaa na kuchangyikiwa kila linapotumika. Neno lenyewe ni MAZINGIRA na Mazingara. Kwa kawaida, wengi hutumia maneno yote mawili kumaanisha kile kinachotuzunguka. Lakini, nikitaka...
  4. S

    Maziwa, matiti au nyonyo?

    Kwanza nadhani ningependa kukushukuru kwa kuuliza Swahili hili ambalo linaonekena kuwa rahisi lakini kindani ni swali rahisi. Jina sahihi la Kiswahili ni MATITI, Maziwa ni jina la heshima ambalo kwa Kiswahili tunaliita Jina la Kitasifida au Tasfida. Kiingereza ni Eupheminism. Endelea kutupa...
  5. S

    Is It In Kenya Only That This Happens?

    As you may already know Kenya conducted her census last week. The last time this exercise was done was 10 yrs ago; the results though have never been officially released to date. As she conducted her census, the country is spending Ksh. 7.4 Billion! Yes 7.4 Billion. The amount may be paltry...
Back
Top Bottom