Search results

  1. M

    Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

    ugumu unaletwa na mtawala tu maana jamaa anatamani yeye ndio awe kila kitu ya mahakama, bunge, polisi, mkuu wa mkoa, mwanajeshi, mwajiri , mfanyakazi wa umma, nazani anatamani hata Tanzania kungekuwa na yeye peke yake tu , jamaaa ana roho ya ubinafsi sana sijawai kuona
  2. M

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    uyo drug dealer hata kupimwa hajapimwa wala kusachiwa ndio ujue hii vita kuna watu wanatafutwa kisiasa mmoja wapo mbowe
  3. M

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    GSM , Kinjekitile na Ridhiwani ni watu ambao inadaiwa wanauza unga kwanini hawakufatwa kuhojiwa? hapo tayari upendeleo pia muuza ARV fake anawezaje kushiriki mambo ya kitaifa wakati matendo yake yanakijambazi na kiuaji? Manji kashtakiwa kwa kuwa na wafanyakazi wasio na kubali nchini kwanini pia...
  4. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    dah kwangu haitakuja kutokea kamwe bora nichague Hashimu Lungwe
  5. M

    Naomba kujulishwa kwa sababu za kitaalam; Ipi nyumba bora kati ya tofali za kuchoma na cement?

    tatizo la tofali la kuchoma ikiaribika kwenye ukuta lazima uondoe ukuta wote japo ni nzuri kwenye moto kuliko tofali za cement, pia ubora wa tofali izi mbili inategemea na hali ya hewa sehemu husika, aina ya udongo au mchanga uliotumia, uchomaji au mixing ratio, tofali ya cement ikiwekwa ratio...
  6. M

    Bodi ya mikopo na Makato mapya

    hapana 15% izo story tu hakuna mtu kukatwa
  7. M

    Mwanamke maarufu mrembo kuliko wote Tanzania

    Jackline ntuyabaliwe a.k.a kylin uyu mtoto mzuri acheni masiala Mengi anafaidi sana
  8. M

    Mavazi ya bikini yasababisha maonyesho kupigwa marufuku Guinea

    eti sio utamaduni kuonesha nguo za ndani wakati waafrica walikua hawavai hata nguo bila mzungu hata izo chupi tusingekuwa nazo, utamaduni wa mwafrika ilikuwa kuvaa magogo na ngozi kuziba sehemu za chini sehemu zingine zote zinakua wazi
  9. M

    Zitto: Kuna amri inatoka juu kuwakataza Mkuu wa Mkoa na Wilaya kukaidi kuja Bungeni kuhojiwa

    hii nchi tunanda kwa matukio na ununda au utemi utawala hautumii akili kuongoza wala katiba na sheria bali wapo kusubili ku deal na wapinzani na matukio kwa mfano kwa sasa la dawa limeisha watatengeneza jingine nalo litaisha then jingine ndio style yetu hii
  10. M

    Mwenye kujua asili ya utawala wa Saudi Arabia anijuze

    duh sasa mbona saudi arabia haitaki kusaidia waislamu wenzake watu wa siria kuwapa makazi ya muda , kweli na historia yote hiyo inashindwa kutoa msaada mpaka inafikia waislamu wanaenda kupewa hifadhi na nchi za wagalatia kama ujerumani duh kweli sometime dini izi noma sana , muislam yupo lazi...
  11. M

    Ugomvi ndani ya nyumba unaweza kufanya ujinyonge?

    ki ukweli ugomvi ndani ya nyumba unaweza kukufanya ujinyonge lakini hawa wanaojinyonga ni wale wasio na alternative a.k.a mchepuko yani wale wasio na matawi mke mmoja kama mama yako au wasio na kifua cha kuvumilia
  12. M

    Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku kuwatangaza watuhumiwa wa Madawa bila uhakiki

    alikuwa wapi toka zamani? hapa maigizo too late braza ulitakiwa uwe wa kwanza kutoa tamko
  13. M

    Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

    sasa leo ndio nimejua wewe mtoto wa kike
  14. M

    Tunda Achana na mlitoz

    mwanaume hawezi kuleta umbeya wa ivi uyu ni mtu mwenye uke
  15. M

    MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

    ukipata tatizo nje ya nchi jua upo peke yako serikali yetu haina uchungu na wanachi wake kama watu wamekula pesa za maafa ndani ya nchi wakusaidie wewe nje ya nchi hapana ilo hawawezi
  16. M

    Tundu Lissu aianza rasmi safari yake kuelekea urais wa TLS

    serikali lazima walete mtimanyongo pia nazani kamanda angepewa uenyenyekiti wa chadema tu mbowe anapwaya uku uraisi wa TLS angeachia non-politician pekee
Back
Top Bottom