Search results

  1. MwanaFalsafa1

    Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

    Ila kila mtu hufa. Unawezaje kuwa na uhakika kuwa mtu kafa kwa sababu ya kumkashifu Mungu? Kama adhabu ya kumkashifu Mungu ni kifo basi sisi wote tutaja mkashifu Mungu.
  2. MwanaFalsafa1

    Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

    Ila kila mtu hufa. Unawezaje kuwa na uhakika kuwa mtu kafa kwa sababu ya kumkashifu Mungu?
  3. MwanaFalsafa1

    Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Bwahaahahahahahahahaha niite waandishi wa habari wa nini? Wewe ndio mwenye "inside info" bwana maana kweli hii ni "siri". Nina uhakika ni wachache sana waliokuwa wakidhani Shivji na Warioba wana ugomvi. Serious mkuu this is big stuff usiishie tu JF. Many people need to know this...
  4. MwanaFalsafa1

    Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Bwahahahahahahahahahahahaha endelea kaka. Hukatazwi kuongea na wala hulipii maneno. Maneno yako mazito sana nina uhakika wengi wangependa kujua zaidi kuhusu your "inside info". Why end at JF? Mimi naamini kabisa ukiita waandishi wa habari watapenda kusikia what you have to say. Hebu waite bwana...
  5. MwanaFalsafa1

    Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Kumbe ni fimbo kwa fimbo. Mimi nilidhania ni mjadala. Kumbe umeanzisha thread sio kwa kujadili bali kwa "fimbo kwa fimbo"? Haya endelea mkuu. Uzuri maneno yako si sheria na hayana effect yoyote nje ya servers za JF. Zingekua na influence where it matters ninge ogopa.
  6. MwanaFalsafa1

    Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Hapo juu ni maneno yako mwenyewe. Kwa hiyo na hili ulilo litaja hapo juu nalo lina husiana na ugomvi wa Warioba na Shivji?
  7. MwanaFalsafa1

    Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Naona kuna baadhi ya watu wame fanya kutaka serikali tatu kuwa kosa kubwa la jinai kama vile kuua. Hivi kama Mzee Warioba ana amini katika serikali tatu so what? Naamini kabisa sio kila mwanaCCM ana mawazo sawa. Ni dhambi kama kweli huyu mzee ana amini katika serikali tatu? Just asking...
  8. MwanaFalsafa1

    Walemavu kuny'any'aswa kwenye ajira......

    Basi dada naona hutaki kuelewa. All the best kwa mpenzi wako lwenye kutafuta kazi.
  9. MwanaFalsafa1

    Tahadhari na mtandao wa utapeli unaojiita TCRA foundation

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAHADHARI NA MTANDAO WA UTAPELI UNAOJIITA TCRA FOUNDATIONMamlaka ya Mawasiliano imebaini kuwa kuna mtandao wa matapeli wanaotumia jina la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutumia tovuti inayojiita “TCRA Foundation” na inayodanganya kutoa mikopo kwa...
  10. MwanaFalsafa1

    Walemavu kuny'any'aswa kwenye ajira......

    Sawa. Kaapply kazi zipi. Bado ina baki pale pale kwamba kuna baadhi ya kazi kuwa na kigugumizi inaweza kuwa disadvantage. Mfano nu ualimu. Mtu mwenye kigugumizi anaweza ongea lakini ata chukua muda mrefu zaidi kuongea kitu fulani. Au mfano kazi ya customer care, mteja ana piga simu customer care...
  11. MwanaFalsafa1

    Walemavu kuny'any'aswa kwenye ajira......

    Alikua ana apply kazi ya aina gani? Kama ni kazi zinazo hitaji mtu kuongea mbele za watu mara ka mara (public speaking) kweli kigugumizi kinaweza kikawa kikwazo. Kwa hiyo tueleze vizuri ni kazi zipi haswa alizo kuwa ana apply?
  12. MwanaFalsafa1

    Muhimbili interview

    Maslahi ni kweli muhimu ila ingekua muhimu kama unavyo taka kuiweka basi ungefuatilia kabla huja apply. Kama maslahi ni muhimu sana imekuaje ukasumbuka kuapplly kabla ya kujua malipo?
  13. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Kuna SACCOS zinatoa mikopo yenye riba nafuu. Kuna benki zinatoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo. Kuna NGOs zinatoa capital kwa wajasiriamali wadogo wadogo kama wakiwa na good business plan. Unaweza kopa hela kwa mtu unaemfahamu kama ni mtu wa kuaminika. Njia zipo nyingi. Mtaji sio lazima...
  14. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Acha kuwa mbishi. Sicho nilicho maanisha. Hata huko kazini unapo kwenda huna experience napo seti? Si unaenda kufundishwa seti? Sasa nikupe mfano. Pia huko kudharau na kudai "viujasiriamali vya kuuza kuku" kwa taarifa yako biashara ya kuku ndio one of the most profitable. Kifaranga kimoja ni...
  15. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Hivi kuna mahali nimesema aende akauze mitumba? Mtu ukijisifia na elimu unashindwa kuwa mbunifu? Umesha wahi sikia miradi ya kuku? Mboga mboga je? Tatizo hamjifikirishii ndio maana ukakimbilia kutaja kuuza mitumba wakati sina nilipo sema wasomi wakauze mitumba.
  16. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Kweli mkuu. Tatizo Watanzania tumezoea ulalamishi. Siku zote kwetu sisi mbaya ni mtu mwingine au anaesababisha umasikini wangu ni mtu mwingine. Ndio maana nchi hii hamna linalo tatuliwa kwa sababu kila mtu ni kulalama tu na kulialia.
  17. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Kuna njia nyingi za kupata mtaji wa kujiajiri. Ungekua mtu wa kukuna kichwa na kufikiria ungezijua hizo fursa.
  18. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Tumesha kuwa jamii ya kulalama tu kulalama tu. Mtu badala ya kukuna kichwa kutafuta solutions ana kazania kulalamika tu kuhusu tatizo kana kwamba kulalamika ndio kutatatua tatizo. Sisi sio nchi masikini na changa ya kwanza. Hata hao walioendelea walisha pitia hatua kama hizi sema waka tafuta...
  19. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Asante mkuu. Mimi nashangaa mtu ana lalamika ajira ni ngumu wakati huo huo ukimpa wazo la kujiajiri anaona umemtusi. Sasa kama kazi hakna na hautaki kujiajiri ushauriwe nini? Nadhani wengi wakiambiwa neno "kujiajiri" wana waza miradi yanayo hitaji mamilioni ya pesa kuanzisha. Kumbe mtu unaweza...
  20. MwanaFalsafa1

    Hivi ni kwanini wanaowaambia wenzao wajiajiri wao wameajiriwa?

    Ni kwamba hujaelewa text yangu au unataka kusema Tanzania mtu kujiajiri haiwezekani? Mimi nina mifano hai ya watu wengi tu walioanzisha miradi yao wenyewe tena wengine wakiwa bado sekondari au chuo kikuu. Sisemi kila mtu aajiriwe na sisemi kila mtu ajiajiri ila kama huna kazi yoyote kabisa si...
Back
Top Bottom