Search results

  1. L

    Zuma atangaza status yake ya ukimwi...Je viongozi wengine nao?

    He was right to expose his H.IV.STATUS AND THAT IS A CHALLENGE TO OUR LEADERS IN TANZANIA JAMES LUBUS
  2. L

    Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

    Ndio nimekukubaLI INAONEKANA UMEMMISI KWELI BABU SEYA JE WEWE UNAPATIKANA WAPI? MIMI NI JAMES LUBUS TUMAINI UNIVERSITY IRINGA
  3. L

    Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

    Mimi kama mwanasheria wa Tumaini University Kulingana na Criminal Procedure Code ( Mwennendo wa Mkosa ya Jinai) Kuna kukata Rufaa ndani ya Muda na Kesi yoyote ikifika mahakama ya Rufaa kwa ajiri ya Rufaa kutoka mahakama kuu inaWEZA KUSIKILIZWA KAMA MDEA TANGU ILE NAKARA YA HUKUMU YA MAHAKAMA...
  4. L

    Waume na Wake zetu

    mimi kama mwanasheria nimesoma sheria ju ya Ndoa ya Mwaka 1971 kweli , vipigo havijandikwa kwenye sheria mama ya Ndoa ya 1971 na hata katiba inasema mtu aki,osea apelekwe Mahakamani kulingana na kifungu kikubwa cha 13 cha Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kama ilivyobadirishwa mwaka...
  5. L

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Nafuu alivyokamatwa sasa tutapumzika
  6. L

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Nafuu alivyokamatwa maana kwa sisi watanzania sio destri yetu kuonesha pich za ngono live. Kumbuka ile issue ya saint Agustino University alionesha vie sivyo.Hilo ni onyo kwa wengine wanaofungua blog kuwakashifu watanzania. James from Tumaini
  7. L

    CD za ngono ni dhambi kwenye ndoa?

    Sio dili sana kwani kwa upande wa wanawake huanza kuwadharau waume zao baada ya kuona kuwa kwenye CD wale watu wanaweka maonjo tofauti kabisa na waume zao
  8. L

    CD za ngono ni dhambi kwenye ndoa?

    Mimi ni james sio dhambi ila hazina maadili mazuri kwa wanandoa maana upnde wa pili ama mke au mme anaweza a kaona kwenye cd yule mtu anaridhishwa sana kimapenzi na yeye haridhishi hivyo kuamua kutoka nje ya ndoa. Mimi ninamfano wa mke wa rafiki yangu alikuwa ni mwaminifu san katika ndoa yake...
Back
Top Bottom