Search results

  1. R

    Tume ya Uchaguzi yatoa Ufafanuzi kuhusu wabunge wa CUF walioteuliwa

    Orodha si hoja HOJA ni mpangilio wa kuwajaza haujafuatwa wa CUF Maalim wamechambuliwa na kuweka pembeni na waliojazwa na CUF lLipumba japo wanatokana na orodha ile ile
  2. R

    Mbowe amjia juu Polepole kuhusu 'kigogo wa CHADEMA' anayetarajiwa kuhamia CCM

    Kwani wewe ni Mrundi? Mbona unajiweka ng'ambo ya pili!!!!
  3. R

    Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Hii tamu na imeniongezea siku za kuishi
  4. R

    Waziri wa sheria na katiba harakisha mswada wa bodi ya mawakili haraka sana Bungeni

    inatungwa sheria kwa ajili ya mtu mmoja NA VIWANDA TUTAJENGA USIKU???
  5. R

    Keshokutwa serikali kuanza mazungumzo na Barrick Gold Mine

    Wangetulipa kwanza mazungumzo baadaye
  6. R

    Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Hakika wachache sana watakuelewa Pasckal katika huu uzi. Nilianza kupata kichefuchefu lakini taratibu nikaona mwangaza unachokusudia kukikesema. Ila nina hakika maudhui yako umeyaficha sana. Asante inanikumbusha "the liver between" ya Ngugu wa Thiongo
  7. R

    Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia

    How are you going to fight corruption while YOU SEEM TO BE CORRUPTED in the first place {mwenzi wako atatoka, wewe badala ya kumbana mwenzi wako unambana anayetoka naye UMEJIONGEZA VYA KUTOSHA KWELI}
  8. R

    Fred Mpendazoe: Siwaelewi Tundu Lissu na CHADEMA

    Hili zasa si tope la udongo ni kinyesi. Inamaana mbwembwe za Dodoma zinauhusiano na milioni sita kushuka hadi milioni tatu. Usikute hata huu uzi mtu kavuta KALAKI KAKE
  9. R

    Mwanasheria Mkuu aviwakia vyombo vya usalama sakata la Ben Saanane

    Upupu mwingine huu mjipake wenyewe msitupotezee muda bure
  10. R

    Hussein Bashe, umetumwa na nani?

    Ni mitizamo finyu sana kuandaa taratibu za nchi huku tukiwa na majina ya kuyaumiza kichwani yanayotokana na wale tunaokinzana kisiasa.
  11. R

    Waitaliano kuifumua Manzese

    Kwa nini mipango isipelekwe mahali pa wazi ili kupunguza usumbufu kwa watu na gharama za fidia. Au jipu la fidia ndiyo tatizo?
  12. R

    Waitaliano kuifumua Manzese

    Ndoto tu hizi
  13. R

    Bendera ya Israel ndani ya magari ya Dar ni siasa tu au kuna la zaidi?

    Mjadala huu nimeupenda ila ingependeza sana wachangiaji kuchangia kwa lugha za staha na upendo ili kuelimika badala ya lugha kavukavu za kutaka kushinda.
Back
Top Bottom