inachukua sekunde zisizopungua 3 paka 10 kama risasi imeingia sensitive area kama brain to make it cease functioning so majibu unayo mkuu.
Pili from the chin to the brain hapo kuikuta risasi kwenye ubongo tena kwa risasi ya bastola ni ngum kidogo mkuu sanasana iwe imepoison tu.nafikiri majibu...
Hili swala wa si utata kwa kujipiga risasi mbili.kwanza tukio linaonesha huyu jamaa alikuwa na silaha yenye ku load more than 8 bullets maana yeye kajipiga 2 mkewe 2 mama mkwe 5 lakin kawaida ya risas inapoingia mwlinili ikikutana na damu mwili unatabioa ya kufa ganzi kwaiyo kama alijirenga...
Mkuu naona ulikuja kwa lengo la kutaka kujua sema tatizo approach yako haijawa nzuri.ni vyema ungeuliza mojamoja kwa moja tungekuelekeza kuliko kuja kama mjuaji haya ndo madhara yake.
Nasita kukuelekeza kwa jinsi ulivyo attend iyo topic yako ila mwenyekujifunza hakati tamaa andika upya then...
Sasa ndugu hupendi ndugu wa mkeo pia mind u if not them pengine huyo mkeo usingempata hujui ndo kalelewa na hao.
Si kulaumu ila hayo ni mapungufu sanana ni tatizo unalotakiwa kulifanyia kazi liishe maana itafika wakati hutataka kumuona hata huyo mkeo na huu ni ubinafsi na uchoyo haiwezekan...
tumeona mkuu kwa hapo nadiliki kusema sio special order maana nijuavyo mm special order iyo kazi inayofanywa hapo na kina balabuu ingefanywa kiandani ndo maana ya special edition kwamba baadhi ya vitu vitakuwa unique just for ur preference mkuu laiti ungepata na chases number tungechek kwenye...
sio dharau yy ndo alianza kuleta dharau mkuu kwanii hakuwa najiheshimu paka aanze kwenda club pekeyake angali akijua mm simo na hakuwa mkweli mengi ukimuliza anaficha paka pawe na ushahidi wa kama hizi picha
in anyway she does have mkuu vinginevyo hata washauri wangekuwa wanenda somea wenye matatizo tu.so this is a just a parkage of skills knowledge while experience is just an added advantage
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.