Search results

  1. N

    Division 4 point 26,27 kwenda ADVANCE

    NI TRUE mtoto wa ndugu yangu kachaguliwa St John's university Diploma in Business Administration nikashangaa sanaa, mi cjui tunaelekea wapi.
  2. N

    Sijamwamini SLAA..

    Kweli we Chadema unadhubutu kusema hivyo????????????? Wakati tunapigia kelele fedha za EPA watu kukopeshwa kinyemela bila kufuata taratibu?????????? Tukitaka wafilisiwe na kwenda KEKO na viboko 12 akiingia 12 akitoka akamueleze MKEO/MUMEO. Sasa tunahubiri nini na kufanya nini??????????? SHAME ON...
  3. N

    Kwanini CHADEMA kimevuka mwaka 2012 bila kusambaratika?

    Walikwepa uchaguzi 2012 ili wasisambaratike
  4. N

    Ni Dr. Slaa, Lowasa na Prof. Mwandosya tu.

    Wote wagonjwa bahati mbaya sanaaaaaaa
  5. N

    Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    The earlier the better, wahini porini sasa ili 2015 itakapofika muwe wazoefu, maana kwa hakika CCM watapita sio kwa shida ila kwa kishindo. Je mnaonaje hili wazo?
  6. N

    Ngorongoro jimbo lilo wazi kwa CHADEMA

    Anafikiri kwa kuhamia CHADEMA hatarejesha MKOPO wa Elimu ya juu???? Hiyo ni lazima ili Wamasaai wengine waweze kusomeshwa na serikali
  7. N

    Kwa waliokosa chuo cha Afya

    Arusha kuna chuo kipya kinaitwa SUYE HEALTH INSTITUTE masomo yameanza leo, nafasi bado ipo kwa waliokosa vyuo vya wizara ya afya, changamka muwahi kabla ya Ijumaa. Piga simu 0754 269625 kwa maelezo zaidi
  8. N

    Batch ya 4 udom wizi na ufisadi wana jf kilio hiki kiende wapi?

    Hebu ngoja tuone, GPA ya kuingia chuo kikuu ni kama ufuatavyo:-A = 5, B = 4, C = 3, D = 2, E = 1, F = 0, S = 0.5, kwa hiyo EEF = 1+1+0 = 2, na CCC = 3+3+3 = 9. Kwa hiyo cjui amekokotoaje hiyo GPA.
  9. N

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Bora wamegoma kwani mngesema sio wazalendo. Swali lingekuwa si wangesema tu kuliko kutoroka kimya kimya? Sasa wana ruksa ya mkuu wa kaya kupitia luninga sote tu Mashahidi. Nawatakia kazi njema tukumbukeni wazazi wenu kupitia BANKS.
  10. N

    Madaktari wetu someni Alama za NYAKATI

    Ni kweli nchi yetu ina mahitaji kibao. Pia ni ukweli nchi yetu ina UTAJIRI mwingi kiasi watu wa nje (Wahisani wanauliza kwa nini Tanzania ni maskini?) Nadhani jibu unalikumbuka " HATA MIMI SIJUI") Kila mfanyakazi atatetea HAKI yake mwenyewe, manesi, wafamasia n.k. Pili pamoja na shida zote...
  11. N

    Wameru: Jina Sioi lina uhusiano wowote na hereni??

    Mbona CHADEMA walikuwa na Diwani rasta na tunajua hao ndio wavuta Bangi na mengineyo? Pia CCM wana mbunge sangoma sijui kama alnaloga au anaagua? Jipya kwa Siyoi ni lipi hata kama kweli ana hereni? Uamuzi wa mwisho ni wananchi wa Meru bila kujali mambo kama hayo.
  12. N

    Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

    Kwani Nassari aliyemaliza kadigrii kamoja juzi, ndio kabisaaaa politically, professionally, experientially ZERO. Lakini kila jambo lina mwanzo, acha vijana nao waingie awe Siyoi au Nassari sawa tu maadam jumuia ya wameru inawapa ridhaa.
  13. N

    Arumeru Mashariki hakueleweki!!!!

    Kwa taarifa yenu Kijana machachari wa Sumari, msomi wa uhakika yumo kwenye kinyanganyiro.
  14. N

    CHADEMA Arusha yatoa mkono wa pole kwa jeshi la polisi Arusha

    Misri, Tunisia, Libya na Syria mpaka leo wanauwana, so jifunze wewe usipeleke masaburi yako barabarani bila kibali hakika Polisi watayatumbua. Maanadamano sio solution ya kila kitu utaandamana mpaka kiama kikukute huko. Meza ya majadiliano, OK?
  15. N

    CHADEMA Arusha yatoa mkono wa pole kwa jeshi la polisi Arusha

    Usifikiri hiyo ndio Rushwa eti Mkiandamana bila kibali na POLISI wakisema acha kama hamtiii RISASI kwa kwenda mbele. Cha msingi ni mfuate taratibu na sheria za nchi.
  16. N

    Lema atabiri machafuko tena Arusha

    Mh Lema mtashirikishwaje kama Chadema hamuingii kwenye vikao? Na wale waliokuwa na upeo mmewanyanganya kadi maana Sugu ndiye diwani wa eneo husika. Mh Lema unapenda sana mgogoro, hebu tumie vikao halali kujua nini hasa ukweli wa jambo lenyewe. Kwa taarifa yako wale woteeeeee ni wapangaji tu...
  17. N

    Diwani aliyechomwa Kisu afariki dunia

    Hilo mkuu linaashiria Pipo POweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez, popote pale. Big Up Chadema, tetea haki yako mwanamke, hakuna haja ya amani kwenye magusiano kama haki yako hupati. HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
  18. N

    Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

    Mi nawajua wa Upinzani Mh Mbowe Mh Zitto Kabwe aliyekuwa mh Kafulila Mh Hamad Rashid Mh Shibuda
  19. N

    Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015!

    We ni mTz mlalahoi USA? Mwisho wako kuja nyumbani ni nili? Mbona unaandika kama Tx na sio mzalendo? Mafuriko sio Dar tu, hata mikoani na wabunge wanawajibika huko kwenye majimbo yao kwa wapiga kura wao kwanza.
  20. N

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Hata wa kwako wa KIUME atakulelea tu, maana akili yote umeweka kwenye masaburi
Back
Top Bottom