Search results

  1. R

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    naona manyotanyota 2..ntarudi kesho.
  2. R

    Gharama Za Simu Ndio Zimepanda Kiasi Hiki!?

    kweli mkuu,gharama naona zimepanda kuanzia ktk vifurushi mpaka kupga kawaida!BIG UP kwa serekali sikivu na makini ya jk.
  3. R

    Waliowai kusoma/waliochaguliwa NJOMBE sec school

    bila kusahau kuna wase*ge wanaitwa scout..ogopa sana!bt ukiwa mbishi,utakula nao sahani 1
  4. R

    Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

    Dope money, coke money
  5. R

    Kuna ubaya gani House girl akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao?

    huyo dogo sidhani kama anajua chochote kuhusu uwajibikaji!that why yupo teyar kuoa GOLIKIPA tena amwache nyumban anahudumiwa na wazazi!naona anajiandaa kuletea wajukuu ndan ya nyumba ya wazazi wake. umenena mkuu,huyu mtoto kwa mtazamo wangu,bado hajajitambua!(samahani lakini)angekua amepata...
  6. R

    Vijana wa kisasa

    well said mkuu!ikipita siku sijachungulia jf?ntaumwa!ukwel humu kuna mambo mengi ya kujifunza!ila la muhimu ni tujenge tabia ya kurudisha feedback ili kuwapa moyo wale walioanza kushare na sisi!
  7. R

    ujue mgeni aja

    huyu kuku nae anasifa!mbio gan hizo?
  8. R

    Gharama za mapokezi ya Rais Obama

    labda wamechuta billion kadhaa ktk hela za mazish ya viongozi walizotenga.
  9. R

    Ma - HOUSE GIRL (al - maarufu - BEKI 3) ni majanga!

    ntampeleka hospital kupima malaria,typhd n.k!ila ni baada ya mim kufanya maongezi na dakta pale kivulini bar
  10. R

    Natoa Tuzo Kwa Mtandao wa JamiiForums

    hi kagame!!hi kenyata!jk mambo?
  11. R

    Natoa Tuzo Kwa Mtandao wa JamiiForums

    hata mijusi hua inakwepo..
  12. R

    Kila Kadi ya Simu ya Mkononi Kutozwa TShs. 1,000 Kwa Mwezi

    wameamua kubana kila sehemu..
  13. R

    Snowden :Kwanini putin kamnyima asiendelee kupasua baloon km antaka hifadhi ya Russia?

    Inaonekana kwamba kati ya majanga ya kidiplomasia yaliyoikumba Marekani katika miongo ya hivi karibuni, hayajalizidi janga la hivi sasa ambalo limeikumba nchi hiyo baada ya kijana mmoja wa miaka 30 anayejulikana kwa jina la Edward Snowden kufichua ujasusi mkubwa unaofanywa na Marekani...
  14. R

    Hatimaye nimejiunga na mtandao mkubwa wa jamii forums

    na kuna jukwaa linaitwa mambo ya kikubwa! 18+..
  15. R

    Tetemeko la ardhi limeikumba Tanzania na Uganda muda mfup uliopita

    wiki hii walikua busy sana!ila kesho asubuh watakua fit..
  16. R

    Ufaransa na ureno wamkatalia rais wa bolivia kupita kwenye anga lao akitokea russia

    Inaonekana kwamba kati ya majanga ya kidiplomasia yaliyoikumba Marekani katika miongo ya hivi karibuni, hayajalizidi janga la hivi sasa ambalo limeikumba nchi hiyo baada ya kijana mmoja wa miaka 30 anayejulikana kwa jina la Edward Snowden kufichua ujasusi mkubwa unaofanywa na Marekani...
Back
Top Bottom