Search results

  1. M

    Mashine za kujiandikisha hapa Sombetini zimeharibika

    Katika kituo cha Sombetini machine za kuandikisha Wapiga kura zimeharibika Masaa manne sasa watu wamesimama na wamechoka.
  2. M

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Jamani... Pamoja na janja ya CCM bado lazima tuwamalize. Arusha ccm imebaki na hawa waswahili Wa Bomdeni tu ambao hawataki maendeleo.
  3. M

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Niambieni kituo cha Sombetini wameanza kuandikisha?
  4. M

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Jamani... Pamoja na janja ya CCM bado lazima tuwamalize. Arusha ccm imebaki na hawa waswahili Wa Bomdeni tu ambao hawataki maendeleo.
  5. M

    Natafuta mume

    kuwa mjane mapema sio mpango wa mtu ni mapenzi ya Mungu. I will grow old with him...
  6. M

    Natafuta mume

    nashukuru sana kwa michango yenu
  7. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Mimi ambacho nimesikia magazetini leo ni kwa Vijicent, Anna mbunge wa Same na Getrude ndio wameshachukua form....
  8. M

    Elections 2010 Sheikh yahaya anazungumza nini juu ya matokeo yanayoendelea kutoka

    Nitafurahi sana kama amekufa maana mh vitu anavyoongea kvinatoka kwa wafu wenzake. Simpendi jamani
  9. M

    Elections 2010 Dr. W. Slaa: Shujaa wa Karne YA 21

    Najisikia Faraja sana vile tumefika mbali. Namuombea Dr. Slaa Mungu ampe nguvu zaidi katika siasa. Ametufungua sana macho na Mioyo yetu. MUNGU AKULINDE WAKATI WOTE. YOU'RE THE HERO! Hawataweza kutuibia Malaika wakuu kutoka mbingu wanatusimamia katika hili. Amen!
  10. M

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Mimi kutokana na mchakato wa kiamaisha na jinsi awamu ya sasa ilivyopelewa kwa kweli mimi nampigia Dr. Wilbroad Slaa.
  11. M

    Location: Studio za Radio Maria Tz - Mikocheni Dar

    Hello the one who is looking to listen the Radio Maria on line. It is easy you may search by using this web: www.radiomaria.co.tz or you may search on Radiomaria it will come but connected to other website then click on listen live. Then there you are!!!
  12. M

    Mwanamke hawezi kukaa bila ku-"do" kwa miaka 3?

    Mwanamke anaweza tu kukaa kwa mda wa siku nyingi hivyo kama mwanaume atakuwa anapa company sana hasa kwa sms,simu za kila wakati na mail kwa sana. Hapo ahh atasubiri sana na bila wasi wasi kabisa. Na kama mwanamke akimaanisha kupenda sio siri wala hatahangika na wanaume wengina. Inakuwa shida...
  13. M

    Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

    Mh jamani All who have dropped their point are all heavy. You really have points U gays. If you devote to something make sure You follow the right principles and make sure You achieve the goals ahead You. Do business jointly while your eyes are widely open otherwise You die kifo cha mende. There...
  14. M

    Siri za ndani...

    huu.. Na mara nyingi sana wanawake huwa wanapenda sana haya mambo. Na mara nyingi ukiona mwanamke kaweka siri kuwa Mumewe yuko vipi ujue kuwa kweli anampenda kwa dhati na hataki Mwanamke mwingine ajue vile yu mtamu. Nilishawahi kupata story Moja kuwa kulikuwa na Jamaa mmoja alikuwa na Jogoo...
Back
Top Bottom