Kumbe kwako wewe ni useless, basi kwetu sisi ZEMBWELA ni useful, kwan kuna kitu gani cha upekee katika ubunge mpaka wewe ushangae watu kumpendekeza zembwela kuwa mbunge? Logic katika maana ya a way of thinking or explaining bas huyu jamaa anaongea ukwel wenye logic, na kuwa comedian haikuzuii...
WEWE kuwa na degree sio kigezo tosha cha kukufanya wewe upate kazi. Labd east afrika katika Kuwafanyia Mahojiano Walikuona hauna mvuto wa utangazaj ingawa ulikuwa na degree, Labda Muda Huo ulioenda kuomba kaz walikua hawaitaj mtu mwenye elimu ya degree, Pia unaweza ukawa na degree usiwe na...
Zembwela ni mtangazaji asiyefungamana na upande wowote ule, mleta nyuzi anaweza akawa anamchukia zembwela kwa kuwa yupo upande fulani ambao umekua ukikosolewa na huyu mwandishi , mleta mada inabidi atuambie yeye MAGAMBA DAMUNIIII AU MAKOMBATI YA KAKI DAMUNI , Mwisho zembwela usikate tamaa kwani...
ZEMBWELA ni mtu asiyefungamana na upande wowote ule, Sasa UYO aliyeta huu uzi anaweza akawa anasaport serikali iliyopo madarakani kwa maana ya CHAMA CHA MAGAMBA au akawa anasaport chama kikuu cha upinzani kwa maana ya CHAMA CHA MAGWANDA YA KAKI. Nitakutolea mifano juu ya watu wanavyomchukia...
Daah izo ndo negative effects za kuwa public figure katika nchi local kama Tanzania , kama kweli kafanyiwa ivo ni kitu cha kupingwa kwa hasira zote kwan mavaz sio sababu ya msing ya kukufanya mtu uvunje sheria ndo maana binadamu tumepewa utashi, kama umempenda bora umtokee, na kama ni kweli...
Mwimbaji Linah Sanga amesema habari zinazoenezwa kwamba amebakwa baada ya kulewa sio za kweli kwasababu anasiku ya tatu Ajatoka Nyumbani.
Source: Millardayo.com
Daah kweli alichofanya Sio Fresh mbona TZ kuna wasanii wananyimbo kali zenye mitundo ka p.square mf; aika & nahreel - usinibwage, navykenzo-hold me back or cheza kizembe huko bora wangempelekea DJ MAFUVU AU SAMA huyo jamaa nae umimi ulimzidi kuna nyimbo nying watu wanacheza mtundo sio lazima...
Poa mkuu lakini kwanini mnakuwa sio wa wazi nije nijionee mosh tech mpya hapo nakua sielew kidogo unamaana yenye waalimu wa kutosha, mazingira mazuri, vifaa vya kutosha kama vitabu na n.k o the vice versa is true? lakin poa mkuu
mwanamke aliyeokoka? nenda kwenye madhabau ya kanisa la kakobe,lwakare, mzee wa upako na n.k utawaona weng wakitoa ushuhuda, nawe kachague yule unayemuitaj , kama wanavyofanyaga wenzako mafatak kwenye shindano la umiss !
Ndiyo zinaukweli ila nikwabaazi ya shule , waalimu wakuu wameamua kufanya ivo ili kuwafanya wanafunz wajiandae mapema kwan wanaofia JOIN INSTRUCTIONS zitachelewa kuwafikia wanafunzi wao , lakin sio shule zote zitafunguliwa tarehe 29, zingine tarehe 1 mwez wa nane mfano VUDOI, zingine tarehe 27...
Afu kuna nyimbo ya TIP TOP ile inaitwa ridhiki nadhani, sasa ile beat kuna underground nimemuona tena kaimbia tena hiyo hiyo beat sema nimesahau jina la nyimbo
Wana Jf Mara Ya Kwanza nilipoiona nyimbo ya Q-rocka ft shaa na gwea -my baby nilipata mashaka na ile biti ya ile nyimbo sister angu akasema ile biti mbona kama ya dully aliyoimbia kwenye nyimbo ya dhahabu? Me nikamuuliza kwani producer wa hii nyimbo ya my baby ni nan? akaniambia maneke, bas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.