Search results

  1. B

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Jamani Mungu atudhibu kwa uongo yetu; mbona kiini macho ? Mapolisi eti wameshika mke na mume wanaohusika na hurubuaji mabomb ??? Wanafikiria kuwa wa Tanzania wa sasa ni wajinga sana kuwarubuni na uongo. Mbona tunajua hizo mbinu zao CCM na Mapolisi
  2. B

    Prof. Shivji yuko wapi?

    kama kawaida nimekuwa nahisi hivyo --- jamani dhambi --- watajibu je kwa mungu yani pesa ni shetani hata huyo ??? Trust no one what a shame.
  3. B

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    Unajua Siasa ni Mbinu - hawa CCM wameshaka nakubaliana. They are not there to discuss the KATIBA for the interest of TANZANIANS ila to endelea kukaa na kula tuu. They know very well kwamba wasipo weka KATIBA vizuri --- wengi wao wataishia jela tutawafunga kwa dhambi zao. OPEN BIG YOUR...
  4. B

    Hotuba ya Rais Kikwete ya Mwisho wa mwezi Julai, 2014

    :wof: WOLf kabisa - kweli kabisa Mwanakwetu kwa nini mwezi wa Sita ajatua speech ? WAKAWA songeni mbele msirudi nyuma - ANAKULA TABISHI YAKE - sasa anatapatapa. He thinks Tanzanians of today are fools - laaa hasha. HOTUBA NI BOOMB WAKAWA WASIRUDI KABISA BUNGENI ON ONE CONDITION KAMA...
  5. B

    Mchumba amekuwa mbogo!

    Kweli sio mahalipake -- ila na mie naomba tu nimsaidie kiaina yake. Uwe na hakika sio bogo -- badae ya ndoa akukimbya miaka 2 na kurudi then anatumia pesa zako kuhonga wavijana nakuibiwa gesti. Alafu mitaani unaitwa mume -----
  6. B

    Bunge la Katiba Haliko Kwa Ajili ya Kuboresha Rasimu ya Kina Warioba!

    you are absolutely right - naona tunalekea huko huko kenya tusipoangalia vzuri. The reason is these people are not in our favor but rather their stomach na wealth. Wakivuruga hiyo katiba kweli atapokalika. Tunawasubiri.
  7. B

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    :shock: RAIS ANAOGOPA NINI WAKATI MTOTO WAKE PIA UMO ??? AMEUZA NCHI YETU KWA WA CHINA ILI MTOTO WAKE ASIPIGWE RISASI SIO HUKO CHINA. TIME WILL TELL - THEY ARE LOOTING OUR COUNTRY JAMANI HATA HAWA MAWAZIRI WAKE. JAMANI IF THEY HAVE WISDOM TO KNOW THAT THEY WILL ONE DAY DIE -- BELIEVE YOU ME...
  8. B

    Proud to be Tanzanian. Shame on you ....!

    :smile-big:​ Absolutely mie pia I am proud to be a Tanzania. We are nice calm people, welcoming mention. I LOVE MY COUNTRY TANZANIA. GOD BLESS TANZANIA AND TANZANIANS.
  9. B

    Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

    Mmmh Viogozi wa Tanzania baana ni waboomb sana. Kwani wakati jengo inavyo ongezwa awajajua ?? They knew it and was seeing it been built why now when it is completed ??? Yani I cannot believe this had it been another country unasue hiyo Serikali kbs. This government is stinging stupid kbs.
  10. B

    Mabilionea wa Arusha, vitalu vya gesi na dharau za serikali!

    Surely we have millionairs and billonaires in Tanzania - It is lack of knowledge of the Minister of Minerals kutudharao kiasi kichi. He is an idiot who is so greedy and it seems he is lacking education. :shocked:
  11. B

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    huyo sofia simba ni mayai - mama zero. Mimi naomba viongozi wa chadema wamshitaki atibitishe kauli yake kabisa. Ni mjinga sana hata hiyo wizara imemshinda atafanya nini? Sisi tunajua uko kama fanicha tuu huko wizarani ana ile wala chochote. Uso kama cocoa. Mjinga sana.
  12. B

    Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

    :wof: HAHAHAHA UNAJUA NI KWELI WAMELEWA SANA MADARAKA NAKUSAHAO WAKO UKO BUNGE KUFANYA NINI ? THEY THINK THEY CAN DICTATE TO US AS TANZANIANS --- THAT HAS PASSED GONE WE WILL NOT TOLERATE THAT NONESENSE. WE TANZANIANS ARE TO TELL THEM WHAT WE WANT AND NOT THEM TO DICTATE TO US KABISA...
  13. B

    Kikwete atampa ulaji gani Balozi Mwanaidi Maajar?

    kweli poor performance kabisa kwanza tunataka kujua so far amefanya lini kama balozi wa tanzania huko d.c. Kwa watanzania huko amerika n.k. Passport zao mpaka leo wengi have not received their new renewal passports. Rediculous. Wanatumbua pesa zetu tu na ule bwana wake shariff malaya. Kwanza...
  14. B

    Rostam Apenya Siasa za Kenya

    Haya tuulize Serikali yetu kuwa huyo Rostam ni Mtanzania au Mkenya/ Inaruhusiwa Mtanzania kupiga Siasa Kenya. SERIKALI ANATOA JAMBO GANI KUHUSU HIYO? Jamani huyo Rostam ni SHETANI atakiwi kabisa kwenye Serikali huyo ni MAFIA MKUBWA.
  15. B

    Lukuvi+sugu

    SUGU usiogope kabisa hata kama wanakutisha. Ni nyanya mbovu usichanganye nao otherwise utaabukizwa alafu utakua umeoza. Kweli tumekusikia jana SUGU na hawa Serikali na Wakuu wasifike kabisa. SUGU KAA KISUGU
  16. B

    Dr. Mkumbo aula UDSM

    hongera hongera mkuu na kweli you deserve it. You are a leader for sure hongera hongera mhe. Dr. Mkumbo. Hesima na salute kwako. Mungu akulinde
  17. B

    Mh.spika!

    :alien: NA KWELI HUYO SPIKA ANNA MAKINA a.k.a Bi KIROBOTO AVAE KABISa. Unajua CCM wamechukia SITA kwa sababu he was transparent and not basing on any Political Parties kwa hivyo wakamtua hawa CCM kumweka huyo KIROBOTO ili atete CCM na kunyamazisha Wapinzani. Kwa kweli kuna kazi kwa CCM...
  18. B

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    :A S 465:HUREEEEY ENDENI JAMANI TUONE HATA WALIMU MKIPATA ENEO NZURI GO TO TEACH THIS CCM GOVERNMENT A LESSON. Watatoka Bungeni kuhudumia Wagonjwa na Kufundisha ma skuli yetu. Wabombavu sana wote wa CCM wanavyoona eti Wanagoma ma Daktari na Walimu. Hawa CCM wanafanya mzaha kusema ongo kwa...
  19. B

    Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    Wewe ni Chama cha Mafia au Umetumwa? You response is very stupid. If you had been to skuli you would have understood the predicament of the Dr's and kwa nini unagoma. Heri yenu Mafisadi na Mamafia mnapelekwa India, Ujerimani n.k. We need people who talk sensible on PF sio ma Stupid ambae...
  20. B

    POLISI: KOVA hana la kufanya...

    Kazi tunayo jamani nani ana CV ya KOVA. Mimi ninavyojua ni darasa la 7. Ndio maana anaudhaifu huu, failure atawezaje kuperform. Ni hopeless guy
Back
Top Bottom