Search results

  1. C

    FIrst comment ya post says it all

    sawa huu ni mtazamo ulioupata baada ya kudadisi mtiliriko wa mada mbalimbali. Pendekezo lako kama suruhisho ni nini? Mchango wako wa mawazo kwa ulichokiona ni upi? Matarajio yako toka kwa wachangiaji ni yapi? Kiufupi Mada yako na nyingi zinazoletwa humu hazina wigo wa kumuongoza kwa hiyo...
  2. C

    Lifahamu kiundani zao la Nyanya chungu (Ngogwe) na jinsi ya kulilima

    Biashara ya mboga toka huko kwa jumla soko lipo karibu na round about ya kigogo. Biashara huanza saa ~9 usiku - 12asubuhi. Ukipita mida hiyo utawakuta madalali. Ila biashara hii bei inabadilika kila baada ya muda mfupi.
  3. C

    Kwa graduate tu....

    Swali la msingi linahitaji jibu, upana wa recruitment ujulikane, kama hamtojali jibu litapendeza zaidi. wazo zuri la biashara ndogo lina sifa nyingi ikiwamo kudurufika hata kama kwa namna yeyote watu fulani hawataweza kujiunga nanyi kwa sababu zozote wanaweza kulitumia katika kundi dogo la...
  4. C

    Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

    Huu tuanzie kama wimbo wa taifa wa mpito wakati tukifanya mchakato wa wimbo wa kudumu. Ila jazia viitikio mkuu.
  5. C

    Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

    Ukiwa mzima au mfu, kwa furaha au majonzi, kesho utafika. Heri ya mwaka mpya.
  6. C

    open letter

    Enzi zetu za barua!, ishu inapodondoka mtaani kabla haijafika kwa mhusika. Siku hizi naambiwa mnatumia whatsapp, mxit, sms, PM, etc kumfikishia mrembo ujumbe kama huu! Ila ujumbe umemfikia.
  7. C

    Ni kosa kugundua na kutengeneza Bunduki?

    Kama ya kujilinda, ukifanikiwa kutengeneza yenye recoil ndogo kupita Colt, mteja nipo. Silaha nyingi zinanunuliwa kutoka makampuni binafsi zilizobuniwa na watu binafsi huko nje. Ukifuata taratibu unaweza fungua kiwanda, soko la Afrika pekee ni kubwa mno.
  8. C

    Nini ufumbuzi wa premature ejeculation kwa mwanaume?

    utamu unaulaje ipasavyo wakati kilacho kimepunguzwa uwezo wa kufurahia kula. Kufika mwisho ndo lengo lenyewe, ukiwahi jitahidi kufika mara nyingi kadri iwezekanavyo.
  9. C

    nitarudi tena.....

    Tutashukuru ukirejea.
  10. C

    Nitarudi tena.....

    usimtaje kabisa huyo kiumbe kwa leo, labda kesho.
  11. C

    2013 Nikwa Neema tuu

    Neema ya BWANA izidi kuwa nasi 2014. Amina.
  12. C

    Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

    Ha ha haa, ni furaha yangu kuwa Mtanganyika. nahitaji, hati ya kusafiria, kitambulisho cha raia wa Tanganyika.
  13. C

    Swali kwa wadada tu?

    Maneno kama haya yanafanya biashara ya pweza izidi kuenea kwa kasi
  14. C

    Macho yanachekaa moyo unaliaaaa!!!!

    Mh, kumbe kuna utoto! Sawia takuwa alipenda utotoni, sasa ni bimkubwa, anakumbuka wa utotoni.
  15. C

    Wanaume wakwel wapo jamani

    yah, cv, na usisahau japo pps 2.
  16. C

    Wakala wa Vodacom Singida ajiua

    Hivi ndo vifo, Tanzania tunaanza kuendelea angalau kidogo. Sio vifo vya visa vya mapenzi.
  17. C

    Je! Ni sahihi?

    Inawezekana.
  18. C

    Kwa graduate tu....

    Mkuu tupo pamoja, chukulia kama changamoto ya kibiashara tu unapouza bidhaa, hapa unauza bidhaa "wazo lako" jinsi unavyolitetea na kulisimamia ndio tunaona ukomavu wa wazo hilo, kunyumbulika sio kitu kibaya, wazo zuri linatakiwa kunyumbulika kulingana na mazingira. Ukiwa miji mikubwa ni ngumu...
Back
Top Bottom