Search results

  1. VITA VYA KAGERA

    Kijo Bisimba ni nani??

    Mafisadi yapo vitani!!.
  2. VITA VYA KAGERA

    Facts: 16 most powerful militaries in Africa

    Tanzania kipindi cha nyuma tulikuwa tunapambanishwa na nchi kama Ethiopia, Algeria, Misri nk, sio Kenya, Uganda, eti na Rwanda jamani!!!. Na hii inatokana na kuzidi kwa utawala mbovu ambapo ni chanzo cha kuingiza siasa Jeshini. Mafisadi yanapo tafuta kukubalika Jeshini kwa ajili ya usalama wao...
  3. VITA VYA KAGERA

    Panya road 501 mbaroni, Kibonde amchukiza Kamanda Kova

    Peleka hofu zako hukooo wewe!. Kwani majukumu ya kiusalama si ya serikali ambayo inavyombo vyote vya kiusalama?!. Sasa mambo ya panya road takribani miezi mitatu au zaidi wewe uoni kuwa ni udhaifu huu. Tofauti na nchi nyingine, TZ ni nchi yenye amani, ni rahisi mno kudhibiti kikundi cha kishenzi...
  4. VITA VYA KAGERA

    Panya road 501 mbaroni, Kibonde amchukiza Kamanda Kova

    Nawewe Kibonde acha ubwege kufagilia magamba!. Ndio ufahamu sasa sisiemu wamekwisha, ovyo kabisaa, hawana ishu tena, cheki wanavyoshindwa kutunza usalama kwa raia ukiwemo na wewe. Wanashindwa kumwajibisha Kamanda matokeo yake unaonekana wewe muongo!!. Badilika sasa, acha mazoea, hata sisi...
  5. VITA VYA KAGERA

    Panya road 501 mbaroni, Kibonde amchukiza Kamanda Kova

    Kova, acha siasa, fanya kazi. Siku hizi umepoteza imani kwa watu wengi. Kama Kibonde yamemkuta eti anyamaze kisa anakuogopa wewe, utaonekana hufanyi kazi, au?. Wewe Kamanda vipi?!!, muoneni huyu!!!!!!....
  6. VITA VYA KAGERA

    FDLR disarmament, cacophony of local actors and enduring UN failure to facilitate peace in Great Lak

    Pamoja na uchambuzi wooote huo, jambo la wazi ni kuwa US ndio nuksi katika mgogoro huu. US ndio inampa nguvu Kagame kuvuruga Congo. Ni hivi,, Kagame ashukuru Mungu, Mkuu anaachia ngazi, angekoma!. Kama fitna basi pale amefika, kama hujuma ndio penyewe, kama tabasamu basi pale lipo la kumwaga na...
  7. VITA VYA KAGERA

    Jeshi la DRC kuwakabili waasi wa FDLR

    Kwani wanaolalamika kwenye media zao si wao kigali!. Kwenye kukalibisha mwaka mpya 2015, Rais wa Tanzania kasema, "hakuna nchi tulio na uhasama nayo wala tunayo itilia mashaka". Sasa masuhala ya kunyimwa usingizi yanatoka wapi hapo!!.
  8. VITA VYA KAGERA

    Mgombea urais asiyetabirika kutoka upinzani!!

    Anafaa, akigombea nitampigia kura.
  9. VITA VYA KAGERA

    Hatimae Dudubaya na Mr.Nice wamaliza beef

    Nawapongeza sana. Mwaka mpya na mambo mapya.
  10. VITA VYA KAGERA

    EBOLA yawakuta ISIS, wengi wanatafuta usaidizi

    Korea ya Kaskazini ilishawai kusema Ebola ni siraha ya kibaiolojia kwa malengo maalumu. Kinacho tokea Africa Magharibi ni majalibio tu. Sasa naanza kuwaza kuwa labda hiyo ni moja ya malengo!.
  11. VITA VYA KAGERA

    Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

    Profesa Muhongo ni waovyo kabisaa. Kiongozi wa Umma unakuwa na dharau kwa unaowaongoza!!. Hata kama unawadharau basi si uache kichwani, sasa kwanini uilete mdomoni kama kichaa!!. Huu uprofesa ni waajabu aisee!!. Ptuuuu!.
  12. VITA VYA KAGERA

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Kwahiyo wasiwasi wenu nyinyi mafisadi ni kuwa, Mengi ndio anawashughulikia?!!. Lakini si kweli mmeiba sasa nini!!. Na nyinyi kama mnamadai yenye mashiko kwa Taifa, tafuteni documents za ushaidi mlipueni. Minyoos nyinyi.
  13. VITA VYA KAGERA

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Litakuwa limeongwa na majizi ya Taifa hili, she.nzi kabisaa.
  14. VITA VYA KAGERA

    Zitto: Nitamuunga mkono Mbowe

    Acheni vitisho nyinyi, hii nchi sio mali yenu wenyewe, hili ni Taifa la watanzania wote. Mnataka muifilisi hii nchi bila kuulizwa, si ndio?!!.
  15. VITA VYA KAGERA

    Jenerali Ulimwengu kuhusu usalama maziwa makuu

    Kwanini System isimshughulikie huyu kibaraka?!!!.
  16. VITA VYA KAGERA

    Jifunze kwa awa vijana wa kiafrika ni matajiri wabunifu umri wao chini ya miaka 30

    Sasa wewe!, kwani ukimchukia tajiri ndio itakupunguzia njaa au?!!. Huyu ni mtanzania, tujifunze pia kwake. Ni jinsi gani katoboza katika mazingira hayahaya ya kishenzi. Sio kutwa kijicho tu. Chukua hiyo wewe boy.a.
  17. VITA VYA KAGERA

    Kikwete amenifanya nijione mbumbumbu

    Tuliingizwa mkenge ila tusirudie tena mwakani.
  18. VITA VYA KAGERA

    Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

    Nyinyi ndio mnayo iponza CCM, mimi na wengi wanao jitambua hatuwezi kuchekea mitandao ya majizi kama nyinyi. Tunawakimbia kwa sababu, tunaogopa hukumu ya Mungu. Nyinyi ni wauwaji wa uhai na uchumi wa wazawa. Hata Majeshi mmesha yanajisi. Hii ni hatua mbaya sana.
Back
Top Bottom