Tusijifananishe na HAITI na kuanza kujisifu .Hiyo nchi imekuwa ikikumbwa na natural Disasters kwa karne nyingi tangu kuumbwa kwa ulimwengu,ndio maana wazungu waliamua kuikimbia na kuwaacha watumwa huko waishi maana ilionekana si sehemu salama ya kuishi binadamu.
Haiwezi kupita miaka 5 bila...
Mbona yeye mwenyewe alikula ugali wa Yanga na Burga za kutoka Marekani kwenye njaa ya 1984 tena kwa kupanga foleni kuanzia asubuhi hadi jioni kuisubiri
Ni Wapumbavu fulani hivi wasiojua hata katiba inasemaje juu ya jambo hilo.Tunapozungumzia tunahitaji katiba mpya hiyo mijitu ndio ilikuwa ya kwanza kupinga halafu yalipotokea wakawa wanataka kipengele hicho cha raisi akifia madarakani kipuuzwe.Nadhani hapo ndio tungeshuhudia damu ikimwagika...
Single mothers wengi wamepigwa mimba na vivulana .Mwanamke akishaona umri unakwenda na dalili za kuolewa hakuna na ana ajira ya kuendesha maisha kifuatacho ni kutongoza kivulana tu kimpe mimba ili asizeeke bila kuwa na mtoto
Kama hao mabeberu wangetaka kuwageuza mashoga basi ile njaa ya 1984 wangeanza kuwageuza wazazi wenu wawe mashoga maana walikuwa wakigombea hizo burga na unga wa Yanga kutoka kwa hao wamarekani ili wasife njaa ili nyie mnaorefusha midomo yenu hivi sasa mzaliwe.Na hizo burga miaka hiyo...
Njaa ya mwaka 1984 Serikali iliomba hizo burga na Unga wa yanga kutoka Marekani ili wazazi wenu wasife njaa. Wazazi wenu walikuwa wakipanga foleni siku nzima ili wasife njaa na nyie mzaliwe .Je wazazi wenu waligeuka mashoga baada ya kula yanga na burga ,hebu ongeeni na wazazi wenu wawape...
Wapi processed meat kama sausages na nyama za kwenye humburgers?
How does processed meat cause cancer and how much matters?
Processed Meat (Sausages, Ham, Bacon, Hot Dogs, Salami).
Processed meats do cause cancer - WHO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.