Search results

  1. Kyakya

    CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

    Kwani kuna uchaguzi ulifanyika? Kama unasemea wa 2020 ule ulikuwa ni Uchafuzi...
  2. Kyakya

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Wapendwa mbona hii haiko updated muda mrefu sasa... imeishia 2019!?
  3. Kyakya

    Ushauri wa bure kwa Tundu Lissu

    Tundu Lissu anasema wanaonekana kama wana akili lakini hoja zao....mhm
  4. Kyakya

    Jela kwa zaidi ya miaka 5 kwa kuingiza heroin Uingereza kutoka Tanzania

    Ndugu nadhani huelewi kinachoendelea
  5. Kyakya

    Wadau wa mchezo a darts nisaidieni jamani

    Kiongozi vipi waendeleaje na mchezo wako wa Darts! Uko dar sehemu gani?
  6. Kyakya

    Waziri Simbachawene awasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri wanaodaiwa kuhonga wapate Hati Safi

    HII ITAKUWA SERIKALI BOMU KULIKO ZILIZOWAHI KUTOKEA.
  7. Kyakya

    Waziri Simbachawene awasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri wanaodaiwa kuhonga wapate Hati Safi

    HAYA MAIGIZO HAYANA MUDA MREFU KARIBU YATAFIKIA MWISHO!!!
  8. Kyakya

    Tanzanian royalty corporation

    MEMBERS OF TECHNICAL COMMITTEE RESIGN FROM TANZANIAN ROYALTY CORPORATION OVER POOR MANAGEMENT PERFORMANCE ON THE EXPLORATION AND MINING PROJECTS IN TANZANIA
  9. Kyakya

    Magufuli Na Samia wafanya kazi ya ziada kuwanadi wabunge - Wanafunzi wasombwa kuhudhurua mkutano

    Hakuna Rangi ataacha ona!!!:juggle::juggle::juggle:
  10. Kyakya

    Ratiba ya Kumtambulisha Lowassa kwa wananchi

    Kitaeleweka tu Mwaka huu! nauona mwisho wa CCM huoooo!
  11. Kyakya

    Kuanguka haraka kwa CCM na Hatari inayolikumba Taifa hivi sasa!

    Sie tumemuelewa sana tu huna haja ya kusahihisha kitu
  12. Kyakya

    CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

    Unajua dawa ya watu kama wanaojiita MfuasiwaKambarage ni kuwaacha waendelee kubwabwaja hakuna haja ya kuwajibu. Hutabishanaje na Mpumbavu!!!
  13. Kyakya

    Je ni kweli watu weusi ni wajinga,wabinafsi na wachoyo???

    Tuache kuongea uongo hasa viongozi wetu, ni waongo kupita kiasi. Wanasema tanzania inaongoza kwa amani africa mashariki na kati!! Kweli hii! Wakati mwaanchi ukitofautiana kidogo na watawala unapata kichapo. Tena imepitishwa na pm wa tz. Ila wajue wanachochea moto wenyewe
  14. Kyakya

    Membe: Wasiomtakia mema Rais Kikwete wananuna ujio wa Rais Obama!

    Huu ujio mi naona ni upuuzi mtupu wa watu kutaka waonekane wanafanya kazi
  15. Kyakya

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Amani kidogo tuliyonayo ni kwa sababu watatnzania ni wastaarabu tu, Lakini Police ndio wavuruga amani nambari one hapa nchini wakitumiwa na Chama Cha Majambazi
  16. Kyakya

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Huo ndio tunaita ujinga wa Watz wachache! Wasifanikiwe kwanini? Kwanza hadi sasa wamefanikiwa zaidi yetu sisi hapa. We kalaga bao
  17. Kyakya

    Safari ya JK kwenda kutembelea timu ya Sunderland inamnufaisha nani?

    Sasa tutanufaika nini kwa team ambayo kila mara inakosakosa kushuka daraja? Vitu vingine jamani vinatia kichefuchefu ata kuvisikia. Huyu jamaa amalize tu muda wake maana ni kero kubwa sasa.
  18. Kyakya

    Chadema vyuoni yafa kwa kasi.

    Thread kama hizi hakuna haja ya kuzijibu ziachene tu. Waache waendelee kujidanganya
Back
Top Bottom