Hiyo Siri haina mipaka? Kuna mtu kaweka nyaraka za serikali hapa? Mbona hiyo siri haikusemwa wakat halmashauri ilipotoa press release ya kumtaka kiongozi wa CWT arudi kituo chake cha kazi?
Hakuna Siri kwenye kushindwa kulipa mishahara.
Hiki ni kisingizio tu. Mfumo ungekuwa na shida, wafanyakaz wote wasingelipwa. Kwann kalipa wanajeshi kama shida ni mfumo? Wanajeshi wanapokelea dirishan mishahara?
Maisha yetu yameungana, hauko salama kwa sababu tu sio mtumishi wa umma. Kama uko private sector au unafanya biashara, suala hili linakugusa.
Haya mambo hutokea pale ambapo serikali imeelemewa na madeni ya nje. Hii ni kwamba hata uwezo wa ku-import wa nchi utashuka. Utamuuzia nan?
Lazima wajeda awawahishie maana Yuko nje ya nchi, wanaweza kumuwahi kabla hajarudi.
Ila kulipa mishahara ni kitu basic sana ambacho kila serikali inapaswa kufanya, la sivyo hakuna sababu ya kuwa na serikali hiyo madarakani. Watawala wanalijua hili, ndo maana hawathubutu kuwacheleweshea wanajeshi.
Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika masuala ya fedha. Taasisi za umma zinaendeshwa kwa mpango kazi wa kila mwaka na bajeti ya kila kazi...
Kwan hii biashara ina shida gani? Hii ndo biashara kongwe kupita zote duniani, kwann unataka kupiga marufuku? Kwann unafanya kazi iliyowashinda viongozi wengi wa dunia? Watu siku hizi wanauza bidhaa mtandaoni, unawazuia vp?
Dar es Salaam ni mji wa kibiashara, tiunahitaji RC mwenye akili ya...
Top rated soapie of all time pale SA ni Generations: The legacy. Uzalo ndo tamthilia ya kwanza kuing'oa kileleni Generations. Kuna wakat huwa inapoa na tena kupanda kileleni.
Ni tamthilia Kali kuliko isidingo. Isidingo ratings zilishuka sana ndo maana ikatamatishwa. Mim nafuatilia Uzalo online...
KWa sisi ambao tulikuwa tunaifuatilia JF wakat wa JK, haya yanayosemwa yan ukweli kiasi. Nitafafanua kama ifuatavyo:
1. Ni kweli kwamba anapochaguliwa rais wa dini/kabila/kanda fulani basi watu wanaoendana na dini/kabila/kanda hiyo hunufaika na mfumo. Mfano, wakat wa JPM, Kanisa Katoliki (na...
Watumishi wa umma wana haki zao, tofauti na mahausigeli mnaowatesa huko majumbani. Mnawatumikisha kingono na mishahara hamuwalipi kwa wakat et mnawatunzia.
Kuna watu watamlaumu huyu mtu wa Mungu, mimi nailaumu SYSTEM! Huyu Mkuu hajawahi kubadilika wala kuficha 'recklessness' yake ktk maamuzi na matamshi.
Dear System, how the fvck did you see him fit for the highest, most powerful office in the land? So you were not keeping tabs on him when he was...
Pia ni vyema kukawa na time restrictions. Yaan hata mtu akiwa na password asiweze kufungua kabla ya muda fulani aliojipangia. So inakuwa kama timer, haifunguki mpaka muda huo upite.
Wakat mwingine mtu unakata tamaa ya kuchangia mijadala hapa jukwaan sababu akili fupi za hapa jukwaani zinaona mambo kwa ushabiki wa vyama au unazi wa kidini na ukanda/ukabila
Baadhi ya majengo ya hotel ya Desderia yamejengwa ndani ya mita 60 kutoka mtoni. Sheria za mazingira zinakataza ujenzi ndan ya mita hizo. Wataalam wetu watoa vibali ni wala rushwa wazoefu na watu wa kutumwa na waheshimiwa. Walitoa vibali kimakosa.
Msijeshangaa akija rais mwingine ikabomolewa...
Elimu ya kifala sana hii, wazazi wanajali sana ufaulu wa mtoto kuliko maarifa anayopata. Mzazi haulizii shule ina facilities gani (computer, viwanja vya michezo, usalama wa watoto, lishe, nk), wao wanauliza tu inafaulisha? Shule ilikuwa ya ngapi kwenye mtihani wa NECTA? Upuuzi mtupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.