Search results

  1. Mwananzuoni

    Katika kumjali Mnyonge na kukua kwa uchumi wa viwanda, sasa TANESCO kuchaji 3% kila unaponunua umeme; jumla unakatwa 21%

    Ongezeko la 3% sio jipya. Makato ya REA yameanza siku nyingi baada ya REA kuanzishwa tu.
  2. Mwananzuoni

    Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

    Mzee alitushauri watoto wake kuhusu kuoa. Usioe mwanamke mwenye matako makubwa, huyo atakuwa hana akili. Umenikumbusha Mama Sabrina.
  3. Mwananzuoni

    Zitto Kabwe: Hatuwezi kuendesha nchi kwa mawazo ya mtu mmoja

    Umenifurahisha "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu ambaye kwa sasa ni Mwanamume wa Shoka, Shujaa wa Mapambano ya Ufisadi, Mtetezi wa Wanyonge na Jemedari Dr. John Pombe Joseph Magufuli"
  4. Mwananzuoni

    Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Mkuu nakukumbusha: Zamani kanisa Katoliki lilikuwa linapata misaada kutoka nje kupitia Wamissionari wa Mashirika palipali (mfano White Fathers). Hivyo makanisa mengi yalijengwa na Wamissionari hawa kwa kutumia fedha zao. Siku hizi Wamissionari wa nje wamepungua sana, pia misaada imepungua kwa...
  5. Mwananzuoni

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Ongezea na Dada yake Lisu (Marehemu kwa sasa (RIP)).
  6. Mwananzuoni

    Mwigulu amshukia Mnyika, amuuliza ana uhusiano na wauaji wa Kibiti?

    Ameyataka mwenyewe, acha aitwe.
  7. Mwananzuoni

    Rais Magufuli amtaka Mkurugenzi wa DAWASA Eng. Archard Mutalemwa, kujistaafisha kazi

    Hapo umenena. Asije akawa na akili dogo kama ya Profesa Muhongo. Ukipewa muda utumie
  8. Mwananzuoni

    Rais Magufuli, unakumbuka Ulimwengu alizungumza nini na leo yanatokea?

    Soma vizuri hiyo barua unayosema Wizara ilikuwa inafahamu kuwa bei ya umeme imepanda. Hiyo barua ni ya kuwasilisha mapendekezo ya kupandisha bei, na siyo ya kuwasilisha bei iliyopendekezwa na EWURA kwa Wizara. Tena hata hiyo barua Wizara imepewa nakala kwa taarifa tu. Hoja hapa ni:- 1. Mara...
  9. Mwananzuoni

    Mama Ndalichako, kichwa cha nyoka hiki hapa piga!!

    Mkuu uko sahihi. Kuanzia Shule ya Msingi, Sekondari, mpaka Chuo Kikuu, Wengi wa Waalimu waliopo ni porojo tu. Hawafundishi inavyotakiwa. Bila juhudi ya mwanafunzi, hawezi kufaulu. Suala la Waalimu liangaliwe zaidi na sio makelele tu
  10. Mwananzuoni

    Tanzania tuitakayo! Oh my God!

    Mkuu Mshana, Mazingira haya ndiko ulikohudhuria mtanange wa kunywa Supu ya Mawe?
  11. Mwananzuoni

    Mashindano ya kunywa gongo yaondoka na mshindi

    Mkuu ulihudhuria Mpambano huo?
  12. Mwananzuoni

    Rais Magufuli aongoza wananchi wa Dar kuaga mwili wa Dk. Didas Massaburi, atoa neno

    Je ni nzuri kudanganya, wakati huyo alikuwa mwenzao wanamfahamu?. Familia kudanganya imekosea na ndio utakuwa mwanzo wa kugombea mali za marehemu, kwa kigezo kuwa hawatambuliki. Ni Bora amemwaga ugali kabisa baada ya wanafamilia kumwaga mboga. Tusubiri kasheshe ya Wajaruo, walivyowabaguzi, Time...
  13. Mwananzuoni

    Waziri Mkuu: Bomba la mafuta litakamilika 2020, litaingizia Tanzania dola milioni 2.4 kwa siku

    Kwanza tushukuru. Ingekuwa Serikali zilizopita hii ilikuwa dili ya kupiga pesa, hata wasingetangaza wangemaliza wenyewe tu kimyakimya
  14. Mwananzuoni

    Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan

    Wewe unaishi wapi?. Hujaonana tatizo kubwa lililopo Salender Bridge kwa sasa?. Je, baada ya miaka kumi ijayo hali itakuwaje pale Salender Bridge?. Mpango wa kujenga "alternative route' pale ni wa kuungwa mkono. Pia sehemu ulizotaja nazo zinahitaji kuboreshwa. Kwa vile sasa wanaanza na...
  15. Mwananzuoni

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Rais amesema ukweli. Kagera ina watu wengi sana na ina wasomi wa kutosha. Ukitathmini kwa undani unaweza ukawatenga waathirika katika makundi yafuatayo: 1) Kundi la Familia ya Watu Maskini kabisa, kama wazee wanaoishi peke yao au na watoto wadogo baada ya wazazi wao kuwaterekeza au kutangulia...
  16. Mwananzuoni

    Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

    Uko sahihi Mkuu. TL anatumia utaalamu wake wa sheria vibaya
  17. Mwananzuoni

    USHAURI: Rais Magufuli vunja ATCL. Anzisha Tanzania Airways ama Kilimanjaro Airways

    Uko sahihi kabisa. Wafanyakazi karibu wote wa ATCL hawatakiwi kukabidhiwa ndege zinazonunuliwa, hawatakuwa na ushirikiano mzuri ili kuendesha shirika hili. Mfano ni upendeleo wa kupata marubani ulivyofanyika. Mhe. Rais anzishe shirika jipya, achana na hili bovu
Back
Top Bottom