Search results

  1. S

    Kamati ya Zitto yatabiri kifo cha TBC

    Matumizi hayo ya mafuta ni baada ya kumtoa Tido au ??????
  2. S

    Mchemsho wa TANESCO? Nchi nzima haina umeme

    TANESCO waache urasimu, Stand by Genset zipo waende pale SCANIA TANZANIA, Kuna generator kubwa za kusaidia upungufu wa umme zaidi ya zile walizokodisha kutoka kampuni ya AGGRECO.
  3. S

    kamata kamata ya mabasi na Polisi Traffic

    Kuna kamata kamata ya mabasi yanayokwenda mikoani kwa kisingizio cha kuwa Chassis imeungwa sehemu ya nyuma mwishoni, Hii tumeona ikileta usumbufu kwa abiria ambao wameisha kata tiketi tayari kwa safari, halafu Polisi wa usalama barabarani analizuia gari bila sababu za kitaalam. Naikiri hawa...
  4. S

    Barabara ya Kilwa vipi ??

    Jamani Hawa Ma-Engineer wetu vipi ???? Mifereji ya kupitisha maji imejengwa hovyo kwa kiwango ambacho hata mtoto mdogo hakubali, Sio muda mrefu barabara itabomoka kwa mvua. Jee ni kweli mifereji inatengenezwa na Wa-Tanzania ( Tanroads) na sio KAJIMA ????? Jee hawa Engineers wetu wanajifanya...
Back
Top Bottom