Search results

  1. ngofa

    Wakali wa kuongoza darasani sasa hivi wana hali gani kimaisha??

    Inategemea na shule.. Shule niliyosoma mm D ndo walikuwa vichwa na wanaitwa Pure science
  2. ngofa

    Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

    Mtu ameoa miaka miwili na nusu tu unasea amaehangaika sana kupata mtoto? Waambie wavumiliane hizo ndizo changamoto za ndoa ukifika wakati Mungu amepanga watapata mtoto waache kufikiria uzinzi
  3. ngofa

    Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

    Mkuu umesema huwezi kuwaona paka wakifanya mapenzi kama ilivyo kwa wanyama wengine lakini hapo hapo unatuambia paka dume akimwaga mbegu kwa jike,jike anagaragara chini kama amemwagiwa maji ya moto.. Hii ya jike kugaragara akimwagiwa mbegu ilionekana wapi?
  4. ngofa

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Ruge hana amani kabisa.. Inaonesha nafsi yake haijaridhia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ngofa

    MWANZA: Machinga wameanza kurudi katika maeneo yao kufuatia agizo la Rais

    Hapana aisee.. Hapa kuna kitu hakipo sawa,kwa nini asingezuia kabla?watu wameshapata hasara na walishaenda huko walipopelekwa leo anasema warudi? Taatifa za kuondoshwa zilikiwepo muda mrefu na hata kwenye vyombo vya habari tuliona wananchi wakilia wakiomba wasiondolewe hakuna aliyejitokeza...
  6. ngofa

    Wenyeviti wa vijiji wamgomea Mkurugenzi mtendaji wa Nyamagana

    Nyamagana hakuna vijiji...
  7. ngofa

    Kesi ya uchaguzi jimbo la Nyamagana: Mabula ashinda kesi dhidi ya Wenje

    Wakili wa Wenje aliomba kutoa kesi mahakamani baada ya Jaji kukataa form za matokeo ya vituoni zitumike kama sehemu ya ushahidi
  8. ngofa

    Rachel Mashishanga, Christowaja Mtinda wahama CHADEMA na kujiunga CCM

    Dada yake Lissu ni Christina Mughwai Lissu na sio Christowaja Mtinda...hao ni watu wawili tofauti japo wote walikuwa wabunge wa viti maalum
  9. ngofa

    Onyo: Mauaji ya kutisha kwa mnyama nguruwe

    Hayo siyo mauaji,kinachofanyika hapo ni stunning kumfanya apoteze fahamu(unconcious) ndio anachinjwa..hilo ni jambo la kawaida kwa kuzingatia haki za wanyama na hata ng'ombe pia wanafanyiwa stunning kabla ya kuchinjwa hii inafacilitate bleeding lakini pia inaongeza ubora wa nyama
  10. ngofa

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Polee...hujui hata Usa River ipo jimbo gani
  11. ngofa

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Nenda kalazwe wewe ndio utajua uzuri wa hospitali ni vitanda au huduma! Huduma za muhimbili bado ni mahututi,rafiki yangu amehamishwa pale MOI juzi j3 baada ya kukaa mwezi mzima bila huduma na alishaandikiwa upasuaji wa nyonga tena alikuwa kwenye wodi aliyoitembelea Magufuli
  12. ngofa

    Wabunge wa CHADEMA hawajafanya jambo la busara

    Utakuwa mgeni wa siasa za Tanzana,2010 walipomgomea Kikwete alipolihutubia bunge hakukuwa na posho?
  13. ngofa

    For JamiiForums Mobile users

    Mobile
  14. ngofa

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Rabboni Unajua kazi ya mbunge?kazi ya bunge ni kuisimamia serikali,iwe serikali ya ukawa iwe serikali ya ccm! Mmezoea mibunge yenu ya ccm kujigeuza serikali ndio maana hujamuelewa Mnyika
  15. ngofa

    Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Hizi kadi mpya ni nyingi sana kipindi hiki cha uchaguzi kwa sababu watia nia hasa wa udiwani na ubunge wamekuwa wakipita huku mitaani na kuzigawa ili waongeze idadi ya wapiga kura kwenye uteuzi wa ndani ya chama.
  16. ngofa

    Wabunge 80 aliosema Lowassa wako wapi?

    Unatarajia kuona mafuriko kwa watu kurudisha kadi? 😂😂😂😂 subiri sanduku la kura ndio utajua maana na mafuriko..kuhama sio kupiga kura
  17. ngofa

    UKAWA Singida mjini mshindwe nyie tu! Omari kinyetto wa CCM kumrithi MO.

    Nimefuatilia hili suala,Omaryi Kinyetto hajatangaza nia ya kugombea ubunge..ametangaza nia ya kugombea udiwani kata ya Kindai
  18. ngofa

    UKAWA Singida mjini mshindwe nyie tu! Omari kinyetto wa CCM kumrithi MO.

    Singida mjini wagombea wote wa ccm ni vimeo...mwingine aliyetangaza nia ya kumrithi Mo ni Mazala
Back
Top Bottom