Search results

  1. D

    Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    mkuu unasema mpango kakaa kimya wakati alitweet anasema "wananchi wote vumilieni tu mtazoea" yaani hapa mwigulu anafanya alichojadili na mamlaka zake za uteuzi akiwemo mpango, kiukwli awam hii tumepigwa aisee. kiukwel mm huwa inafika kipindi nawaza bora ata tusingekuwa na hili bunge, hawa...
  2. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Hahaaa mkuu huku bunduki zinamilikiwa mpaka na watoto wadogo, yaan mwenyekiti wa kijiji huku ni mtu mkubwa na wengi wao wanauwezo sn kifedha sabab ya madili ya mgodin, kwa hyo usishangae
  3. D

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mkuu hii ni kweli mm niko hapa nyamongo jamaa kweli kawaua vijana wawili, yaan hapa wakurya ndo huwa nawadharau, kiukwel ingekuwa usukumani huyu jamaa angeishia palepale, police wangekuta maiti yake tu, hapa nyamongo wakurya matukio kama haya wameshayazoea, yaan mtu anaua then anachukuliwa na...
  4. D

    Msaada: Biashara ya kufanya Mwanza

    kwa mwanza fungua duka la nafaka japo sijajua uko maeneo gan mkuu, ila kiukweli ni kwamba mwanza inawatu wengi sn kwa sasa na wengi hawajishughulishi na kilimo cha mazao ya vyakula, hivyo wengi wanategemea kununua vyakula. pia kwa mwanza upatikanaji wa mazao ya nafaka ni rahisi kulingana na...
  5. D

    Wazamiaji wa Ukara, Ukerewe wapewe zawadi ya ajira Serikalini

    NAUNGA MKONO HOJA, JAPO NINAWASIWASI KUWA HUENDA WAKAITWA POLISI KUHOJIWA KWA KUINGILIA KAZI ZA JESHI LA UOKOAJI, MAANA HII NI TZ BWANA SIO UFARANSA
  6. D

    DSM: Mwimbaji wa Kwaya ya AICT Chang'ombe, Mariam Charles akutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni ( Guest )

    duu hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza, twaweza mhukum mchumba wake moja kwa moja kumbe ata hajahusika masikin. yawezekana kuna njemba mwingine alikuwa anamega mzigo kwa huyo mwimbaji na alikuwa hafurahishwi na huo uchumba ndo kaamua kutumia hiyo tekiniki ili kumwangushia mzigo huyo mchumba...
  7. D

    Hivi Mkuu wa Wilaya anaweza kumfuta kazi Mkurugenzi wa Wilaya?

    Aaah wap, angekuwa mkuu wa mkoa sawa, mkuu wa wilaya hawezi kumwajibisha DED, ukiangalia kosa lenyewe la kawaida sn kiasi cha mtu yeyote kulifanya ata yeye muro anaweza kulifanya, pale busara tu ndo ilitakiwa kutumika hapakuwa na sababu ya muro kufoka mbele ya vyombe vya habari kwa kosa la...
  8. D

    Hivi Mkuu wa Wilaya anaweza kumfuta kazi Mkurugenzi wa Wilaya?

    Yaani hapo ni sawa na kusema mtendaji wa kata amfute kazi mratibu kata (afisa elim kata kwa sasa) kitu ambacho hakiwezekani, kuwapa mamlaka ya kusimamia usalama wa wilaya watu wahuniwahuni kama akina Muro ambao hawajui ata nini wanatakiwa kufanya kulingana na nafasi zao, madhara yake ndo hayo ya...
  9. D

    Waziri wa Maliasili na Utalii anapata ajali mbaya anatibiwa Muhimbili, CHADEMA wakashinikiza Wakili akatibiwe Kenya na Ubeligiji

    kwa kweli watz hapa tunalakujifunza ili kujua jinsi tulivyo na watu wapumbavu kama ww, utalinganishaje matibabu ya mtu aliyetwangwa lisasi zaidi ya 20 na aliyepata majeraha ya mkono tena ya mchubuko?
  10. D

    Majibu ya hoja za Lissu kuhusu ruzuku ya Chadema

    Kwan Lissu hoja yake ilikuwa kumshambulia marehem Wangwe, au ufafanuzi juu ya visingizio vya wanaohamia ccm kwa kumshambulia mbowe huku wakitaja sababu ni ruzuku na kuuawa kwa Wangwe? Naona hujaoanisha mtiririko wa hoja aliyokuwa akiieleza Lissu mpaka, umeegemea kumshambulia kisa bila...
  11. D

    Dar: Bilionea Davis Mosha mikononi mwa Polisi kwa kuwashambulia Maofisa wa Uhamiaji; aachiwa kwa dhamana

    Ok sawa sheria ichukue mkondo wake kulingana na tukio na asiwepo mtu wa kuonewa
  12. D

    Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

    kweli fasihi ngum jaman, hapa kuna watu wamejaa upepo kwa kutokuelewa huu uzi umelenga nini hata mfano ulivyowazi wameshindwa kuuelewa jamani!!!!
  13. D

    Dk. Mwigulu Nchemba akabidhi ofisi rasmi

    pipa anamkabidhi diaba ofisi
  14. D

    Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

    :) :):):):):):):):) :)
  15. D

    Wabunge wa CCM amkeni chukueni hatua, kilio chenu chaja 2020

    kwa hiyo na pm atamwondoa maana nae alikuwa na iman na mamvi
  16. D

    Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo: Kwa gharama yoyote lazima Jimbo la Arusha lirudi CCM

    Albert bashite, gambo, nyeti, na wengine kama hawa ni hasara kubwa sn kwa taifa ukizingatia wamepewa mamlaka makubwa kias cha kuumiza wengine wanaowapinga uhsenzi wao.
  17. D

    Bajeti ilipokuwa Trilioni 1.1 Wizara ya Afya ilishindwa kuajiri watumishi wapya; sasa ni Bilioni 890 itaajiri vipi 8000?

    we jamaa nae muongo kwel hata kama ni mapenzi na serikali sio hivo aisee, unataka kutwambia hao 8000 wataanza kufanya kazi kabla ya mwaka wa fedha 2018/2019? hawa kuja kuajiliwa mpaka mwezi wa 8 au wa 9 huko, sasa iweje watumie bajet ya 2017/2018 ambayo tayar tumeshaambiwa imetekelezwa chin ya 40%?
Back
Top Bottom